Asili ya kudumaa kwa akili ya Mwafrika kulinganisha na Wanadamu wengine

Nina ufahamu wa kutosha juu ya Carbon 14 kutotoa precise date ya tukio but it's still the most reliable technology out there.
Ukichukulia kuwa sisi Waafrika tulizaliwa na mtu mmoja utapata shida sana kuelewa hypothesis yangu.
Nilishasema baada ya wanadamu wa kwanza kutoka Afrika, vizazi vyoo vya baadaye vilianza kurudi barani Afrika na ndiyo hao Waafrika ya Kaskazini kuanza Tanzania (Wairaq na Wagorowa) hadi Kenya, Ethiopia, Somalia, Djibouti na Eritrea.
Kukimbilia tu kusema ni waafrika siyo tatizo bali ni je wana nasaba gani iliyotawala kwao? Ni ya kizungu ama kiafrika?
 
Watu wengi huwa wanadai Kabila fulani lilipendelewa kielimu wakati wa ukoloni. Wengine wanadai wakati wa Uhuru Serikali ilibagua maeneo na kuyaacha mengine bila miundombinu ya elimu, mfano watu wa Kusini huwa wanalalamikia kutengwa.
Ukweli ni kwamba, uwezo wa shule nzuri na mazingira mazuri huwa unasaidia wanafunzi wa madaraka ya chini na "KADRI MTU ANAVYOPANDA JUU KIMADARASA, UFAULU WAKE UNAZIDI KUTEGEMEA JENI "GENES" KUTOKANA KUTEGEMEA MAZINGIRA YA KIELIMU"
Mifano ni mingi: wanafunzi wengi kutoka familia za kitajiri huwa wanafanya vyema sana katika elimu ya msingi na hata sekondari kutokana na kupewa mahitaji yote muhimu. Hata hivyo, wanapofika kwenye elimu za juu lakini hasa elimu ya Chuo kikuu, hapo ndio unashangaa mtu anakua wa kawaida mno huku wengi wao wakifikia hadi kudisco.
Hata hivyo, watoto wa masikini wamekuwa wakipata shida sana kushinda elimu za msingi na o-level. Hata hivyo, kijana huyo anapofanikiwa kutoka hapo huwa yeye na karibia watoto wote masikini hakuna anayefeli kutokana na kwamba wanaingia kwenye elimu ambayo mazingira hayatofautiani sana na wa familia tajiri.
Kamwe kwa ugumu wa elimu ya Chuo Kikuu hasa UDSM, huwezi kufaulu mitihani kama ulibebwa bebwa na mazingira.
 
Mfano dhahiri ni huu: Watu wamekuwa wakilalamikia upendeleo wa wakoloni na Serikali baada ya Uhuru. Lakini mwishoni mwa miaka ya 2000s, zilianzishwa shule za sekondari za kata nchi nzima. Baada ya miaka kama 10, shule hizo zimeshajiimarisha. Hata hivyo ukitaka kuelewa Statement niliyotoa awali, utagundua kuwa licha ya ongezeko la wanafunzi wa sekondari kwa kila mkoa ama kabila, wengi wao bado hushindwa mitihani ya kidato cha IV na cha VII na kujikuta wamewaacha tena wababe wa miaka yote.
Kumbukeni kuna mwaka (sijui 2009?) wanafunzi wengi wa kidato cha IV walifeli sana, Serikali ikaamua kushusha passmark ili wanafunzi wengi wasiwe wanafeli.
Kwa sasa makabila mbalimbali yanapeleka watoto wao Elimu ya vyuo vikuu. Hata hivyo, ukifuatilia utashangaa kukuta kuwa, wengi wamefanikiwa kwenda vyuoni baada ya kushushwa passmark kwa kiwango kikubwa.
Nakumbuka mimi wakati tunaomba kujiunga na elimu ya chuo kikuu, wale wote waliopata Division I ya pointi 9 yenye principal CCC, waliishia kupata ualimu na kama haukuwa na I ya point 4 kwa mvulana yenye principal AA za History na English, usingepata Law na kama haukuwa na I ya 7 yenye principal AB za History na English, usingepata Political Science &a Public Administration (PS&PA).
Leo hii nenda Udom na vyuo vingi vya private, mtu ili mradi amepata DD pekee anapata chuo. Kwa jinsi ilivyo sasa, kipindi chetu darasa zima lenye wanafunzi 76 wangeenda wote Chuo kikuu isipokuwa watatu pekee.
Hivyo ukitanua sana magoli, utashindwa kujua ni nani huwa ni mfungaji bora.
 
Mtoa mada

Bado sijakupata vizuri, kwamba tofauti ya rangi za binadanu ilitokana na nini( au muonekano in general, rangi nywele etc).

Tafadhali rejea points hizo kwa ufupi, coz kwenyw maelezo yako kuna mkanganyiko mkubwa.
 
Nadhani hamkuwazidi kwa akili, isipokuwa mliwazidi kwa kukomaa na makaratasi.

Natarajia tuipime akili kwa creativity na innovation
 
Mnepha, Huo msingi wa bara letu ndio ukoje
 
So sad!
 
Mawazo mazuri xn, hakuna maendeleo palipo na njaa...
 
Uko vzuri, umenipa hamasa ya kuwa na home library iliyosheheni, kitu kizuri ni kwmb napenda kujisomea...
 
Vipi kuhusu I.Q distribution worldwide ambapo study zinaonyesha Asians wanaongoza followed by Caucassians?
Je validity yake ikoje?
 
Mtoa mada

Bado sijakupata vizuri, kwamba tofauti ya rangi za binadanu ilitokana na nini( au muonekano in general, rangi nywele etc).

Tafadhali rejea points hizo kwa ufupi, coz kwenyw maelezo yako kuna mkanganyiko mkubwa.
Muonekano wetu wa rangi ulianza kubadilika baada ya binadamu wa zamani kutoka barani Afrika na kuingia Eurasia (Ulaya na Asia). Vyanzo vinadai binadamu wa kale aliyekuwa katika hatua ya Homo Erectus ndio walitaka Afrika miaka ipatayo 400,000 iliyopita na kugawanyika barani Ulaya (Neanderthal) na barani Asia. Baadaye binadamu wa kisasa Homo Sapiens ndio walianza kutoka Afrika kwenye miaka 100,000 - 60,000. Kutokana na kuishi maeneo ya baridi kwa muda mrefu, walianza kubadilika hadi kufikia hatua waliyonayo hao watu weupe.
Sijui kama nimekujibu ulichotaka kukijua.
 
Ukishasema kuwa utofauti wa maendeleo uliyopo katika nchi za kiafrika na hizo zilizoendelea zilitokana na changamoto za asili za kijiografia maanake unazungumzia utofauti katika kuwa SMART na sio mambo ya IQ (kiwango cha akili). Kwa kukuongezea tu ni kuwa uzubaifu au kutokuwa smart kwa jamii zetu kunasababishwa sana na Viongozi wanaoaminiwa na hao wananchi kuwa wawaongoze na mwisho wake unaona kuwa elimu ya kwanza anayonyimwa huyo citizen ni CIVICS (Uraia) ili aendelee kuwa mjinga hivyo kutawaliwa kadri ya matakwa ya viongozi wetu wa kiafrika (bara jeusi).
Suppose Nyerere angekuwa madarakani hadi leo kama ilivyo kwa Mugabe, unadhani hali ingekuwa hv? Angalau alionesha kuwa alikuwa anajenga LEGACY ya Kitanzania kama sio Tanganyika! Uzalendo unaanzia hapo.
 
Watu kama Bakhresa, Mengi ,MO , Manji ,,, watu wenye mafanikio kwenye biashara,,,, hawa watu wana elimu kubwa ya biashara.



. .
 
Nadhani hamkuwazidi kwa akili, isipokuwa mliwazidi kwa kukomaa na makaratasi.

Natarajia tuipime akili kwa creativity na innovation
Kwenye creativity na innovation bado sana sisi black.
Hata hivyo katika mojawapo ya maajabu ya sayansi, innovation ni kitu kinachohama kutoka jamii moja kwenda jamii nyingine baada ya kipindi fulani. Ndiyo maana kila generation ama era imetawaliwa kiuvumbuzi na jamii moja ambayo jamii hiyo inapoanguka ndiyo inafuata jamii nyingine na kuendelea kupokezana kama ifuatavyo:
(1) Ancient civilizations:
  • Mesopotamia civilization:
    • Sumerian civilization - 3800 BC - 2000 BC.
    • Babylonia civilization - 2000 BC - 1500
    • Hittite civilization - 1400 BC - 1200 BC.
  • Greek (Hellenic) civilization: 2600 BC - 200 BC.
    • Minoan (Crete) civilization - 2600 BC - 1200 BC. Ujenzi wa kasiri za kifalme (palaces).
    • Mycenae (Greek city-states) civilization - 1600 BC - 300 BC. Demokrasia.
    • Macedonia civilization - 300 BC - 200 BC.
  • Roman civilization: 400 BC - 400 AD.
    • Roman civilization 400 BC - 400 AD.
    • Carthage civilization
(2) Modern Civilizations: 1400 - Today
  • Western civilization: 1400 - 1950. Mapinduzi ya viwanda.
    • Iberian (Portugal & Spanish) civilization - 1400 AD - 1700 AD.
    • North Western civilization - 1600 - 1970.
    1. Dutch civilization - 1,600 AD - 1700 AD.
    2. French & British civilization - 1700 - 1950.
    3. Belgium & German civilization - 1800 - 1970.
    4. American civilization - 1850 - 2000.
    • Nordic (Scandinavian) civilization - 1900 - 2000.
  • Russian civilization 1900 - 1980. Space technology.
(3) Far East Civilization 1850 - Today.
  • Japan civilization 1850 - 2000.
  • Korea civilization 1970 - Today.
  • China civilization 1990 - Today.
  • ASEAN Civilization 1990 - Today.
    • Taiwan
    • Philippines
    • Thailand
    • Malaysia
    • Singapore
    • Indonesia.

Civilizations za Magharibi zimekuwa continuous tangu kuanza kwa Civilizations za kwanza duniani ambazo ni Sumerian, Egyptian na Chinese (3800 BC - 2000 BC). Civilizations zilikuwa zikikua kutoka Mashariki mwa Bahati ya Mediterranean kuelekea Magharibi mwa Bahari hiyo.
Of course kuna civilizations nyingine kama Far East na India Sub-continent lakini hizo zimekuwa hazisambai kama ya Western Civilization tangu zamani.
 
Your ommision of the achievements made by Africans during the kemetic era and misallocation of the songhai empire creates doubt on your understanding of the true historical facts
 
Your ommision of the achievements made by Africans during the kemetic era and misallocation of the songhai empire creates doubt on your understanding of the true historical facts
I didn't understand "kemetic era" pliz, you would better clarify it to me.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…