Asili ya kudumaa kwa akili ya Mwafrika kulinganisha na Wanadamu wengine

Ugali wa mahindi siyo asili ya Afrika, uliletwa Karne ya 16 na Wareno ni tofauti na mazao mengine yaliyoletwa tangu zamani. Wataalamu huwa wanadai ugali wa jamii za uwele ndio wenye virutubisho vingi kwa akili ukitoa ndizi katika vya kila vikuu vya Waafrika. Mihogo nayo siyo ishu.

Hata hivyo, tunachokosea sisi binadamu ni kudhani kuwa, mtoto anayepewa kila kitu tangu akina tumboni mwa mamaye hadi kuwa mtu mzima atakua na uhakika wa akili za darasani. Akili za darasani haziwezi kutegemea "mazingira" ya maisha ya mtu moja tu bali ni nasaba "Genes" alizonazo mtu huyo zilizotokana na historia ya wazazi wako (wapi?), ukoo wako (upi?), Kabila lako (lipi?) na Race yako (Mbantu?).
Hivyo, nawaasa sana kabla sijatoa research yangu juu ya akili za makabila ya Tanzania, anza kufikiria kabila lako lilivyo kwa akili za darasani ili nikiweka hizo hypothesis mniulize na mimi nitazielezea vyema.
Safi sana mkuu tuko pa1
 
View attachment 586451 Ulimwengu tuishimo na vitu vyote vilivyomo umetawaliwa na binadamu. Hata hivyo kutokana na tofauti kubwa ya binadamu kuna ambao wameitawala "nature" lakini wengine bado hiyo "asili" imewatawala. Hiyo ni kwa sababu ya uwezo tofauti wa kiakili ambao wanadamu wanaonyesha. Kulingana na sayansi na historia, binadamu wa leo ni matokeo ya evolution ya muda mrefu iliyotokea miaka milioni 3 iliyopita.
Utofauti wa wanadamu kubadilika kutoka kuwa weusi kisura na kuwa weupe ulianza kati ya miaka 100,000 - 60,000, kipindi ambacho wanadamu weusi walihama barani Afrika kwenda Mabara mengine kupitia eneo la Mlango Bahari ya Bab al Mandab nchini Djibouti lililokuwa limeungana na Arabia. Hiyo ni kwa kuwa nje ya Afrika, eneo kubwa lina baridi.
Mabadiliko ya kiakili yalitokea baadaye baada ya vizazi na vizazi kuishi katika maeneo hayo nje ya Afrika yakiwa na sifa kuu zifuatazo:
  • Uwepo wa maji ya kutosha kutokana na mvua na mito mikubwa.
  • Uwepo wa udongo wenye rutuba na rahisi kulimika (kwa miti) hasa kwenye mabonde ya mito.
  • Uwepo wa vyanzo vya kutosha vya samaki kama mito, maziwa na bahari.
  • Uwepo wa mwanga wa kutosha kukuza mazao.
  • Uwepo wa mazao yanayositawi kwa urahisi, hasa ngano.
  • Kutokuwepo kwa misitu minene na hivyo kuwa rahisi kuanzisha makazi na mashamba.
  • Kutokuwepo kwa magonjwa ya kitropiki, hasa malaria, yellow fever na sleeping sickness.
  • Kutokuwepo kwa jua linalochoma (scorching sun) na hivyo kuwafanya watunze energy zao.
  • Kutokuwepo kwa baridi kali kama iliyoko nchi za Kaskazini mwa dunia.
Sababu hizo ndizo zilisababisha jamii zilizoishi maeneo yenye Hali hizo kuanza Neolithic Revolution kati ya miaka ya 10,000 bc - 8,000 bc ambapo binadamu alianza kupanda mbegu kwa kusia ngano mashambani (maeneo laini yaliyotifuliwa kwa miti) na kuanza kufuga wanyama wakiwemo ng'ombe na mbuzi. Aidha, kutokana na wanadamu hao kufanikiwa kuzalisha chakula kwa wingi kulipelekea kuibuka kwa Civilizations za kwanza kabisa duniani katika eneo la Mesopotamia (Sumerian, Babylonia), Misri na China kuanzia miaka ya 6,000 BC, kutokana na maeneo hayo kuwa na sifa hizo hasa maji ya kutosha licha ya kuwa majangwani.
Jamii hizo za Mashariki ya Kati zilianza matumizi ya zana za chuma mapema kabisa ambapo ilipita miaka mingi kabla ya teknolojia hiyo kufika Afrika Kusini mwa Jangwa la Sahara ambako inakisiwa kuletwa kwetu Afrika Kusini mwa Jangwa la Sahara na Dola ya Meroe (Sudan) kutokea Misri kwenye miaka ya 400 BC. Kwa hiyo Wabantu walihama kutoka Cameroon mwaka 1000 BC kabla hawajapata teknolojia ya chuma.

Hata hivyo, kwetu Afrika, kutokana na uwepo wa mvua nyingi, chakula kilikuwa kikipatikana kwa wingi na kwa urahisi na hivyo kufanya akili za binadamu wa Afrika kutojishughulisha sana kama wenzao wa nje ya Afrika ambao walikuwa katika mazingira magumu ya majangwa na baridi kali. Waafrika waliendelea kupata chakula chao kupitia uwindaji wa wanyama, kuokota matunda ya mwituni na kula mizizi. Hivyo mababu zetu hawakuchanganya akili sana kama wenzao kutokana na kutokuwa na uelewa juu ya kilimo na ufugaji. Hivyo kwa yule Mwafrika aliyekuwa na akili sana bado hakuwa na tofauti kubwa na asiye na akili kwa kuwa wote hawakujishughulisha sana na utafutaji wa chakula kama wale waliohama kutokana Afrika. Kwa wanadamu waliohama Afrika ambao walikuwa dhaifu hawakuweza kustahimili mazingira Magufuli na hivyo vizazi vyao vilifutika duniani na kuacha waliokuwa na nasaba bora wakistahimili mazingira hayo magumu (Refer the Theory of Survival of the Fittest).
Binadamu hao waliotoka Afrika kutokana na kuchangisha sana akili zao waligundua ufugaji wa wanyama hasa ng'ombe, mbuzi, kondoo, mbwa, kuku na bata, miaka kati ya 10,000 - 8,000 BC. Vilevile, waligundua namna ya upandaji wa mbegu kwenye mashamba yaliyolimwa kwa kutumia miti (kipindi kabla hawajagundua kuyeyusha Chama) kwenye udongo laini wa mabonde ya mito. Na hawa ndio waliogundua chuma na hivyo kuweza kuzalisha chakula kingi zaidi na kuimarisha ulinzi dhidi ya wanyama wa mwituni na wanadamu wengine maadui. Uwezo wa chakula cha ziada, ulipelekea kukua kwa shughuli za huduma na maspecialists, kama waashi, wahunzi, askari wa kudumu, viongozi wa dini, na wengine wengi. Nadhani mtakumbuka ujenzi wa Mnara wa Babeli, ambao ni matokeo ya uzalishaji mkubwa chakula cha kulisha watu wengi wasiolima.
Mambo haya hayakuwezekana kamwe kwenye jamii za kiafrika kipindi hicho kutokana na kutozalisha chakula cha ziada, hivyo kila mtu alipaswa kujua karibia kazi zote (Mpaka sasa sisi Waafrika specialization bado iko nyuma kwani mwanachuo analazimishwa kusoma vita vingi mno).

Teknolojia ya ufuaji wa chuma na utengenezaji wa zana za chuma ilipelekea kuongezeka kwa watu wengi Afrika lakini ilikuja kwa kuchelewa sana kutoka Mashariki ya Kati, tofauti na mabara mengine ya Old Lands ambayo yalianza kutumia zana za chuma zaidi ya miaka 3,000 bc.
Ili muone faida ya mapinduzi ya zana za chuma, Wabantu walitokea Cameroon baadaye baada ya miaka ya 400 BC waliweza kuvamia na kuzishinda jamii nyingine zote za Kusini na Mashariki ya Afrika zikiwemo za San na Pygmy (na hata Cushites - Mbulu, Gorowa na Mbugu) ambazo hazikuwa na tekonolojia ya chuma. Hata hivyo uhamaji huo wa Wabantu ulishindwa kwa Nilotes pekee (walitokea Kaskazini) mfano Wajaluo kwa Tanzania.
Nawasilisha hoja.

KUNA UKWELI KATIKA SEHEMU FULANI YA MAADA YAKO. ILA KUNA UWONGO MKUBWA KUHUSU MAENDELEO YA KILIMO, BAADA YA KUGUNDULIKA MOTO NA KISHA CHUMA.

AFRICA NDIO WA KWANZA KUGUNDUA MOTO NA CHUMA, KISHA KUSAMBAA ULIMWENGU NZIMA KAMA MAADA YAKO INAVYOELEZA. KWAHIO WATU WAKWANZA KUSAMBAA, KUTAWALA DUNIA NI WATU WEUSI KUTOKA AFRIKA. USTAARABU UMEINJINIWA NA WAAFRICA, ELIMU, SHERIA, UJENZI, MADAWA, SAYANSI NA MUUNDO WA SERIKALI NA MFUMO WA MAISHA YA KIROHO. JAMII ZOTE NJE YA WAAFRICA ZILIZOIBUKA MIAKA YA HAPA KARIBUNI NDIO IMERITHISHWA HUO USTAARABU.

KUHUSU AKILI NADHANI NI DHANA POTOFU, MAANA WATU TUMEENDA KUSOMA NJE YA BARA LETU NA KUWABURUZA WAZUNGU. HATA MAMBO MENGI DUNIA YA KALE NA HATA YA SASA IMEASISIWA NA KUTAASISIWA NA WATU WEUSI. USHAHIDI NI HUU HAPA CHINI.

DO YOU KNOW.jpg
 
View attachment 589390
Sikuongelea
Chanjo zinachangia sana
Hizi chanjo mbona zimeletwa na wakoloni tu Hivi karibuni. Je hapo zamani ni nini kilichangia?
 
IMG_6724.jpg
IMG_0980.JPG
Pre Dravidian

IMG_0950.JPG

Dravidian

IMG_0943.JPG

Hindu (Indo-Aryan)

IMG_0986.PNG

Wakati nawaandaa kwa ajili ya thread ya Kabila la kwanza hadi la mwisho kwa akili nchini Tanzania, nawaletea fact juu ya akili za Wahindi.
Wahindi ni jamii ya watu wa aina mbalimbali wanaoishi nchini India. Kuna Wahindi Weupe kama wazungu (Indo-Aryan), Wahindi weusi kidogo (Dravidian), Wahindi weusi (Pre-Dravidian) na Wahindi wa njano (Mongolian).

Hata hivyo, katika races hizo, Black Indians ndio wenye akili nyingi sana kuzidi wengine wote, licha ya kwamba ndiyo kundi ambalo kihistoria limekuwa likinyanyaswa na kutawaliwa na Wahindi weupe.
Wao ndio wametawala masomo ya sayansi na hisabati nchini India na wamejazana kwenye maabara za NASA Marekani huku wakidominate Kituo cha mambo ya anga nchini kwao. Je wajua chanzo?
 
Mada yako inayofuata inasubiriwa kwa hamu sana.

Bro, nikushukuru kwa kuniongezea ufahamu juu ya jambo ninaloendelea kulitafiti kuhusu 'Nani haswa wana wa Israel kwa mujibu wa maandiko matakatifu' Maelezo yako tayari yamenipa picha Fulani kwamba watu wote waliopo duniani chanzo chao ni mtawanyiko wa watu weusi kwenda sehemu mbalimbali za dunia (thank you). Umelezea pia kwa nini watu weusi walibadilika na kuwa weupe(again thank you) na hatimaye kuwa na akili nyingi kuzidi wale waliobaki Afrika (Huwa najiuliza nani alituita waafrika na alikuwa na lengo lipi?)

Tofauti ya kimaendeleo baina ya kambi hizi mbili umelelekeza zaidi katika kukua kwa uzalishaji kulikotokana na uvumbuzi wa chuma na teknolojia (Hapa najiuliza kwani mji wa Timbuktu na ustaarabu wake na chuo kikuu cha kwanza duniani si kilikuwa hapo Timbuktu?). Kuna sehemu umezungumzia kabila la Igbor la Nigeria kwamba ni kabila lenye akili kuliko makaila yote ya Nigeria (thank you nimepata kitu hapa). Lakini zaidi umenifumbua ufahamu wangu uliposema nchi ya India ina makabila mengi lakini ukahitimisha kwamba wahindi weusi ndio wenye akili kuliko wahindi weupe (Safi sana).

Kwa kifupi tu, mtawanyiko wa watu weusi duniani ni mtawanyiko wa wana wa Isreal duniani. Tunu hii tumepokwa na watu weupe walioanza kutuita Waafrika ili kuficha identity yetu. Ushahidi upo wazi katika biblia kwamba wana wa Israel watachukuliwa utumwani kwa njia ya meli, huko watatumikishwa, watateshwa, watadhaurika, watachukiwa na kila kabila (Taifa) duniani lakini mwisho wake watakujarudi kwenye nchi yao ya ahadi. White house imejengwa na watumwa, mashamba makubwa na viwanda vikubwa nchini marekeani kuna mikono ya watu weusi.

Mkuu endelea kutiririka ili nasi tunaotazama kwa jicho linguine tuchote kile tunachoona kinatufaa kwa ajili ya mabandiko yetu. Big up Bro
 
Watu wengi kimakosa huwa wanaamini kuwa, chanzo kikuu cha wanafunzi kuzidiana kielimu ni kutokana na mazingira wanayoishi (umasikini, tamaduni, msukumo wa wazazi) na wanayosomea (uwepo wa walimu, miundombinu bora ya shule kama madarasa, madawati na vitabu vya kutosha).
Hivyo vitu nilivyotaja ambayo kwa ujumla vinatokana na "sera ya elimu" na "utamaduni wa mzazi" vina mchango mkubwa tu kwa mtoto na kadri mwanafunzi anapokua vitu hivyo vinakosa nguvu kwa kiwango kikubwa na hivyo ndio maana mtu anayefanikiwa chuo kikuyu ni kutokana hasa na uwezo wake wala siyo mazingira.
Nasubiri list yako Nione kwa Tanzania wamasai ni namba ngapi![emoji15]
Usikonde, najitahidi kuchambua facts nyingi nilizokusanya zipatazo kumi na moja na ambazo ndizo nazipima kwa makabila yote zaidi ya Mia moja. Ni kazi ngumu nimeianza tangu mwaka 2007 ila nimeamua kuwa serious kidogo tangu mwezi Agosti 2017 kwa lengo la kushare na wana-JF wenzangu humu. Kwa hiyo ni kazi ngumu kidogo na nitakuwa katika nafasi ya kufafanua kila kitu kwa kila kabila japokuwa kuna baadhi ya data nimekuwa nikikwama kuzipata hasa kwa makabila madogo.
 
KUNA UKWELI KATIKA SEHEMU FULANI YA MAADA YAKO. ILA KUNA UWONGO MKUBWA KUHUSU MAENDELEO YA KILIMO, BAADA YA KUGUNDULIKA MOTO NA KISHA CHUMA.

AFRICA NDIO WA KWANZA KUGUNDUA MOTO NA CHUMA, KISHA KUSAMBAA ULIMWENGU NZIMA KAMA MAADA YAKO INAVYOELEZA. KWAHIO WATU WAKWANZA KUSAMBAA, KUTAWALA DUNIA NI WATU WEUSI KUTOKA AFRIKA. USTAARABU UMEINJINIWA NA WAAFRICA, ELIMU, SHERIA, UJENZI, MADAWA, SAYANSI NA MUUNDO WA SERIKALI NA MFUMO WA MAISHA YA KIROHO. JAMII ZOTE NJE YA WAAFRICA ZILIZOIBUKA MIAKA YA HAPA KARIBUNI NDIO IMERITHISHWA HUO USTAARABU.

KUHUSU AKILI NADHANI NI DHANA POTOFU, MAANA WATU TUMEENDA KUSOMA NJE YA BARA LETU NA KUWABURUZA WAZUNGU. HATA MAMBO MENGI DUNIA YA KALE NA HATA YA SASA IMEASISIWA NA KUTAASISIWA NA WATU WEUSI. USHAHIDI NI HUU

watu wamekalilishwa historia yao na mzungu...kitu cha kuelewa ni kwamba dunia zima na elimu zote zinazozunguka duniani zimetokana na jitihada za mtu mweusi ni mambo mazito sana kuyaelewa
 
KUNA UKWELI KATIKA SEHEMU FULANI YA MAADA YAKO. ILA KUNA UWONGO MKUBWA KUHUSU MAENDELEO YA KILIMO, BAADA YA KUGUNDULIKA MOTO NA KISHA CHUMA.

AFRICA NDIO WA KWANZA KUGUNDUA MOTO NA CHUMA, KISHA KUSAMBAA ULIMWENGU NZIMA KAMA MAADA YAKO INAVYOELEZA. KWAHIO WATU WAKWANZA KUSAMBAA, KUTAWALA DUNIA NI WATU WEUSI KUTOKA AFRIKA. USTAARABU UMEINJINIWA NA WAAFRICA, ELIMU, SHERIA, UJENZI, MADAWA, SAYANSI NA MUUNDO WA SERIKALI NA MFUMO WA MAISHA YA KIROHO. JAMII ZOTE NJE YA WAAFRICA ZILIZOIBUKA MIAKA YA HAPA KARIBUNI NDIO IMERITHISHWA HUO USTAARABU.

KUHUSU AKILI NADHANI NI DHANA POTOFU, MAANA WATU TUMEENDA KUSOMA NJE YA BARA LETU NA KUWABURUZA WAZUNGU. HATA MAMBO MENGI DUNIA YA KALE NA HATA YA SASA IMEASISIWA NA KUTAASISIWA NA WATU WEUSI. USHAHIDI NI HUU HAPA CHINI.

View attachment 589390
Mkuu ili swala la africus kuwa ndo wagunduz wa kwanza wa moto umelitoa wap,asee embu tuwe serious tunapoleta hizi mambo za kujifunza umu ukurupukaji sio mzr,kasome vzr mkuu nakushauri achana na artificial nkimaanisha (sayansi)ambayo ndo chanzo kikubwa cha kutuchanganya tusifaamu ukweli wap tumetoka na tunapokwenda,chukua bible zimiksi za wayahudi na zetu pia funua sana vitabu kadha wa kadha,...wanadamu tumeanza mbali aya mambo madg dg ya mpka cc kuja katk bara la africa na kuishi mapongoni ni mafikio tu embu rud nyuma kabisa ndipo uje uku mwishoni...,ILA HII KITU KAMA MKO SERIOUS MNAHITAJI KUJITAMBUA ANZENI NA MZIZI WENU NDIPO MJE UKU MWISHONI,pia swala la akili(utashi) ilo msijisumbue jipeni jibu ninyi wenyewe lililo hai,mfn_umejaaliwa mtt katk uhusiano wako ww na mke huyo mtoto aliyezaliwa mpatie vyakula vyote,mnaita mlo kamili cjui,mpatie ivyo vyakula vya kumjenga kiakili,kimwili alafu mfungie ndani,usimpereke shule,usimruhusu kuckilza hata redio wala kutizm tv..muwe mnawasiliana nae kawaida tu...jibu utalopata,uyu mtt atakuwa kama mpungufu wa akili...pia kitu kingine,mpatie mtt pia hivyohivyo vyakula vya kumjenga kiakili mpeleke shule,atasoma vzr ila lazima apoteze seem unaijua??,kitu kinaitwa (ubunifu)kwann kakosa unajua sababu?,mitaala ya kuongozwa upotofu na makaririsho ya udumavu wa akili,unajua wenzetu weupe wanapataje elimu yao?na kwa maangalizi yapi?,USITOE UTETEZI KUWA MBONA TUNA WASOMI WENGI NA WANAFANYA KAZI IDARA TOFAUTI!,unaweza nambia ni idara gani na zipoje?,je ni enderevu au dumavu,endapo dumavu kumbe basi zipo na zitakuwepo hazina movement zaidi ya changes za waajiliwa,ZIPO TAASISI ZENYE UENDELEVU KIAKILI,KIMAUMBO,KIMAJONGEO NA KUJA KUBAKIA KIHISTORIA,najua ntakua nimekuacha na maswali mengi ila yenye kujibika kirahisi,nakutajia shirika mojawapo kubwa lenye uajili wa mtu mwenye akili na akili yenye wendelevu,ubunifu n.k NASA,hapo mkuu kila term wanasonga mbele kila sekunde na dakika akili zinapanda za watendaji wake wa kazi...yapo mashirika mengi ila nimewataarifu tu kiufupi,kama mko tayar kumdadavua mwanadamu mweusi muanze serious.
 
Mada yako inayofuata inasubiriwa kwa hamu sana.

Bro, nikushukuru kwa kuniongezea ufahamu juu ya jambo ninaloendelea kulitafiti kuhusu 'Nani haswa wana wa Israel kwa mujibu wa maandiko matakatifu' Maelezo yako tayari yamenipa picha Fulani kwamba watu wote waliopo duniani chanzo chao ni mtawanyiko wa watu weusi kwenda sehemu mbalimbali za dunia (thank you). Umelezea pia kwa nini watu weusi walibadilika na kuwa weupe(again thank you) na hatimaye kuwa na akili nyingi kuzidi wale waliobaki Afrika (Huwa najiuliza nani alituita waafrika na alikuwa na lengo lipi?)

Tofauti ya kimaendeleo baina ya kambi hizi mbili umelelekeza zaidi katika kukua kwa uzalishaji kulikotokana na uvumbuzi wa chuma na teknolojia (Hapa najiuliza kwani mji wa Timbuktu na ustaarabu wake na chuo kikuu cha kwanza duniani si kilikuwa hapo Timbuktu?). Kuna sehemu umezungumzia kabila la Igbor la Nigeria kwamba ni kabila lenye akili kuliko makaila yote ya Nigeria (thank you nimepata kitu hapa). Lakini zaidi umenifumbua ufahamu wangu uliposema nchi ya India ina makabila mengi lakini ukahitimisha kwamba wahindi weusi ndio wenye akili kuliko wahindi weupe (Safi sana).

Kwa kifupi tu, mtawanyiko wa watu weusi duniani ni mtawanyiko wa wana wa Isreal duniani. Tunu hii tumepokwa na watu weupe walioanza kutuita Waafrika ili kuficha identity yetu. Ushahidi upo wazi katika biblia kwamba wana wa Israel watachukuliwa utumwani kwa njia ya meli, huko watatumikishwa, watateshwa, watadhaurika, watachukiwa na kila kabila (Taifa) duniani lakini mwisho wake watakujarudi kwenye nchi yao ya ahadi. White house imejengwa na watumwa, mashamba makubwa na viwanda vikubwa nchini marekeani kuna mikono ya watu weusi.

Mkuu endelea kutiririka ili nasi tunaotazama kwa jicho linguine tuchote kile tunachoona kinatufaa kwa ajili ya mabandiko yetu. Big up Bro
Nakushukuru sana kwa kunifuatilia na yote uliyonukuu yanaonyesha una uelewa tu wa mambo mengi.

Hata hivyo, naomba nikutahadharishe kufananisha sisi Waafrika na sana was Israeli. Watu waliotoka barani Afrika miaka ya 100,000 - 60,000 hawakuwa Waafrika bali binadamu weusi kwa kuwa kipindi hicho hakukuwepo watu weupe wengine duniani japokuwa huko Ulaya kulikuwepo viumbe kama binadamu waliokuwa wakiitwa NEANDERTHAL na kutokana na uchunguzi wa Hivi karibuni unaonyesha kuwa, hawa binadamu waliotoka Afrika, ndio walizaliana na uzao wa Neanderthal na hivyo kuleta hii mbegu ya watu weupe. Sasa sitaki kufika huko maana kutokana na uvumbuzi wa sayansi na archeology bado haujafikia kukubalika moja kwa moja na wanahistoria.

Nikija kwenye suala lake muhimu la kuhusisha Waisraeli na Waafrika, mimi sitaki sana kuliingilia kwani kwa elimu yangu ndogo pamoja na uafrika na ukristo wangu, sijawahi kushawishika na hiyo hypothesis. Sababu ya kutokubaliana nayo ni hii:
  • Kulingana na Kitabu kitakatifu cha Biblia, historia ya wanadamu imeanzia kwa Adam na Hawa. Tunaambiwa kuwa, mwaka ambao Yesu alizaliwa ndio tunapoanza kuhesabu AD. Sasa ukiangalia miaka kutoka Adam hadi YESU KRISTO ni miaka 4,000 na kutoka Yesu Kristo hadi sasa ni miaka 2017 ukijumulisha unapata miaka ipatayo 6,017 pekee. Hivyo utaona kuwa, kibiblia wanadamu wametokea kwenye uso wa dunia wakati watu weusi waliohamia huko Middle East walikuwa wameshabadilika kwa rangi.
  • Kihistoria, inadaiwa Mapinduzi ya Maisha ya mwanadamu (NEOLITHIC REVOLUTION) ya miaka 10,000 - 8,000 yalitokea kabla mwaka wa kuumbwa mwanadamu kwenye biblia.
 
IMG_0995.JPG

IMG_0996.JPG

Sikuijibu kutokana na kuwa bize kuandaa taarifa nyingine ambayo imekuwa ngumu kidogo.
Nitakuwa najibu kidogo lakini mengine nimeshayaongelea kwenye post mama. Mfano post hii niliyoquote inadai kuwa moto uligundulika Afrika. Mimi sijakataa kwa sababu nimesema wanadamu wote walioshika Afrika kabla ya kuhama miaka 100,000 - 60,000 ilyopita, kipindi ambacho tayari moto ulikuwa umeshagunduliwa tangu zama za kati za mawe kipindi cha Homo Sapiens. Hata hivyo, ugunduzi mpya wa kihistoria unaonyesha moto uligundulika zaidi ya miaka milioni 2 iliyopita (yaani kipindi cha zama za ZINJANTHROPUS/AUSTRALOPITHECUS). Kipindi chore hicho wanadamu walikuwa barani Afrika hawajatoka.
 
Mkuu ili swala la africus kuwa ndo wagunduz wa kwanza wa moto umelitoa wap,asee embu tuwe serious tunapoleta hizi mambo za kujifunza umu ukurupukaji sio mzr,kasome vzr mkuu nakushauri achana na artificial nkimaanisha (sayansi)ambayo ndo chanzo kikubwa cha kutuchanganya tusifaamu ukweli wap tumetoka na tunapokwenda,chukua bible zimiksi za wayahudi na zetu pia funua sana vitabu kadha wa kadha,...wanadamu tumeanza mbali aya mambo madg dg ya mpka cc kuja katk bara la africa na kuishi mapongoni ni mafikio tu embu rud nyuma kabisa ndipo uje uku mwishoni...,ILA HII KITU KAMA MKO SERIOUS MNAHITAJI KUJITAMBUA ANZENI NA MZIZI WENU NDIPO MJE UKU MWISHONI,pia swala la akili(utashi) ilo msijisumbue jipeni jibu ninyi wenyewe lililo hai,mfn_umejaaliwa mtt katk uhusiano wako ww na mke huyo mtoto aliyezaliwa mpatie vyakula vyote,mnaita mlo kamili cjui,mpatie ivyo vyakula vya kumjenga kiakili,kimwili alafu mfungie ndani,usimpereke shule,usimruhusu kuckilza hata redio wala kutizm tv..muwe mnawasiliana nae kawaida tu...jibu utalopata,uyu mtt atakuwa kama mpungufu wa akili...pia kitu kingine,mpatie mtt pia hivyohivyo vyakula vya kumjenga kiakili mpeleke shule,atasoma vzr ila lazima apoteze seem unaijua??,kitu kinaitwa (ubunifu)kwann kakosa unajua sababu?,mitaala ya kuongozwa upotofu na makaririsho ya udumavu wa akili,unajua wenzetu weupe wanapataje elimu yao?na kwa maangalizi yapi?,USITOE UTETEZI KUWA MBONA TUNA WASOMI WENGI NA WANAFANYA KAZI IDARA TOFAUTI!,unaweza nambia ni idara gani na zipoje?,je ni enderevu au dumavu,endapo dumavu kumbe basi zipo na zitakuwepo hazina movement zaidi ya changes za waajiliwa,ZIPO TAASISI ZENYE UENDELEVU KIAKILI,KIMAUMBO,KIMAJONGEO NA KUJA KUBAKIA KIHISTORIA,najua ntakua nimekuacha na maswali mengi ila yenye kujibika kirahisi,nakutajia shirika mojawapo kubwa lenye uajili wa mtu mwenye akili na akili yenye wendelevu,ubunifu n.k NASA,hapo mkuu kila term wanasonga mbele kila sekunde na dakika akili zinapanda za watendaji wake wa kazi...yapo mashirika mengi ila nimewataarifu tu kiufupi,kama mko tayar kumdadavua mwanadamu mweusi muanze serious.
Elimu ni kitu kisicho na mwisho na ndio maana tunaendelea kufumbuana.
"PALE AMBAPO UWEZO WAKO WA KUFIKIRI UMEISHIA NDIPO PIA UKWELI HUISHIA" What is the REALITY?
Masomo ya Sayansi huwa yana sifa kuu sana ya majibu yake kutobadilika tofauti na masomo ya kijamii. Hata hivyo hata Biology nayo ambalo ni somo la kisayansi, limejikuta matatizoni sana kutokana na majibu yake kubadilikabadilika. Mfano Biology hiyo imekuwa ikituletea madawa ya kutibu malaria tangu karne ya 19 kutoka ASPORO, CUROLOQUINE, ASPRIN, MSETO etc. Hivyo unweza ukadhani kitu unachokifahamu ni kweli as long as haujawahi kukutana na jibu lingine ambalo ni more conclusive.
 
Mada yako inayofuata inasubiriwa kwa hamu sana.

Bro, nikushukuru kwa kuniongezea ufahamu juu ya jambo ninaloendelea kulitafiti kuhusu 'Nani haswa wana wa Israel kwa mujibu wa maandiko matakatifu' Maelezo yako tayari yamenipa picha Fulani kwamba watu wote waliopo duniani chanzo chao ni mtawanyiko wa watu weusi kwenda sehemu mbalimbali za dunia (thank you). Umelezea pia kwa nini watu weusi walibadilika na kuwa weupe(again thank you) na hatimaye kuwa na akili nyingi kuzidi wale waliobaki Afrika (Huwa najiuliza nani alituita waafrika na alikuwa na lengo lipi?)

Tofauti ya kimaendeleo baina ya kambi hizi mbili umelelekeza zaidi katika kukua kwa uzalishaji kulikotokana na uvumbuzi wa chuma na teknolojia (Hapa najiuliza kwani mji wa Timbuktu na ustaarabu wake na chuo kikuu cha kwanza duniani si kilikuwa hapo Timbuktu?). Kuna sehemu umezungumzia kabila la Igbor la Nigeria kwamba ni kabila lenye akili kuliko makaila yote ya Nigeria (thank you nimepata kitu hapa). Lakini zaidi umenifumbua ufahamu wangu uliposema nchi ya India ina makabila mengi lakini ukahitimisha kwamba wahindi weusi ndio wenye akili kuliko wahindi weupe (Safi sana).

Kwa kifupi tu, mtawanyiko wa watu weusi duniani ni mtawanyiko wa wana wa Isreal duniani. Tunu hii tumepokwa na watu weupe walioanza kutuita Waafrika ili kuficha identity yetu. Ushahidi upo wazi katika biblia kwamba wana wa Israel watachukuliwa utumwani kwa njia ya meli, huko watatumikishwa, watateshwa, watadhaurika, watachukiwa na kila kabila (Taifa) duniani lakini mwisho wake watakujarudi kwenye nchi yao ya ahadi. White house imejengwa na watumwa, mashamba makubwa na viwanda vikubwa nchini marekeani kuna mikono ya watu weusi.

Mkuu endelea kutiririka ili nasi tunaotazama kwa jicho linguine tuchote kile tunachoona kinatufaa kwa ajili ya mabandiko yetu. Big up Bro
Umeulizia juu ya Mji wa Timbuktu lakini nataka kutuambia kuwa, Mji ule haukuwa wa kiafrika, bali ulitawaliwa na nguvu ya jamii za Watuaregi ambao ndio waliokuwa wametawala biashara ya Trans Saharan Trade. Dola zote za Ghana, Mali, Songhai na hata Kanem Bornu, ziliweza tu kustawi as long as hazikuwasumbua wafanyabiashara hao wenye asilimia ya Hamites. Watawala wote waliotaka kuwabughudhi wafanyabiashara hao ndio waliosababisha kuporomoka kwa miji na dola zake. Nadhani unasikia kuhusu Almoravids kuiangusha Ghana na Moroccans kuiangusha Songhai.
So, Timbuktu ambayo ilistawi sana katika utawala wa kuanzia Sundiata Keita hadi Mansa Kankan Mussa karne ya 12 - 14, haukuwa mji wa kiafrika kihivyo bali ulitegemea uwezo wa jamii za kiarabu Kaskazini mwa Afrika, pamoja na Watuaregi na Waberiberi jangwani mwa Sahara.
Hata Chou kikuu ilikuwa siyo ishu ya sisi Negroid bali ilikuwa kazi yao hao Hamites ambao walileta na dini ya Kiislamu katika ukanda wa Sudanic (Savannah) States.
 
Mkuu ili swala la africus kuwa ndo wagunduz wa kwanza wa moto umelitoa wap,asee embu tuwe serious tunapoleta hizi mambo za kujifunza umu ukurupukaji sio mzr,kasome vzr mkuu nakushauri achana na artificial nkimaanisha (sayansi)ambayo ndo chanzo kikubwa cha kutuchanganya tusifaamu ukweli wap tumetoka na tunapokwenda,chukua bible zimiksi za wayahudi na zetu pia funua sana vitabu kadha wa kadha,...wanadamu tumeanza mbali aya mambo madg dg ya mpka cc kuja katk bara la africa na kuishi mapongoni ni mafikio tu embu rud nyuma kabisa ndipo uje uku mwishoni...,ILA HII KITU KAMA MKO SERIOUS MNAHITAJI KUJITAMBUA ANZENI NA MZIZI WENU NDIPO MJE UKU MWISHONI,pia swala la akili(utashi) ilo msijisumbue jipeni jibu ninyi wenyewe lililo hai,mfn_umejaaliwa mtt katk uhusiano wako ww na mke huyo mtoto aliyezaliwa mpatie vyakula vyote,mnaita mlo kamili cjui,mpatie ivyo vyakula vya kumjenga kiakili,kimwili alafu mfungie ndani,usimpereke shule,usimruhusu kuckilza hata redio wala kutizm tv..muwe mnawasiliana nae kawaida tu...jibu utalopata,uyu mtt atakuwa kama mpungufu wa akili...pia kitu kingine,mpatie mtt pia hivyohivyo vyakula vya kumjenga kiakili mpeleke shule,atasoma vzr ila lazima apoteze seem unaijua??,kitu kinaitwa (ubunifu)kwann kakosa unajua sababu?,mitaala ya kuongozwa upotofu na makaririsho ya udumavu wa akili,unajua wenzetu weupe wanapataje elimu yao?na kwa maangalizi yapi?,USITOE UTETEZI KUWA MBONA TUNA WASOMI WENGI NA WANAFANYA KAZI IDARA TOFAUTI!,unaweza nambia ni idara gani na zipoje?,je ni enderevu au dumavu,endapo dumavu kumbe basi zipo na zitakuwepo hazina movement zaidi ya changes za waajiliwa,ZIPO TAASISI ZENYE UENDELEVU KIAKILI,KIMAUMBO,KIMAJONGEO NA KUJA KUBAKIA KIHISTORIA,najua ntakua nimekuacha na maswali mengi ila yenye kujibika kirahisi,nakutajia shirika mojawapo kubwa lenye uajili wa mtu mwenye akili na akili yenye wendelevu,ubunifu n.k NASA,hapo mkuu kila term wanasonga mbele kila sekunde na dakika akili zinapanda za watendaji wake wa kazi...yapo mashirika mengi ila nimewataarifu tu kiufupi,kama mko tayar kumdadavua mwanadamu mweusi muanze serious.
Umeongea pumba bahati mbaya unaamini umeongea point...nenda kachimbe upya...technologia zaid ya 75% ni ugunduzi uliofanywa na ngozi nyeusi...google pekee huwezi kujua haya..
 
Kalili tu digi boga mkuu usijitie mjuaji wote tunajifunza cjaweka maudhui yeyote yanayohusiana na kugoogle mkuu digi boga tu usilete u much know na tusidanganyane humu wote twajifunza.
 
Wow! We have got a long way to go. Dont know where to start. Imagine, this original poster of this thread, teaching his kids about these inferiority state of their condition, will his descendants love themselves like they would love the better intelligent man? Hell no! Will his kids love his country and sacrifice for it? Hell no! Who would sacrifice himself for some low life unintelligent race.
Guys there is so much wrong information and inferiority complex in this thread, from a poster who is a Christian that believeth God favoured Jewish race. When one believes these religious doctrine, he/ she is susceptible to believe these BS, that was the reason why religion with white Gods came into existence, to put a black man down, learn about Willie lynch.
To cut long story short, fire invention, blacksmiths all originated from Africa and was spread all over. Earliest records of blacksmiths is found in South Africa.
All men were created from Africa, some interbred with neanderthals and produced semi humanoids mutant deficient aryan race, most knowledge started from Africa. Babylon is trying harder to make it look the other way round.
But truth will always prevail, no matter what. My advice unto ye all falling for this BS.

Man! Know thyself.
 
Such a brilliant piece of the elite from an African perspective. Am though here not to propagate rhetoric ideals only to appease my desire. Am a History and Social Analyst so my desire will always dwell on factual and objective oriented statements.
You can't solve the problem by merely walking away from it rather you've to face it. Let's face the "reality" in order to be in a good position to master our daily evolving mankind.
 
Back
Top Bottom