Eli Cohen
JF-Expert Member
- Jun 19, 2023
- 11,191
- 35,870
UBINADAMU NI AMANI
HISTORIA NI VITA.
ebu chukua picha yako ya utotoni ujiangalie ulivyokuwa mdogo na ujiulize kama misimamo yako ya sasa ya kidini, itikadi na ukanda ilimaanisha chochote muda ule.
Tumekuwa watumwa wa historia, kwamba babu na baba yangu aliwaua wakristo then na mimi niwamalize, kwamba bibi na mama yangu aliwaita waislam mashetani na mimi pia nitawatemee mate.
Leo tunamezeshwa maji ya maiti, kufadhili mamlaka na sadaka feki,
Leo tunalizmishwa kufanya jihad ilioanzishwq na chuki binafsi alafu tunajitapa tuko CIVILIZED