asili ya mwanadamu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. H

    JamiiForums Tanzania Asili ya Mwanadamu ni Mchukia Dhuluma. Serikali Dhulumati Itatengeneza Maadui Wengi Sana Dhidi Yake kwa Kukumbatia Dhuluma

    Asili ga binadamu ni kupenda haki, mwanadamu kupenda dhuluma ni kitu ambacho huwa kinapandikizwa na kutengenezwa. Kazi ya kupandikiza dhuluma huwa ni ngumu sana na huwa haishindi kwa sababu inapingana na asili ya binadamu. Siku zote, mwanadamu ambaye dhamira yake haijaharibiwa, husimama na...
  2. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Madogo mliomo JF chukueni mbili tatu kuwahusu warembo ili iwasaidie katika safari yenu ya mapenzi

    1: Penzi la age-mate wako litakutesa sana. Kuna namna kiasili mwanamke unae lingana nae anakuwa vibrant kukuzidi na pia anakuwa anakuona chalii katika experience ya maisha thus anakuwa triggered zaidi na wanaomzidi umri. 2: Binti kama anakukubali na bado hauja mu-approach atakuset ili ionekane...
  3. Financial Analyst

    JamiiForums Tanzania Kama asili ya mwanadamu ilikuja kabla ya dini kuja kwanini akubali imuendeshe? then ukitaka kumjua Mungu wa kweli achana na mambo ya dini

    Ushawahi kujiuliza kuwa wale watu waliokuwepo kabla ya dini yako kuja wataenda wapi? Mbiguni au motoni? Dini inakufanya ukae mbali na Mungu wakati umekaa nae hapo pembeni yako. Dini inakufanya ukae mbali na ukweli wa asili yako ili ukumbatie stori za kusadikika na kufikirika. Dini...
  4. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Asili ya mwanadamu ni amani na co-existence ndio maana ukishazaliwa una adapt na kila kitu kinachokuzunguka then kinachokuja kutuharibia ni historia

    UBINADAMU NI AMANI HISTORIA NI VITA. ebu chukua picha yako ya utotoni ujiangalie ulivyokuwa mdogo na ujiulize kama misimamo yako ya sasa ya kidini, itikadi na ukanda ilimaanisha chochote muda ule. Tumekuwa watumwa wa historia, kwamba babu na baba yangu aliwaua wakristo then na mimi niwamalize...
  5. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Zumaridi yupo sahihi (Mwafrika hajaumbwa/ Mwafrika ni Mungu) Likud 7th theory of creation

    Bado naendelea kutafuta asili ya mwanadamu na kwanini yupo duniani. Nimesha taja nadharia Sita kuhusu kile ninacho ona huenda kikawa ndio chanzo cha Sisi kuwepo hapa duniani. Hii ni nadharia yangu namba saba. MWAFRIKA HAJAUMBWA. Ila? MWAFRIKA yuko pamoja na Mungu. Kama ambavyo Mungu hana...
  6. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

    JamiiForums Tanzania Zijue asili za Waafrika, Wachina, Wazungu na Waarabu

    HAPA ndipo chimbuko la wazungu na baadhi ya waarabu, nchi ya Georgia, panaitwa CAUCASIA , milima Yao Inaitwa Caucasus mountains. Bahari Yao Inaitwa Black Sea, haisapoti hata samaki... Ina kemikali zisizoruhusu uwepo wa wayama. Tofauti na sisi great lakes zetu za chimbuko la mababu zetu zote...
Back
Top Bottom