Eli Cohen
JF-Expert Member
- Jun 19, 2023
- 11,191
- 35,870
1: Penzi la age-mate wako litakutesa sana. Kuna namna kiasili mwanamke unae lingana nae anakuwa vibrant kukuzidi na pia anakuwa anakuona chalii katika experience ya maisha thus anakuwa triggered zaidi na wanaomzidi umri.
2: Binti kama anakukubali na bado hauja mu-approach atakuset ili ionekane wewe ndio unamtaka, yani atajiweka katika mazingira ya wewe kupambana kumpata.
3: Kosa kubwa utakalo fanya mdogo wangu ni ku-dedicate maisha yako katika kufukuzia mademu. That shit is depressing and it swallows your aura and energy
4: Usihangaike na wadada wanaokuzidi status katika uchumi, career na style za kimaisha. Utaiishia kuilamu nafsi yako na kujichukia wakati wao wakiendelea kupaa
5: Mapenzi ni hisia za kujiunda na mambo ya kufikirika, kwa hio usigeuze hisia unazopata katika uhalisia na kutarajia dunia halisia ita relate hivyo hivyo, utaumia.