Madogo mliomo JF chukueni mbili tatu kuwahusu warembo ili iwasaidie katika safari yenu ya mapenzi

Madogo mliomo JF chukueni mbili tatu kuwahusu warembo ili iwasaidie katika safari yenu ya mapenzi

Hakikksha unayemjoa ni yule anayemgusa hisia zako. Usioe mwanamke kwasabb huruma tu ama kwasabb an mimba yako uliiyompachika ktk harakati za kutoa upwiru na kupita..
 
Naomba niongozee pia

6.Demu wako angekua na chaguo bora zaidi yako angekuacha. Yupo na wewe kwa sababu kuu mbili. Moja, anasikilizia kama harakati zako zitatusua ili aibuke na ule msemo wa kitapeli, "kwenye mafanikio ya mwanaume nyuma kuna mwanamke" . Mbili, katika list ya wanaume wanaomtongoza chaguo bora zaidi yako bado halijajitokeza. Zingatia: kila mwanamke yupo single inategemea katongozwa na nani.

7. Ndoa ni mkataba wa kitapeli kwa mwanaume. Nafikiri hili lishaingelewa sana hapa jukwaani kwaiyo sina cha kuongeza

8.Dogo usipoteze furaha yako kwa ajiri ya mwanamke, kwa sababu meza ikipinduka mwanamke hatojifikiria mara mbili kukupoteza wewe kwa ajiri ya furaha yake.

9.Usitumie hela yako kuboresha maisha ya mwanamke. UTAJUTA. Huo sio wajibu wako, ni wajibu wa wazazi na ndugu zake. Narudia tena, UTAJUTA.

10.Wanawake hawavutiwi na mwanaume mwema. Mwanamke anamng'ang'ania mwanaume ambae ni careless and rudely kidogo. Anamuheshimu mwanaume ambaye anamwambia "hapana" na anamaanisha kweli hapana, sio mwanaume mwema anaejali sana na kufanya kila anachotaka mwanamke.

11.Wana-edit past zao. Wanaficha taarifa sahihi za body count, abortions na skendos kwa sababu wanajua hizo taarifa zinawaalibia soko.
 
Back
Top Bottom