Zumaridi yupo sahihi (Mwafrika hajaumbwa/ Mwafrika ni Mungu) Likud 7th theory of creation

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
19,943
Reaction score
37,839
Bado naendelea kutafuta asili ya mwanadamu na kwanini yupo duniani.

Nimesha taja nadharia Sita kuhusu kile ninacho ona huenda kikawa ndio chanzo cha Sisi kuwepo hapa duniani.

Hii ni nadharia yangu namba saba.

MWAFRIKA HAJAUMBWA.

Ila?

MWAFRIKA yuko pamoja na Mungu.

Kama ambavyo Mungu hana mwanzo wala mwisho basi vivyo hivyo kwa MWAFRIKA.

Mwafrika amekuwa katika uwepo wa Mungu tangu mwanzo na ataendelea kuwepo pamoja na Mungu hata milele.

Sisi tupo pamoja na Mungu. Sisi ni sehemu ya Mungu. We are a part of God that is manifested on Earth.

Hatuna mwanzo wala mwisho.

Babu zetu walijua kuhusu ukweli huu ndio maana walifanya " Ancestral Veneration ambayo was very powerful and it is still powerful up to date.

.......

Vipi kuhusu Adam na Hawa?

As Africans we don't have anything to do with Adam and Eve.

They are not our ancestors.

Our ancestors were here a billion of years even before Adam and Eve were created.

Hata kwenye Biblia imeandikwa baada ya Kaini kumuua Abili alienda kuoa na pia aliwekewa alama ili watu wakimuona wasimuue.

FOR MY OPINION, HOW ADAM AND EVE WERE CFEATED AND WHO CREATED THEM?

For my opinion, Adam na Hawa walikuwa created in the womb of ISIS.

Kwa maelekezo ya mbari ( Race) ya an Advanced Aliens from the space ambao walitaka kutengeneza kiumbe mwenye kufanana na miungu ( Sisi wa Afrika)
Adam na Hawa walikuwa incubatated ndani ya tumbo la Isis.

Adam na Hawa walikuwa watu wa kwanza kutengenezwa na hao Aliens kama tunavyo we za kusema " Sofia alikuwa Robot wa kwanza kutengenezwa let's say na kampuni fulani ya kutengeneza maroboti.

Ndio maana kitabu cha kwanza cha uzao wa ISIS kikaitwa " GENESIS"

GENESIS = GENERATION OF ISIS.

......

So wewe M Tanzania.

Wewe MWAFRIKA.

Uktistu haukuhusu

Uislamu haukuhusu.

Adam na Hawa Hawa kuhusu.

Wewe upo pamoja na Mungu tangu alipoanza kuwepo na utaendelea kuwa pamoja nae hata milele.

Usiwe mtu mwa wa watu wa uzao wa ISIS.

Usimchukie mwafrika mwenzako kwa sababu ya mafundisho ya hovyo ya watu wa uzao wa Isis
 
Nimesha taja nadharia Sita kuhusu kile ninacho ona huenda kikawa ndio chanzo mwanadamu hapa duniani.

Hii nadharia yangu namba saba.

MWAFRIKA HAJAUMBWA.

Ila?

MWAFRIKA yuko pamoja na Mungu.

Kama ambavyo Mungu hana mwanzo wala mwisho basi vivyo hivyo kwa MWAFRIKA.

Mwafrika amekuwa katika uwepo wa Mungu tangu mwanzo na ataendelea kuwepo pamoja na Mungu hata milele.

Sisi tupo pamoja na Mungu. Sisi ni sehemu ya Mungu. We are a part of God that thinks that it just humans. We are God manifested on Earth.

Babu zetu walijua kuhusu ukweli huu ndio maana walifanya " Ancestral Veneration ambayo was very powerful and it is still powerful up to date.

.......

Vipi kuhusu Adam na Hawa?

As Africans we don't have anything to do with Adam and Eve.

They are not our ancestors.

Our ancestors were here a billion of years even before Adam and Eve were created.

Hata kwenye Biblia imeandikwa baada ya Kaini kumuua Abili alienda kuoa na pia aliwekewa alama ili watu wakimuona wasimuue.

FOR MY OPINION, HOW ADAM AND EVE WERE CFEATED AND WHO CREATED THEM?

For my opinion, Adam na Hawa walikuwa created in the womb of ISIS.

Kwa maelekezo ya mbari ( Race) ya an Advanced Aliens from the space ambao walitaka kutengeneza kiumbe mwenye kufanana na miungu ( Sisi wa Afrika)
Adam na Hawa walikuwa incubatated ndani ya tumbo la Isis.

Adam na Hawa walikuwa watu wa kwanza kutengenezwa na hao Aliens kama tunavyo we za kusema " Sofia alikuwa Robot wa kwanza kutengenezwa let's say na kampuni fulani ya kutengeneza maroboti.

Ndio maana kitabu cha kwanza cha uzao wa ISIS kikaitwa " GENESIS"

GENESIS = GENERATION OF ISIS.

......

So wewe M Tanzania.

Wewe MWAFRIKA.

Uktistu haukuhusu

Uislamu haukuhusu.

Adam na Hawa Hawa kuhusu.

Wewe upo pamoja na Mungu tangu alipoanza kuwepo na utaendelea kuwa pamoja nae hata milele.

Usiwe mtu mwa wa watu wa uzao wa ISIS.

Usimchukie mwafrika mwenzako kwa sababu ya mafundisho ya hovyo ya watu wa uzao wa Isis
Vip broh haya mambo ulijifunzia EMS
 
Ni kweli Adam aliishi miaka Mia Tisa kama wanavyo sema kwenye Bible na Kuruani?
For my opinion I think No. Labda kama walikuwa wana hesabu miaka kwa miezi mitatu ila kwa miaka hii hii ya siku 365. Hell! No!
 
Hata hao akina adamu na hawa hawajawai kuwepo ni stories za kutungwa, maana kulingana na biblia/quran inaonesha huyo adamu aliumbwa miaka isiyozidi 7000 B.C wakati huo kuna jamii za wazungu/waarabu/wahindu/waafrika walioishi zaidi ya miaka 10,000B.C je hawa walitoka wapi? Je vitabu vya kidini vimechakachuliwa kujuwa ni muda gani sahihi wa mwanzo wa uumbwaji au kuna upotoshwaji wa ukweli kuhusu uumbaji?

Ukweli ni kwamba Kuna Miungu wengi jambo ambalo dini hazitaki kukubali zinalazimisha Mungu aonekane mmoja, wakati huo hata biblia inaprove kuwa kuna Miungu wengi.

Kiumbe chochote kilicho na uwezo zaidi ya viumbe wengine hicho ni Mungu, kiumbe chochote cha asili kinacholeta uzazi duniani ni Mungu, viumbe wote wa asili ni Miungu, hata wanyama wakali mwituni ni Miungu, vile vile baadhi ya Viongozi wenye nguvu za kiserikali ni Miungu,.

Hivyo basi kama kuna Miungu(viumbe wenye nguvu) basi kuna Muumbaji wa hivyo viumbe ambaye si Mungu bali mmiliki wa uweza, nguvu na mamlaka zaidi ya sheria za Kimungu, ambaye ndie chanzo cha uhai.

Back to topic, watu weusi wapo duniani kwa mamilion ya miaka kabla hata ya uwepo wa ngozi nyeupe, hawa weupe wote wamekuja duniani baadae sana wakimkuta mtu mweusi kazagaa dunia nzima, jambo ambalo hata leo hii lina ushahidi.

Nenda popote pale duniani lazima umkute mtu mweusi, jambo ambalo ni gumu kwa race zingine kuziona kila mahala, hili ndilo hawakulipenda wazungu na hata hao watu weupe wengine ndiomaana wakati wa ukoloni baadhi ya maeneo waliwauwa watu weusi na kubadili historia za maeneo hayo, mfano Bara la America lote, Australia, Asia ya middle east, afrika pande za kaskazini na maeneo yote waliyovamia waarabu na kuleta race zao.

Biblia na quran ni vitabu vya uongo vimeundwa na wazungu miaka ya juzi tu haizidi hata 2000 ndipo wakauleta na huo uislam dini ya mchongo, hizi zote ni takataka zilizoundwa kwa kucopy hadithi za habari zilizowahusu watu weusi kwa maelfu ya miaka.

Mfano storie ya adamu na eva imekopiwa kutoka kwa hadithi ya watu weusi iliyotokea mamilioni ya miaka, baada ya Miungu wa roho kumshusha kiumbe wa mwisho kiuweza wa roho na kumleta katika ulimwengu huu autawale na alete uzao wake utakaofanana nae na kuendeleza maisha ya mwili, nafsi na roho.

Pia story ya Samson hiii ndio kabisa ilimuhusu rastafarian muafrika aliyekuwa na nguvu si za kawaida, bila kusahau hadithi ya Musa ilimuhusu shujaa wa kiafrika ambaye aliwatoa utumwani watu weusi kutoka katika vifungo vya Roho+akili wawe huru kifikra, na wala storie hii haihusiani na mafarao wala kuwekana utumwani misri.

Pia storie ya yesu hii ilitokea hapa hapa Afrika, na mtu mwenyewe hakuwa mzungu wala muarabu bali shujaa wa kiafrika aliyekuja duniani kwaajili ya mafundisho ya kuwapa mwanga watu weusi na aliuwawa na hao hao wanadamu weupe kwa wivu na chuki.
Pia stories za sodoma na gomora zilitokea hapa hapa Afrika baada ya uzawa wa wazungu kuzidisha machafuko ya mabaya ya kila namna ndio chanzo cha kipigo, pia Nuhu na storie za safina ilitokea hapa hapa baada ya machafuko ya wazungu walioshirikiana na watu weusi kwenda kinyume na sheria za asili.

Pia Babel ilikuwa hapa hapa Afrika baada ya watu weusi kujenga Pyramid ya kuwawezesha wao kuingia ktk ulimwengu mwingine(roho) na ndio chanzo cha tetemeko kubwa lililoigawa dunia na kuleta tofauti za kimaeneo(mabara) na tofauti za lugha.

Pia story za nephilims zilitokea hapa hapa afrika baada ya watu weusi kuzaa na Miungu(malaika) iliyohasi ktk ulimwengu wa roho na baadae ndio uzao wa white people ukatokea.

Kiufupi mambo yote mnayofundishwa ktk dini zenu ni uongo by 100% kwani yamebadirishwa kwa kupora historia ya watu weusi na kuwapachika wazungu+waarabu kwa manufaa yao na Miungu yao(fallen Angels) ambao ndio mababa zao wa asili.
 
Mkuu nakubaliana na wewe kwa asilimia Mia moja.

Nondo zako ni za mtu ambae amesoma vitabu na kufanya research hasa.

Mtu ambae hasomi vitabu wala kufanya research hawezi kuelewa ulicho andika
 
IS-RA-EL
IS ( ISIS) agano la kale ni mwandiko was Mazayuni kwa manufaa Yao na ndio sababu wanajifanya wanaliamini Hilo tu.
Bado nawaza Mungu kwanini aweke Bustani Jangwani.
100 percent fact..

Ni ngumu mno hiyo bustani ya Eden Kutokuwepo sehemu kama Tanganyika ambapo kuna mazingira Bora na sahihi kabisa kijiografia ndio ikawepo Iraq jangwani huko.
 
For my opinion I think No. Labda kama walikuwa wana hesabu miaka kwa miezi mitatu ila kwa miaka hii hii ya siku 365. Hell! No!
Miaka Mia Tisa sio poa aisee.

Anyways Zumaridi yupo sahihi kwa asilimia ngapi?
 
Bado naendelea kutafuta asili ya mwanadamu na kwanini yupo duniani.

Nimesha taja nadharia Sita kuhusu kile ninacho ona huenda kikawa ndio chanzo cha Sisi kuwepo hapa duniani.

Hii ni nadharia yangu namba saba.

MWAFRIKA HAJAUMBWA.

Ila?

MWAFRIKA yuko pamoja na Mungu.

Kama ambavyo Mungu hana mwanzo wala mwisho basi vivyo hivyo kwa MWAFRIKA.

Mwafrika amekuwa katika uwepo wa Mungu tangu mwanzo na ataendelea kuwepo pamoja na Mungu hata milele.

Sisi tupo pamoja na Mungu. Sisi ni sehemu ya Mungu. We are a part of God that is manifested on Earth.

Hatuna mwanzo wala mwisho.

Babu zetu walijua kuhusu ukweli huu ndio maana walifanya " Ancestral Veneration ambayo was very powerful and it is still powerful up to date.

.......

Vipi kuhusu Adam na Hawa?

As Africans we don't have anything to do with Adam and Eve.

They are not our ancestors.

Our ancestors were here a billion of years even before Adam and Eve were created.

Hata kwenye Biblia imeandikwa baada ya Kaini kumuua Abili alienda kuoa na pia aliwekewa alama ili watu wakimuona wasimuue.

FOR MY OPINION, HOW ADAM AND EVE WERE CFEATED AND WHO CREATED THEM?

For my opinion, Adam na Hawa walikuwa created in the womb of ISIS.

Kwa maelekezo ya mbari ( Race) ya an Advanced Aliens from the space ambao walitaka kutengeneza kiumbe mwenye kufanana na miungu ( Sisi wa Afrika)
Adam na Hawa walikuwa incubatated ndani ya tumbo la Isis.

Adam na Hawa walikuwa watu wa kwanza kutengenezwa na hao Aliens kama tunavyo we za kusema " Sofia alikuwa Robot wa kwanza kutengenezwa let's say na kampuni fulani ya kutengeneza maroboti.

Ndio maana kitabu cha kwanza cha uzao wa ISIS kikaitwa " GENESIS"

GENESIS = GENERATION OF ISIS.

......

So wewe M Tanzania.

Wewe MWAFRIKA.

Uktistu haukuhusu

Uislamu haukuhusu.

Adam na Hawa Hawa kuhusu.

Wewe upo pamoja na Mungu tangu alipoanza kuwepo na utaendelea kuwa pamoja nae hata milele.

Usiwe mtu mwa wa watu wa uzao wa ISIS.

Usimchukie mwafrika mwenzako kwa sababu ya mafundisho ya hovyo ya watu wa uzao wa Isis
Mkuu fafanua kidogo kuhusu Ancestral Veneration nataka zaidi.
 
Hata hao akina adamu na hawa hawajawai kuwepo ni stories za kutungwa, maana kulingana na biblia/quran inaonesha huyo adamu aliumbwa miaka isiyozidi 7000 B.C wakati huo kuna jamii za wazungu/waarabu/wahindu/waafrika walioishi zaidi ya miaka 10,000B.C je hawa walitoka wapi? Je vitabu vya kidini vimechakachuliwa kujuwa ni muda gani sahihi wa mwanzo wa uumbwaji au kuna upotoshwaji wa ukweli kuhusu uumbaji?

Ukweli ni kwamba Kuna Miungu wengi jambo ambalo dini hazitaki kukubali zinalazimisha Mungu aonekane mmoja, wakati huo hata biblia inaprove kuwa kuna Miungu wengi.

Kiumbe chochote kilicho na uwezo zaidi ya viumbe wengine hicho ni Mungu, kiumbe chochote cha asili kinacholeta uzazi duniani ni Mungu, viumbe wote wa asili ni Miungu, hata wanyama wakali mwituni ni Miungu, vile vile baadhi ya Viongozi wenye nguvu za kiserikali ni Miungu,.

Hivyo basi kama kuna Miungu(viumbe wenye nguvu) basi kuna Muumbaji wa hivyo viumbe ambaye si Mungu bali mmiliki wa uweza, nguvu na mamlaka zaidi ya sheria za Kimungu, ambaye ndie chanzo cha uhai.

Back to topic, watu weusi wapo duniani kwa mamilion ya miaka kabla hata ya uwepo wa ngozi nyeupe, hawa weupe wote wamekuja duniani baadae sana wakimkuta mtu mweusi kazagaa dunia nzima, jambo ambalo hata leo hii lina ushahidi.

Nenda popote pale duniani lazima umkute mtu mweusi, jambo ambalo ni gumu kwa race zingine kuziona kila mahala, hili ndilo hawakulipenda wazungu na hata hao watu weupe wengine ndiomaana wakati wa ukoloni baadhi ya maeneo waliwauwa watu weusi na kubadili historia za maeneo hayo, mfano Bara la America lote, Australia, Asia ya middle east, afrika pande za kaskazini na maeneo yote waliyovamia waarabu na kuleta race zao.

Biblia na quran ni vitabu vya uongo vimeundwa na wazungu miaka ya juzi tu haizidi hata 2000 ndipo wakauleta na huo uislam dini ya mchongo, hizi zote ni takataka zilizoundwa kwa kucopy hadithi za habari zilizowahusu watu weusi kwa maelfu ya miaka.

Mfano storie ya adamu na eva imekopiwa kutoka kwa hadithi ya watu weusi iliyotokea mamilioni ya miaka, baada ya Miungu wa roho kumshusha kiumbe wa mwisho kiuweza wa roho na kumleta katika ulimwengu huu autawale na alete uzao wake utakaofanana nae na kuendeleza maisha ya mwili, nafsi na roho.

Pia story ya Samson hiii ndio kabisa ilimuhusu rastafarian muafrika aliyekuwa na nguvu si za kawaida, bila kusahau hadithi ya Musa ilimuhusu shujaa wa kiafrika ambaye aliwatoa utumwani watu weusi kutoka katika vifungo vya Roho+akili wawe huru kifikra, na wala storie hii haihusiani na mafarao wala kuwekana utumwani misri.

Pia storie ya yesu hii ilitokea hapa hapa Afrika, na mtu mwenyewe hakuwa mzungu wala muarabu bali shujaa wa kiafrika aliyekuja duniani kwaajili ya mafundisho ya kuwapa mwanga watu weusi na aliuwawa na hao hao wanadamu weupe kwa wivu na chuki.
Pia stories za sodoma na gomora zilitokea hapa hapa Afrika baada ya uzawa wa wazungu kuzidisha machafuko ya mabaya ya kila namna ndio chanzo cha kipigo, pia Nuhu na storie za safina ilitokea hapa hapa baada ya machafuko ya wazungu walioshirikiana na watu weusi kwenda kinyume na sheria za asili.

Pia Babel ilikuwa hapa hapa Afrika baada ya watu weusi kujenga Pyramid ya kuwawezesha wao kuingia ktk ulimwengu mwingine(roho) na ndio chanzo cha tetemeko kubwa lililoigawa dunia na kuleta tofauti za kimaeneo(mabara) na tofauti za lugha.

Pia story za nephilims zilitokea hapa hapa afrika baada ya watu weusi kuzaa na Miungu(malaika) iliyohasi ktk ulimwengu wa roho na baadae ndio uzao wa white people ukatokea.

Kiufupi mambo yote mnayofundishwa ktk dini zenu ni uongo by 100% kwani yamebadirishwa kwa kupora historia ya watu weusi na kuwapachika wazungu+waarabu kwa manufaa yao na Miungu yao(fallen Angels) ambao ndio mababa zao wa asili.
Very interestingly. Funguka zaidi mkuu tujifunze
 
100 percent fact..

Ni ngumu mno hiyo bustani ya Eden Kutokuwepo sehemu kama Tanganyika ambapo kuna mazingira Bora na sahihi kabisa kijiografia ndio ikawepo Iraq jangwani huko.
Watumishi wamekuwa wakihubiri uongo kwa kipindi kirefu Sana.
Waje waombe radhi wafuasi wao .
 
Back
Top Bottom