Bado naendelea kutafuta asili ya mwanadamu na kwanini yupo duniani.
Nimesha taja nadharia Sita kuhusu kile ninacho ona huenda kikawa ndio chanzo cha Sisi kuwepo hapa duniani.
Hii ni nadharia yangu namba saba.
MWAFRIKA HAJAUMBWA.
Ila?
MWAFRIKA yuko pamoja na Mungu.
Kama ambavyo Mungu hana mwanzo wala mwisho basi vivyo hivyo kwa MWAFRIKA.
Mwafrika amekuwa katika uwepo wa Mungu tangu mwanzo na ataendelea kuwepo pamoja na Mungu hata milele.
Sisi tupo pamoja na Mungu. Sisi ni sehemu ya Mungu. We are a part of God that is manifested on Earth.
Hatuna mwanzo wala mwisho.
Babu zetu walijua kuhusu ukweli huu ndio maana walifanya " Ancestral Veneration ambayo was very powerful and it is still powerful up to date.
.......
Vipi kuhusu Adam na Hawa?
As Africans we don't have anything to do with Adam and Eve.
They are not our ancestors.
Our ancestors were here a billion of years even before Adam and Eve were created.
Hata kwenye Biblia imeandikwa baada ya Kaini kumuua Abili alienda kuoa na pia aliwekewa alama ili watu wakimuona wasimuue.
FOR MY OPINION, HOW ADAM AND EVE WERE CFEATED AND WHO CREATED THEM?
For my opinion, Adam na Hawa walikuwa created in the womb of ISIS.
Kwa maelekezo ya mbari ( Race) ya an Advanced Aliens from the space ambao walitaka kutengeneza kiumbe mwenye kufanana na miungu ( Sisi wa Afrika)
Adam na Hawa walikuwa incubatated ndani ya tumbo la Isis.
Adam na Hawa walikuwa watu wa kwanza kutengenezwa na hao Aliens kama tunavyo we za kusema " Sofia alikuwa Robot wa kwanza kutengenezwa let's say na kampuni fulani ya kutengeneza maroboti.
Ndio maana kitabu cha kwanza cha uzao wa ISIS kikaitwa " GENESIS"
GENESIS = GENERATION OF ISIS.
......
So wewe M Tanzania.
Wewe MWAFRIKA.
Uktistu haukuhusu
Uislamu haukuhusu.
Adam na Hawa Hawa kuhusu.
Wewe upo pamoja na Mungu tangu alipoanza kuwepo na utaendelea kuwa pamoja nae hata milele.
Usiwe mtu mwa wa watu wa uzao wa ISIS.
Usimchukie mwafrika mwenzako kwa sababu ya mafundisho ya hovyo ya watu wa uzao wa Isis