Financial Analyst
JF-Expert Member
- Nov 27, 2017
- 2,404
- 5,682
Ushawahi kujiuliza kuwa wale watu waliokuwepo kabla ya dini yako kuja wataenda wapi? Mbiguni au motoni?
Dini inakufanya ukae mbali na Mungu wakati umekaa nae hapo pembeni yako.
Dini inakufanya ukae mbali na ukweli wa asili yako ili ukumbatie stori za kusadikika na kufikirika.
Dini inakufundisha uamini mungu wa dini hio na inakutia hofu kuuliza maswali juu yake ili ufanye yale wanayoagiza ili tu ufanikishe matakwa ya cult yao.
Tunamtafuta mungu mbali, mambo yasipoenda vizuri tunamlalamikia ila kumbe tuna uamiza nafsi na confidence yetu.
MUNGU YUPO NDANI YAKO, MUNGU NI WEWE