Wewe Mungu wa kweli unamjua? ? ?
Au ndo unataka utuanzishie mafundisho yako leo 2025? ! ? ! You're late! ! !
The LORD has already revealed himself through his servants the prophets, through his inerrant word and through his son Jesus Christ.
You're late bro. Now all you are is a false teacher.
God is laughing.
"Kwa kuwa nimewaita mkakataa kusikiliza, nimewapungia mkono mje mkakataa,
mkapuuza mashauri yangu yote, wala hamkuyajali maonyo yangu,
nami pia nitayachekelea maafa yenu, nitawadhihaki mnapokumbwa na hofu,
hofu itakapowakumba kama tufani, maafa yenu yatakapowavamia kama kimbunga, wakati udhia na dhiki vitakapowapata.
Hapo ndipo mtakaponiita lakini sitaitika; mtanitafuta kwa bidii lakini hamtanipata.
Kwa kuwa mliyachukia maarifa, wala hamkuchagua kumcha Mwenyezi-Mungu;
basi, mtakula matunda ya mienendo yenu, mtavimbiwa kwa hila zenu wenyewe.
Maana wajinga hujiua kwa ukaidi wao, wapumbavu hujiangamiza kwa kujiamini kwao.
Lakini kila anisikilizaye atakaa salama, atatulia bila kuogopa mabaya.”
Methali.1.24-33.BHN