Kama asili ya mwanadamu ilikuja kabla ya dini kuja kwanini akubali imuendeshe? then ukitaka kumjua Mungu wa kweli achana na mambo ya dini

Je Mungu alitoka wapi?
Usiseme hajatoka popote maana kitakulamba

Mungu ametoka wapi na anaenda wapi?
Wewe na mleta mada mmeungana kukimbia swali langu, hata hizo Idea za sijui wewe ndie Mungu sijui nini, ni umezisikia mahali wala hazijatika kichwani mwako hao jamaa wanajiita ma Ma Free will na ukiwafatilia vizuri hao nao ni yale yale tu.
 
Iko hivi mkuu, kama Mungu hajaumbwa na ametokea tu mwenyewe, basi hata sisi binadamu tumetokea tu wenyewe
 
Wewe na mleta mada mmeungana kukimbia swali langu, hata hizo Idea za sijui wewe ndie Mungu sijui nini, ni umezisikia mahali wala hazijatika kichwani mwako hao jamaa wanajiita ma Ma Free will na ukiwafatilia vizuri hao nao ni yale yale tu.
Unaruka ruka tu kwani haujui kuwa umezaliwa mpaka uulize swali la darasa la kwanza
 
Wengine hadi wanaua kwa jina la mungu wa kufikirika na kuhaidiwa mambo ya kufirika endapo watakapo ua.
Alaakubaru ,boom boom 💥💥
Ye huyo anaenda kupewa mabikira 72.

Ki ukweli dini ni history TU, hatupaswi ku practice yaliyomo ndani
 
Watu wanauziwa udongo,chumvi na mafuta ili wawe matajiri kimiujiza bila kufanya kazi,

Mara sijui nyanyua simu yako juu useme hela ingia,halafu hela zitaingia kwenye simu yako kimiujiza!

Wengine waliambiwa na Pastor Paul Mackenzie wafunge bila kula mpaka wafe,wakafunga bila kula mpaka wakafa!!

Dunia ina maelfu ya miaka zaidi ya maelfu kwa maelfu, lakini ktk mamia ya dini kuna hizi dini mbili ambazo hujiona wao ndio wakweli na stories zao zinawaaminisha watu kuwa dunia haina maisha marefu tangu uumbaji wa huyo Adam na eva.

Ukisoma vizuri biblia+Quran utagundua kuwa kulingana na matukio yake tangu adam mpaka kizazi cha mwisho kwa huyo Yesu utaona haizidi miaka 7000, which is NONSENSE.

Kiuhalisia kabla ya miaka hiyo ya uwepo wa stories za hizi dini, kuna maelfu ya miaka kuna jamii ziliishi na hazikuutambua huo mfumo wa dini wala kuamini ktk Dini, je hawa wafia dini wa leo wanatuhakikishije kuwa vizazi vya zamani kabla ya hao kina adamu vilikuwepo na vizazi hivi vilitoka wapi kama huyo Adamu kaja baada yao?, na je vizazi hivyo viliamini dini gani au Mungu yupi?.

Na kuna hawa wanadai kuwa Mungu ni mmoja yaani ukristo na uislamu ni Dini zinazoabudu Mungu mmoja lkn kwa njia tofauti, huu nao ni uongo na upumbavu, huwezi muabudu Mungu mmoja kwa njia tofauti na itikadi tofauti, yaani huku aseme hivi na kule aseme hivi, which one is true?.

Na kuna wanodai uislamu ndio dini ya kweli na pia dini ya kale zaidi, huu nao ni ujinga, uhindu, ubudha n.k ni dini zilishakuwepo hata kabla ya uwepo wa ukristo wala uislamu na ideas zake kuundwa.

Na kuna hawa wanaodai kuwa mtu hawezi kuishi bila dini sijui dini ndio imeleta tabia njema, huu ni upuuzi mtupu, mfano tangu dini zije Afrika ni miaka michache sana yaani ni juzi tu, je kwa maelfu ya miaka kabla ya hizi dini waafrika waliabudu nini?, na je ukipima kiwango cha maadili kabla na baada ya ujio wa hizi dini ni kipindi gani ambacho kulikuwa na maadili mema?.

Na kuna wale wanaosema kuwa waafrika imani yao ni kuabudu Mizimu na ushirikina, hili si kweli maana kuna ibada ya jadi inayohusu ushirikina na umizimu ambayo hufanywa na washirika na kuna ibada ya ASILI ambayo haihusu kuabudu mizimu wala mababu waliokufa bali MUUMBA ambaye huitwa kwa Jina la lugha za kiasili ya Afrika.

Mnatakiwa mtenganishe kati ya ibada za umizimu na ujadi na ile ibada ya Asili inayohusu ibada kwa Muumba na hii ndio ilikuwa imani ya watu weusi ukiachana na huu ushirikina wanaoufanya wengi siku hizi huku wakisema ndio asili ya muafrika.

Kwanza UMABABU asili yake imepotoshwa na hao hao walioleta dini na baadhi ya waafrika waliohasi sheria za asili.

kiuhalisia MABABU ni aina ya wazee wa kale ambao ni watu weusi walioishi ktk njia za asili kwa kufuata ASILI na kumuabudu MUUMBA na sio Mizimu, na hawa hufariki kimwili lakini NAFSI zao hungali hai mpaka leo, na hawa hawahusiki na kuabudiwa wala hawahusiki na ibada za mizimu maana ibada hufanyika kwa Muumba tu si kwa wazee.

Mtu mweusi unapofariki kimwili huku ukiwa ktk matendo machafu na uhasi wa kuabudu hizo dini lazima ufe Kifo cha mwili na kile cha Nafsi ambapo unakuwa huna tofauti na kitu ambacho kimefutika, na ile Roho yako inaurudia uhalisia wake kutoka kwa BABU wa kwanza ambaye ndie chanzo cha uhai wa watu weusi wote kimwili na kiroho.

Wanaowaambia sijui kuna mwisho wa dunia na upuuzi wa ujio wa yesu na mpinga kristo wanawapotosha, huyo Yesu hatorudi maana hayupo na hajawai kuwepo, kinarudije kiumbe ambacho hakipo?.

Kama yesu angakuwepo basi angesharudi muda mrefu sana na hakuna mtu mweusi ambaye angepokelewa na huyo yesu maana hata mafundisho yake yaliwabagu watu weusi, the same thing kwa Allah na stories za Qur'an.

Mwisho wa dunia utakuja pale ambapo waafrika wataamka na kuzikataa dini za watu weupe na sheria zao, na kujiondoa utumwani kiroho na hapo ndipo watu weupe wote wasiowapenda watu weusi na baadhi ya watu weusi waliohasi sheria, watafanya vita dhidi ya Afrika na ASILI NDIPO itaingilia kati kwa kuushinda ushetani wa watu weupe, na hii ndio stories ktk dini zenu ilichakachua na kusema sijui Taifa la israel litaingia ktk vita ya Armageddon upuuzi mtupu, hao israel feki wapo vitani kila siku na wanauwa watu, vita gani nyingine unadhani wataingia?.

Hakuna vita ya3 ya dunia wala hakujawai kuwepo vita ya1&2 bali kulikuwepo vita za wazungu ya 1&2, na zingine nyingi zilikuwepo na zitazidi kuwepo mpaka mwisho.

Dini zote ni TAKATAKA.
 
Attachments

  • Screenshot_2025-08-30-21-15-11-79_754cf9a4094c34a8eeb04648e2e3eb8d.jpg
    Screenshot_2025-08-30-21-15-11-79_754cf9a4094c34a8eeb04648e2e3eb8d.jpg
    114.6 KB · Views: 21
Kufumba na kufumbua nishakuwa Mungu!..😂
 
maelezo mengii kumaliza wino tu 😆😂

hujui hata tangu Adamu hadi Kuzaliwa kwa Yesu ni Miaka mingapi? wasoma biblia wazuri wanajua.

Kwakifupi acha polojo zako za kutunga kwanini tuamini upingaji wako kwa kutupa reference za kutunga bila kumbukumbu.

Duniani kitabu kilichouzwa sanaaa kupita vitabu vyoteeee best saler in the world hicho kitabu usikichukulie poa...

wafanya Tafiti wote wanakiheshimu hicho kitabu,
sasa wewe njoo na bumunda zako sijui umeokota wapi kuja kupinga maandiko usio yaelewa.
 
Wewe Mungu wa kweli unamjua? ? ?

Au ndo unataka utuanzishie mafundisho yako leo 2025? ! ? ! You're late! ! !

The LORD has already revealed himself through his servants the prophets, through his inerrant word and through his son Jesus Christ.

You're late bro. Now all you are is a false teacher.

God is laughing.

"Kwa kuwa nimewaita mkakataa kusikiliza, nimewapungia mkono mje mkakataa,

mkapuuza mashauri yangu yote, wala hamkuyajali maonyo yangu,

nami pia nitayachekelea maafa yenu, nitawadhihaki mnapokumbwa na hofu,

hofu itakapowakumba kama tufani, maafa yenu yatakapowavamia kama kimbunga, wakati udhia na dhiki vitakapowapata.

Hapo ndipo mtakaponiita lakini sitaitika; mtanitafuta kwa bidii lakini hamtanipata.

Kwa kuwa mliyachukia maarifa, wala hamkuchagua kumcha Mwenyezi-Mungu;

basi, mtakula matunda ya mienendo yenu, mtavimbiwa kwa hila zenu wenyewe.

Maana wajinga hujiua kwa ukaidi wao, wapumbavu hujiangamiza kwa kujiamini kwao.

Lakini kila anisikilizaye atakaa salama, atatulia bila kuogopa mabaya.”

Methali.1.24-33.BHN
 
Back
Top Bottom