Statistics
JF-Expert Member
- Sep 22, 2013
- 3,666
- 7,788
Waungwana vyuoni kama pale Udsm na ardhi hupenda sana kutumia neno hilo kumaanisha kusoma, madafutari, vitabu na hata kuibia mtihani. He linaanzia wapo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waungwana vyuoni kama pale Udsm na ardhi hupenda sana kutumia neno hilo kumaanisha kusoma, madafutari, vitabu na hata kuibia mtihani. He linaanzia wapo?
mdegreee
Academic Bridge
Kumbe jina la mtu
limeanzia UDSM, nimekuta story hapo. kuna mwanafunzi, kwa jina 'some one' madesa, alikuwa anasoma 'engineering' alibambwa ana kikaratasi cha majibu. ili kupoteza ushahidi aliamua kukimeza. kuanzia hapo neno 'madesa' likawa linatumika kumaanisha 'kuibia kwenye mtihani', baadae likaanza kutumika neno 'desa' kama umoja wa 'madesa' (ukuwaji wa lugha). kadiri muda ulivyosonga neno hilo likaongezewa maana ya 'reading mmaterials' kama vile vitabu, madaftari, vitini, nk. mpaka sasa hiyo story ya huyo jamaa imeanza kusahaulika na jina lake linatumika kama kitenzi au jina.
source: hadithi za UDSM.
Wakati nikiwa UDSM tulisimuliwa na mwalimu wetu ambaye ni profesa mahiri na mjuzi wa mambo mengi, kuwa kipindi cha vita baridi huko Ulaya/Ujerumani kuna "a russian spy" alikua anaitwa "Odessa", ambaye alibainika akiibia kuona taarifa za nchi nyingine kwa njia ya kuchungulia documents. And so kitendo cha kuchungulia documents fulani kwa tahadhati ya kutokutwa/kushikwa na wahusika kikawa ni Odessa style and finally kitenzi ni "kudesa" nomino ni "madesa"
Namwamini sana mwalimu wangu/profesa kutokana na uwezo wake wa kujua mambo hivyo nilimuamini kuwa yuko sahihi unless disputed with facts
Ni (udesa) university of daresalaam examination solved alternatives. Baadae ikafupishwa kama desa
Du! Sio shatopori
Du! Sio shatopori
kwenye historia hamna mtu kama huyo. sio kwamba napinga nadharia ya huyo profesa wako. so far ni sehemu moja inaitwa Odessa, ipo Ukraine.
labda ulikuwa unamaanisha huyu.. Sidney Reilly (Russian spy) -- Encyclopedia Britannica
Ha ha haaaa nimekumbuka bibo life it was funnyHa ha ha