Asili ya neno 'desa'

Asili ya neno 'desa'

Statistics

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2013
Posts
3,666
Reaction score
7,788
Waungwana vyuoni kama pale Udsm na ardhi hupenda sana kutumia neno hilo kumaanisha kusoma, madafutari, vitabu na hata kuibia mtihani. He linaanzia wapo?
 
Nikajua neno la kitaa kumbe la wasomi mie hata sielewi
 
mdegree kama unapa faham mzee!!! Kama hupajui, hapo ni sehem mojawapo tulivu ya kudeseka. Hahahahaaaaaaa...
 
Usije ukaulizia asili ya neno randama, make yanafanana kiasi!
 
Waungwana vyuoni kama pale Udsm na ardhi hupenda sana kutumia neno hilo kumaanisha kusoma, madafutari, vitabu na hata kuibia mtihani. He linaanzia wapo?

limeanzia UDSM, nimekuta story hapo. kuna mwanafunzi, kwa jina 'some one' madesa, alikuwa anasoma 'engineering' alibambwa ana kikaratasi cha majibu. ili kupoteza ushahidi aliamua kukimeza. kuanzia hapo neno 'madesa' likawa linatumika kumaanisha 'kuibia kwenye mtihani', baadae likaanza kutumika neno 'desa' kama umoja wa 'madesa' (ukuwaji wa lugha). kadiri muda ulivyosonga neno hilo likaongezewa maana ya 'reading mmaterials' kama vile vitabu, madaftari, vitini, nk. mpaka sasa hiyo story ya huyo jamaa imeanza kusahaulika na jina lake linatumika kama kitenzi au jina.

source: hadithi za UDSM.
 
NGUIN=NGWINI,
Ili jina walipewa wanafunzi wote wasiosoma Engeneering, Mwanzo lilikuwa ni jina la wanafunzi wanosoma Arts na lilitokana na kuwa vitabu vingi vya arts vilikuwa published na PENGUIN,
baadae jina likaamia kwa wanafunzi wote walikuwa nje ya gate la engeneering including science.

so NGUIN au NGWINI ni ufupisho wa PENGUIN
 
limeanzia UDSM, nimekuta story hapo. kuna mwanafunzi, kwa jina 'some one' madesa, alikuwa anasoma 'engineering' alibambwa ana kikaratasi cha majibu. ili kupoteza ushahidi aliamua kukimeza. kuanzia hapo neno 'madesa' likawa linatumika kumaanisha 'kuibia kwenye mtihani', baadae likaanza kutumika neno 'desa' kama umoja wa 'madesa' (ukuwaji wa lugha). kadiri muda ulivyosonga neno hilo likaongezewa maana ya 'reading mmaterials' kama vile vitabu, madaftari, vitini, nk. mpaka sasa hiyo story ya huyo jamaa imeanza kusahaulika na jina lake linatumika kama kitenzi au jina.

source: hadithi za UDSM.

Wakati nikiwa UDSM tulisimuliwa na mwalimu wetu ambaye ni profesa mahiri na mjuzi wa mambo mengi, kuwa kipindi cha vita baridi huko Ulaya/Ujerumani kuna "a russian spy" alikua anaitwa "Odessa", ambaye alibainika akiibia kuona taarifa za nchi nyingine kwa njia ya kuchungulia documents. And so kitendo cha kuchungulia documents fulani kwa tahadhati ya kutokutwa/kushikwa na wahusika kikawa ni Odessa style and finally kitenzi ni "kudesa" nomino ni "madesa"

Namwamini sana mwalimu wangu/profesa kutokana na uwezo wake wa kujua mambo hivyo nilimuamini kuwa yuko sahihi unless disputed with facts
 
kwenye historia hamna mtu kama huyo. sio kwamba napinga nadharia ya huyo profesa wako. so far ni sehemu moja inaitwa Odessa, ipo Ukraine.

labda ulikuwa unamaanisha huyu.. Sidney Reilly (Russian spy) -- Encyclopedia Britannica
 
hili neno limetokana na greek poem "theodyssey" the poem ilikua intended to be heard rather than be read bt kukatokea mabadiliko kutokana na art iliyotumika kufikisha uo ujumbe! so the conversion of somethn unachopaswa kuskia ikawekwa into writtings ndo scholars wanaita theodyssey badae in tanzania hii terminology ikawa introduced na prof mmoja wa engineering pale udsm bt students wakawa wanashindwa kulitamka wakafupsha to desa thus giv rise to the famous word among tanzaniab scholars i.e DESA
 
Back
Top Bottom