Asili ya neno Mbeya

Asili ya neno Mbeya

Wanajionaaaa, malaya na siku hizi wanajidai kuokoka. Ni kabila linaloongoza kwa kuzalisha wachungaji uchwara. Modern Masadukayo
Modern day sadducees,pharisees,fake pastors and ministers
 
Modern day sadducees,pharisees,fake pastors and ministers
kwa vyovyote vile, ile kwa wema au kwa ubaya kwa majina ya ufake au ukweli cha msingi injili ya Kristo inahubiriwa. Mwenye kusikia na asikie na ajiongezeeee
 
Hapa ndo utacheka mpaka ukae chini. Hii naisoma hapa tu.haijawahi tokea duniani. Watawala wanawakimbia watumwa wanaamua kwenda kuwa wakimbizi milimani.😂😂😂

Ahahaha ko watawala waliwakimbia watumwa?[/QUOT
 
Inaonekana wanyak wanakukwaza sana... Walikufanya nini?

Wanajionaaaa, malaya na siku hizi wanajidai kuokoka. Ni kabila linaloongoza kwa kuzalisha wachungaji uchwara. Modern Masadukayo
 
Hapa ndo utacheka mpaka ukae chini. Hii naisoma hapa tu.haijawahi tokea duniani. Watawala wanawakimbia watumwa wanaamua kwenda kuwa wakimbizi milimani.[emoji23][emoji23][emoji23]
Wasafwa walikuwa na tabia moja kutopenda kuchangamana na makabila ya kigeni hvyo wanyaq walivokuwa wanashuka mbeya mjini basi wasafwa walikuwa wanaenda pembezoni wakitaka kukaa wao wenyewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inaonekana wanyak wanakukwaza sana... Walikufanya nini?

Hawawezi kunifanya lolote. Nilijaribu tu kueleza ukweli. Nasema wengi wana maringo, katili na sasa wameijaza Mbeya kwa makanisa ya 'kifarisayo'. Wanaongoza, nadhani, kwa kuzalisha wachungaji, wainjilisti, waimbaji wa muziki wa injili, manabii nk wa uongo, wababaishaji na matapeli wakubwa!
But truth be told, baadhi ya Wanyakyusa wana utu na upendo wa dhati kabisa. Hasa wanawake..... Wanaishi vizuri na watu be ofisini or mitaani.
 
Wasafwa walikuwa na tabia moja kutopenda kuchangamana na makabila ya kigeni hvyo wanyaq walivokuwa wanashuka mbeya mjini basi wasafwa walikuwa wanaenda pembezoni wakitaka kukaa wao wenyewe

Sent using Jamii Forums mobile app
Dah sikuhizi kwa mbeya town wasafwa wengi unawakuta uyole ya kati lyoto maana wakinga wamefanya uvamizi katika biashara
 
Back
Top Bottom