Asili ya uchawi na kuabudu Maiti, Jua na Mwezi ni Babeli siku chache baada ya gharika ya Nuhu

mkuu Sodoma na Ghomorah nao walichokifanya uasisi wake ni hapohapo bonde la SHINARI/Babeli.

YEREMIA 23
13 Nami nimeona upumbavu katika manabii wa Samaria; walitabiri kwa Baali, wakawakosesha watu wangu Israeli.
14 Katika manabii wa Yerusalemu nimeona neno linalochukiza sana; hufanya zinaa; huenenda katika maneno ya uongo, hutia nguvu mikono ya watendao maovu, hata ikawa hapana mtu arejeaye na kuuacha uovu wake; wote pia wamekuwa kama Sodoma kwangu, na wenyeji wake kama Gomora.

::::::::::::::::::::::
Ukiangalia pale Juu nimeeleza mungu Baali asili yake ni hukohuko BABELI.
Huyu aliabudiwa misri, syria, kaanani na sehemu kubwa katika middle east na dunia.
Wagiriki walimuita BELOS baadae Zeus. Ila chanzo chake ni Babylon.

Kwa kaanani alikuwa Mungu wa Uzazi. Katika sherehe yake, wanawake walivaa nguo za wanaume na wanaume za wanawake kukawa na Uzinzi, ushoga, Usagaji katikati ya sherehe mambo ambayo sodoma na gomora yalikuwa kawaida tu.

Ndio maana wana wa israel walipokaribia KAANANI Mungu aliwakataza wanawake kuvaa mavazi ya kiume na wanaume ya kike na Kushiriki sherehe na miungu hiyo ya kaanani alijua nini kingetokea.

Yote haya yatajirudia. huyo ni bahari ambaye alikuwa shetani huyohuyo na mawakala wake katika udanganyifu akiwaaminisha JUA, au Maiti zilizokufa kumbe ni majini na mapepo.

hivyo mkuu, Sodoma na Gomorah ni TAwi tu la Babeli kulekule. Tena kule sadaka katika sikuukuu zake Mabikra walizitoa bikra zao kwa huyo Mungu kwa kujichomekea kwenye alters ambazo zilikaa kama uume au kwa sasa tuziite Dildo.
Duh hii hatar....duniani kuna mambo.....asante kwa mchanganuo
 
unachemka unapotumia biblia kuwa rejea ya ukale wa babeli sababu tu inasemwa kwenye biblia
biblia ni copy and paste ya maandiko ya egypt
narudia tena hakuna "artifact" yoyote ambayo ni original inayotoa ushahidi wa uwepo wake kabla ya kemet/egypt
nasema hivyo kwa sababu hadi sasa wamepewa challenge watoe ushahidi unaopredate egypt wameshindwa

kwanza niambie maana ya upagani,sio unasema tu bila kujua maana yake
unaposema uchawi hujui kuwa kila jamii ya kipindi hicho ilikuwa na uchawi wake,vipi kuhusu musa kutengeneza nyoka na kuwameza nyoka wa farao(ingawaje ni sttory ya kutunga tu hii)
ninaomba ujibu kila hoja unayopewa usidonoedonoe unachopenda na kuhitimisha. Nimekupa mfano ambao unafahamika dunia nzima lkn sijaona maoni yako zaidi ya kurudiarudia unachoamini.
naomba maoni yako kuhusu huo mfano wa civilization ya hapo Tepe. kusema hakuna ni kuurudisha uelewa kwenye box.

* Bibilia sio copy paste. ndiyo kitabu pekee reliable kwa kufanyia tallying ya historical events. hasa daniel 2,7.
*dating sio reliable kwa sababu nyingi za msingi miongoni mwao ni hizi mbili.
1: Inaccuracy and unreliability of dating tools and technologies.
2:Mifano mingi ya vitu ambavyo ni vya juzijuzi lkn kwa dating tools bila kucontaminate spacemen zimetoa mida ya uongo.

* Binafsi naamini matukio ya bibilia kuwa ni sahihi kwa sababu nyingi miongoni mwao ni Jewish education system ya kurithishana habari za Mungu na matukio yao. ndio jamii pekee duniani ambayo inaweza kutrace orgin yao.
*Uwezo wa Mungu wao ambaye ninamuamini na mimi sio kwa maneno tu bali kwa uzoefu hasa His Omnipotence and omniscience.

Je, Nadharau au nakana historical, paleontological and archeological findings? La hasha kwa sababu vinathibitisha kinagaubaga kwa ukubwa na mapana kile ninachoamini katika bibilia licha ya errors katika dating, ila events na findings ziko sawa.

*Upagani ni nini?
Upagani ni neno ambalo asili yake ni karne ya tatu lililobuniwa na wakristo wa rumi italia. likimaanisha mfumo wowote wa kiuungu au kiibada nje ya Mungu anayeabudiwa na wakristo wa kibibilia au anayeelezwa kwenye bibilia.
Yote kwa mujibu wa mada hii asili yake ni babeli, na imeshamiria misri ambapo imetawanyika dunia nzima kwa majina tofauti na mingine inatumika kwenye baadhi ya ukristo kwa majina yao kuhusishwa na ukristo (gnosticism).

UCHAWI.
hapa umeuliza kulingana na mada kabisa mkuu.
Ufanano wa uchawi na mifumonya ibada za kitamaduni duniani licha ya wahusika kutofahamiana ni ushahidi kwamba hawa jamaa waliwahi kukaa pamoja, siku flani na wanaasili moja. sio tu uchawi bali mifanano mingi.
Pia utofauti wa Lugha kwa watu hawa wenye features za kufanana ni ushahidi wa ukweli kuwa watu hawa wanahusika moja kwa moja na tukio la kuchafuliwa Lugha kwa maana nyingine walikuwa na lugha moja.

Uchawi wa Misri uuamini hizo stori au usiziamini maana sio lazima kila mtu aamini Bibilia, ila ni lazima kila mtu asikie habari za bibilia ili afanye maamuzi kwa dhamiri safi kuikataa hata siku ukiulizwa kwa nini mjadala uwe mfupi.
mkuu hilo tukio kwa mujibu wa historia limetokea juzijuzi tu hapo misri miaka zaidi ya 800 baada ya gharika.
Kwa mujibu wa mada hii, uchawi lazima uwepo sio misri tu bali popote duniani palipokuwa na mtu duniani hadi tanzania kama babu yako alikuwepo. Kwa maana msambao wa wa watu ulianzia hapo middle east maeneo ya tambarare za babel.
 
Mkuu mitale na midimu kwanza nikupongeze kwa uzi ulioshiba kuna mengi nimejifunza na naendelea kujifunza humu sasa basi labda niulize swali moja

1. Kama Mungu aliangamiza dunia sababu ya uovu wa wanadamu na akabakisha watakatifu tu kivipi dhambi ikarudi tena???

2. Na kama dhambi ilirudi tena je kulikuwa na sababu gani nyingine kubwa iliyopelekea watu wa kale waangamizwe kwa maji??

3.kwenye post ya kwanza umesema dunia ilikuwa inaongea lugha moja.... Je ni lugha gani hiyo?? Sasa ipo au ilitoweka? Na je kama ilitoweka kabisa ilikuwaje waandishi wa biblia (mfano Musa) waliwezaje tafsiri maandiko ya kale yenye maneno aliyoongea Henoko au Cain ilihali lugha zilikuja tofautishwa hivyo hakuwepo aliyefaham original language??

Natanguliza shukrani
asante kwa mkuu hoja na maswali magumu na mazito nimeyaona nitatoa maoni yangu kama ulivyopendekeza.
tuko pamoja.
 
dah,umeandika maneno mengi na mengine irrelevant

1.upagani; kwa hiyo na mimi nisiyeamini ukristo/biblia naweza kukuita upagani sababu upagani ni kuwa kinyume/tofauti na imani inayofuatwa na kundi flani

2. babeli; naandika hili kwa mara ya mwisho,ushahidi wa original documents upo kwenye mapiramidi na mahekalu ya misri na yale mapiramidi yana zaidi yamiaka 10,000 kabla ya anayeitwa yesu wa nazareth(fact)...hakuna concrete/original evidence ya babylon na biblia(original papyrus ya biblia ipo wapi(usinitajie dead sea scrolls)

3. unawezaje kujustify origin yako kwa kitabu(biblia) ambacho original manuscript hazipo?(kumbuka misri ushahidi upo kwenye kuta za piramidi na mahekalu),.unawezaje kusema wale wazungu waliotoka ulaya na kuvamia palestina mwaka 1947 kuwa ni wayahudi

4. unajua kuwa palestina ya leo ndio iliyokuwa inaitwa kanaani ya kwenye biblia na kwa mujibu wa biblia kanaani alikuwa mweusi na uzao wake walikuwa weusi?

5. unawajua hebrew israelites? ili uwe "chosen ones" kuna prophecy and curses za kwenye biblia unatakiwa kuzifulfill,unadhania wale wazungu wavamizi wa pale kanaani wanafit the description?

6. tafsiri ya ndoto ya mfalme inayodaiwa kufanywa na daniel ni vichekesho vingine vya biblia ambavyo vinachosha,biblia inajulikana kwa kuchanganya watu halisi waliokuwepo na watu wa kutunga na kuwachomeka kwenye biblia kama huyo daniel..,mfalme anayeongelewa humu alikuwepo kweli kihistoria lakini huyo anayeitwa daniel hakuwahi kuwepo kihistoria,mmesahaambiwa mthibitishe na mmeshindwa kufanya hivyo.

7. Inaccuracy and unreliability of dating tools and technologies; kuna percentage/margin of error inayowekwa katika kudate hivi vitu ambayo haiko mbali sana na uhalisia,hawajawahi kusema kuwa wapo sure 100%
 
umeandika mavitu mengi bila kugusia nilichokuuliza kuhusu hiyo site ya uturuki. ambayo inakanusha ukale wako wa misri ambao unaaminika kwa mainstream historians japo team sumeria sio wanabibilia tu bali hata wasioamini bibilia wanaamini hilo.
tuanzie hapo kisha nitarudi kwenye maswali yako.
naomba maoni yako please.
 
link yako haikunipeleka kwenye hiyo taarifa
nitumie tena hiyo link
 
Mkuu mitale na midimu kwanza nikupongeze kwa uzi ulioshiba kuna mengi nimejifunza na naendelea kujifunza humu sasa basi labda niulize swali moja

1. Kama Mungu aliangamiza dunia sababu ya uovu wa wanadamu na akabakisha watakatifu tu kivipi dhambi ikarudi tena???

2. Na kama dhambi ilirudi tena je kulikuwa na sababu gani nyingine kubwa iliyopelekea watu wa kale waangamizwe kwa maji??

3.kwenye post ya kwanza umesema dunia ilikuwa inaongea lugha moja.... Je ni lugha gani hiyo?? Sasa ipo au ilitoweka? Na je kama ilitoweka kabisa ilikuwaje waandishi wa biblia (mfano Musa) waliwezaje tafsiri maandiko ya kale yenye maneno aliyoongea Henoko au Cain ilihali lugha zilikuja tofautishwa hivyo hakuwepo aliyefaham original language??

Natanguliza shukrani
naomba nitoe maoni mkuu.
1:Mungu hakumuua shetani mwanzilishi na muendelezaji wa uovu kwenye gharika. Pia Mungu hakuwaumba upya wakina nuhu wasiwe na uhuru wa kuchagua kufuata ushawishi wa shetani. Kwa sababu shetani alikuwepo uovu kurudi ilikuwa sio surprise.
Lakini Pia bibilia inamtambua nuhu ndiye aliyepata neema kwa Mungu. Haizungumzi kuhusu mkewe, watoto wake, na watoto wa watoto wake hivyo hao wenda waliingia kwa neema tu wangekataa wangefia mvuani. Lakini pia hata muovu mwingine angeamua kuingia asingefukuzwa angeokolewa. Ila kwa sasa kinachotarajiwa ni MOTO utakaoangamiza kuanzia muasisi wa uovu, uovu na waovu na mambo yote kuwa mapya.

2:Kuhusu Kuangamizwa licha ya uendelevu wa Uovu. Kuna njia nyingi Mungu hushughulika na wanadamu. Ila katika zote huanza kuonya na kusema matokeo ya kukataa maonyo. Kuna kiwango cha uovu wanadamu wakifikia na Mungu akiona wamekuwa na shingo ngumu kabisa, huwafuta hasa anapoona hakuna hata mmoja au yupo mmoja tu ambaye angalau anamtafuta.
Angalia sodoma na Gomora, na ile interview ya Malaika na Ibrahim. Wangekuwepo watu hata kumi, wangesababisha nchi nzima iokolewe. Hata sisi tanzania au nchi yoyote au mji wowote Unaendelea kuwepo kwa sababu pamoja na uovu na uonevu bado kuna watu Mungu anawajua wanamtafuta uso. Ila tunakoelekea naamini matukio kama ya sodoma au mji mzima kufutwa yatakuwepo kabla ya Ile siku Ya Mwisho ambayo kila kiovu kitakoma.

3:Hiyo Lugha moja haipo kwa sasa. Maana walipochafuliwa usemi haionyeshi kama kuna sehemu ilibaki. Ila ushahidi wa kiuzoefu kuja maneno kama ''BABA'' au ''MAMA" na mengine kadhaa ambayo yanaonekana kutamkwa universally bila hata kuwasiliana kati ya watu wa race tofautitofauti. Hata kama yatatofautiana kidogo lkn yataendana. Hii inaweza kuwa miongoni mwa ushahidi kuwa asili yetu ilikuwa moja na haya yanaweza kuwa sehemu ya mabaki ya lugha ya asili.

*Kuhusu Musa mkuu ni special case. Bibilia inasema kuna wakati alikaa mlimani na Mungu wake siku 40 mfululizo usiku na mchana. Hilo tu linatosha kuamini kuwa anaweza kuwa alishushiwa, alipewa uwezo au Mungu mwenyewe alimueleza kwa Lugha wanazoelewana mambo ambayo tulipaswa kuyajua. Kwa Uwezo wa Mungu wa Wayahudi ambaye na Mimi namuamini huku legangabilili asingeweza Kumuwezesha Musa Kufahamu kitu cha nyuma na Lugha ambazo alikuwa hazielewi kabla ikiwa aliweza kuwawezesha wale wagalilaya kuongea lugha wasizozifahamu bila kuingia darasani.

Karibu mkuu. Ikiwa unakitu unataka tujifunze zaidi au unanyongeza unaweza kuchokoza zaidi ingawa dhumuni langu hapa lilikuwa ni kuonyesha ufanano wa mambo ya kiibada na kiutamaduni duniani vinaumana na ukweli wa utawanyo wa watu pale babeli ya wakina Nimrod.
 
link yako haikunipeleka kwenye hiyo taarifa
nitumie tena hiyo link
sikukupa link nimekupa picha na jina la site. Ilikuwa ni kazi yako kuitafuta kwa vyanzo unavyoviamini wewe ili ulete changamoto.
maana ni kitu halisi, ni mahala halisi, ni historical site halisi, kama unanauli unaweza kutembelea na kujifunza na kuuliza kwa kina.
ukiingia hata google tu kuna taarifa za kutosha kutoka kwenye vyanzo vinavyoaminika na visivyoaminika kuhusu facts behind GOBEKLI TEPE kisha ulinganishe dating unazozisimamia za huko egypt maana dating tools unazizitetea ndizo zilizowapa hiyo range ya kati ya miaka 6000 - 12000. Na kuhitimisha kuwa iko juu ya EGYPT.
alafu hatupaswi kuwa na msimamo wa chuma juu ya Ukale wa jambo la kale kihistoria. Maana hata kesho wanaweza kuvumbua kitu kinachoweza kufuta kabisa unachokiamini. Ndio maana nasema Jamii ya Kiebrania ndiyo jamii pekee ambayo kwa education system yao ambayo wanarithishana maarifa ya Kale, na vitabu vyao pamoja na muingiliano wao na mataifa mengine Yanatoa mwanya wa kuwa reference ya kujifunza mengi ya nyakati zao na ustaarabu wa dunia katika vipindi tofauti bila hata kuwa na accuracy ya dating. yaani tukajadili events while minoring contradicing timings.
Dating tool usiziamini sana. hazina errors tu bali zina mistakes japo mistakes hizo hazimaanishi hayo matukio au mabaki ya kale sio sahihi.

Fuatilia alafu ulete maoni yako.
 
again,umekimbia kunijibu baadhi ya maswali niliyokuuliza
kuhusu hiyo GOBEKLI TEPE nitaipitia
unaposema kuna accuracy kwenye dating ya waebrania nakushangaa!!!! niambie mstari gani kwenye biblia unataja tarehe,mwezi au hata mwaka(tafuta biblia nzima halafu niambie)
nimekuuliza kama unawajua hebrew israelites(hapa nina maana kubwa kuhusu the chosen ones)
nikakuuliza kuhusu wakanaani na ashkenazi waliovamia palestina 1947
hayo maswali yana maana katika huu mjadala
wamisri wameweka kwenye kuta za mahekalu dynastic period kuanzia mfalme wa kwanza hadi farao Narmer(kipindi cha miaka 2000 bila kukatika)
tatizo unasoma kitabu kimoja tu(biblia),kasome the egyptian book of the dead,kasome the papyrus of hunefer
there is nothing accurate about the hebrews(kwanza haijulikani who are the real hebrews)
 
sawa. nitakupa mrejesho uwe na amani mkuu.
 
dah,umeandika maneno mengi na mengine irrelevant

1.upagani; kwa hiyo na mimi nisiyeamini ukristo/biblia naweza kukuita upagani sababu upagani ni kuwa kinyume/tofauti na imani inayofuatwa na kundi flani

2. babeli; naandika hili kwa mara ya mwisho,ushahidi wa original documents upo kwenye mapiramidi na mahekalu ya misri na yale mapiramidi yana zaidi yamiaka 10,000 kabla ya anayeitwa yesu wa nazareth(fact)...hakuna concrete/original evidence ya babylon na biblia(original papyrus ya biblia ipo wapi(usinitajie dead sea scrolls)

3. unawezaje kujustify origin yako kwa kitabu(biblia) ambacho original manuscript hazipo?(kumbuka misri ushahidi upo kwenye kuta za piramidi na mahekalu),.unawezaje kusema wale wazungu waliotoka ulaya na kuvamia palestina mwaka 1947 kuwa ni wayahudi

4. unajua kuwa palestina ya leo ndio iliyokuwa inaitwa kanaani ya kwenye biblia na kwa mujibu wa biblia kanaani alikuwa mweusi na uzao wake walikuwa weusi?

5. unawajua hebrew israelites? ili uwe "chosen ones" kuna prophecy and curses za kwenye biblia unatakiwa kuzifulfill,unadhania wale wazungu wavamizi wa pale kanaani wanafit the description?

6. tafsiri ya ndoto ya mfalme inayodaiwa kufanywa na daniel ni vichekesho vingine vya biblia ambavyo vinachosha,biblia inajulikana kwa kuchanganya watu halisi waliokuwepo na watu wa kutunga na kuwachomeka kwenye biblia kama huyo daniel..,mfalme anayeongelewa humu alikuwepo kweli kihistoria lakini huyo anayeitwa daniel hakuwahi kuwepo kihistoria,mmesahaambiwa mthibitishe na mmeshindwa kufanya hivyo.

7. Inaccuracy and unreliability of dating tools and technologies; kuna percentage/margin of error inayowekwa katika kudate hivi vitu ambayo haiko mbali sana na uhalisia,hawajawahi kusema kuwa wapo sure 100%

1:nimekupa asili ya neno paganism na maana yake kusudiwa mkuu. Miungu nje ya ukristo. kinyume chake sio upagani tafuta neno jingine labda lipo lkn mkristo sio mpagani ila kinyume chake.

2: Hapa sijui unachokipinga ni kuwa orgin of pagan worship na hiyo civilization ya after flood kupredate egyptian mythology au kutokuwepo kabisa kwa hayo mambo kisa tu yamesemwa kwenye bibilia unayoitilia mashaka. Licha ya tofauti ya kimida ambayo nimekuambia sio reloable wala accurate. matukio karibu yote ya kwenye bibilia yametajwa katika desturi ya watu wengine wasio wa bibilia. Mfano falme za babeli ile ya kina nebukadneza, Koreshi,wakina kaisali. Pia nikakusisitizia hauhitaji hata orgin manuscript kujua kuwa mambo ya kwenye bibilia yalikuwepo. unahitaji kujua jewish education system. Jinsi ambavyo maarifa yalivyotunzwa kizazi baada ya kizazi. watafiti wanasema ndio jamii pekee iliyokuwa na mfumo imara wa kitunza matukio ya historia zao kizazi baada ya kizazi. kazi ya kuchimbua mambo ya kale middle east inaonyesha mambo mengi na kuthibitisha uwepo wa hivi tunavyoamini ktk bibilia kila siku. Kuhusu uhitaji wa OG ndio uamini uhalali wa uwepo wa story za bibilia pia utakuwa na tatizo. Bibiliq mfano KJV ni makusanyo ya Manuscripts za kale sana zaidi ya 1500 zilizokutwa sehemu mbalimbali dunia ya wakati huo na hazipingani sana. Mfano pia sinai manuscripts zilizochimbulia huko middle east na kukutwa na maandishi ya kale zaidi yanayozungumzia kitu kilekile bila kupingana. hivi vitu ni rahisi kuamini kuliko singularity na linearity ya chanzo chako.

3: Nini kinakufanya usiamini ushahidi wote wa uhalisia wa bibilia tena ni mwingi. Usifananishe mtu kuchora kwenye mwamba na maandishi ya kwenye magome na ngozi ambazo ni movable na perishable. kwanza kutokuwepo kwa OG manuscript ni ushahidi kweli hayo mambo ni kweli kwa sababu yanasadifu teknolojia yao ya utunzaji wa kumbukumbu kuwa dhaifu. Lakini maandiko hayo yalirithishwa kizazi kwa kizazi na katika msambao wa kipekee. ndio maana unachimbua tarso huko uturuki, unakuta doc inafanana na ile ambayo imeonekana alexxandria au ulaya mashariki. huitaji phd kusadiki haya. Hao wazungu wamekuwaje weka vizuri maelezo mkuu. Maana mimi natambua uwepo wa wayahudi katika almost kila race tangu miaka maelfu yaliyopita kutokana na kutawanywa kwao mara kwa mara. Hata Iran wayahudi wa kiiran ni wengi tu achilia mbali weusi.

4:Ndio natambua uwepo wa kaanani na hakuna ushahidi wa kibibilia unaoonyesha rangi ya kanani. Ila mkushi kwenye bibilia ndiye anayeonyeshwa kuwa mweusi.

5:Kuhusu wale wazungu (japo pale wapo hadi waisrael wenye asili kama waarabu wengi tu) sijajua point hapo unayotaka nitolee maelezo.
wapo wayahudi wenye asili ya urusi hadi mwingine amewahi kuwa PM wa Russia. Hata walioandikwa kwenye bibilia mfano timotheo alikuwa mgiriki ala alijihesabu kuwa myahudi kwa sababu ya mama yake na bibi yake. chotara wa kiyahudi ni myahudi. Na ulaya walikuwa wengi sana kwa sababu ya uvamizi wa 70AD, na kabla ya hapo wayahudi walikuwa wamezagaa ulaya nzima wengine kama wajasiliamali wengine wakienda kutafuta fursa. Ndiyo maana siku ya pentecoste Uyahudi ilikuwa haitoshi. Kama kuna kikundi kidogo cha wayahudi kutokea ulaya kiliamua kuparudisha mahala pao ambapo walitawanywa hiyo ni story nyingine.

6: Kuhusu uwepo wa Ufalme wa Babeli, Ufalme wa Misri, Ashuru, na mingine yote dunia ikubali alafu ikatae kuwepo kwa ufalme wa Yuda au Israel. Ikubali expansion ya Babylonian empire hadi afrika na ulaya mashariki kisha iruke Israel kisa tu inapingwa ni mambo ya ajabu.
Bibilia imeeleza yaliyopita, yaliyopo na yajayo. Kutimia kwa yaliyosemwa kiwe kigezo cha kuiamini ili usikumbwe na yajaya. Mfano 70 AD kwa Mujibu wa Daniel akiwa hukohuko alitabiri Kuvamiwa kwa Israel na kuvunjwa kwa hekalu na kuuwawa. Kama wewe walipuuza siku ilipofika ikatimia na zaidi ya wayahudi zaidi ya laki tisa waliuwawa. Upo ushahidinwa kiachiolojia wa tukio hilo. Kama walivyokataa hata sisi tutaendelea kubisha kwa Yaliyopita na uhalisi wa Yajayo, kisha yakifika wachache wataokolewa kama waliomsikiliza Yesu alipomquote daniel na kuhama mji kabla majeshi ya rumi kuvamia.
kukataa au kukubali ni uchaguzi. Kama Babeli unakubali kulikuwa na ufalme, kwa nini ukatae Israel Kuwa na Ufalme, kwa nini ukatae kutekwa kwa ufalme wa Israel, kwa nini ukatae mateka kuwekwa mateka huko Babeli. Kwa nini Ukatae Mambo makubwa na uwezo wa Mungu wao ambaye ndiye Mungu wako kutabiri yajayo na kufanya ishara kubwa ambazo hadi sasa kwa wanaomuamini wanashuhudia. Cha ajabu utakubali uchawi wa kishetani wa afrika, ila hata kwa nguvu za Mungu akishughulikiwa huyo mchawi adharani utakataa nguvu inayomshughulikia kisa tu kuna wazungu wamekukaririsha criticism juu yake.

7: Zile dating tools are totally false. Binafsi naamini mavumbuzi halisi kuliko dating tools na uwezo wake. zile hata tukikupeleka wewe tukakupima kwa kutumia technolojia za Carbon 14 au Radioactivity tutakugundua unamiaka mingi kuliko hata hayo mapiramidi. wenda unamiaka laki tatu.
sasa hiyo ni error au mistake?
usibishe kwa sababu zimejaribiwa kwa vitu vinavyofahamika birthday yavyo lkn vikatoa majibu fyongo.
Binafsi naviheshimu tu kama sehemu ya kupatia starting point ya kujifunzia mambo ila siviamini. Kwa masimulizi yaliyorithishwa na ushahidi wa kihistoria,
naamini zaidi. Ndio maana wakati wewe unaamini dunia inamiaka mamilioni, mimi kwa genealogy ya bibiliq kutoka adam hadi hapa dunia inamiaka kama elfu sita tu. Ndio maana hata ukiniambia sijui pyramid inamiaka laki au elfu ishirini nakubali kama kujifunzia tu ila sio fact kwa mimi.
 
kuna sehemu itabidid tukubaliane kutokukubaliana..nitagusia kwa ufupi;

1. Paganism- hapa ni semantics tu.Kama wakristo manvyotuita sisi wapagani na sisi tunawaita "blind beleivers"

2. Umegusia Noah's floods kama msingi wa hoja yako,kwanza hakuna ushahidi wa kutokea hayo mafuriko na maelezo ya kwenye biblia kwenye hayo mafuriko hayapo kiuhalisia kabisa,pia kemetic dysnasties zilikuwepo kwa miaka 2000 kwa mafarao tofauti tofauti hata kipindi kinachokadiriwa hayo mafuriko kutokea na kuua watu wote duniani kasoro wachache wa ukoo wa noah.

3. Kutokuwepo OG manuscript kunatia mashaka makubwa kuwa mtu yoyote au kikundi cha watu kinaweza ku-fabricate the story,ancient egyptians knew this ndio maana waliacha ushahidi kwenye kuta.
kuwa myahudi/ebrania lazima utimize prophecy na curses zilizotajwa kwenye biblia,sio yoyote anaewza kuwa mwebrania.

4. Hapa niliconfuse,cannaa alilaaniwa kuwa mtumwa,lakini kusema canaan walikuwa ni weusi ni rahisi sababu kama kushi alikuwa mweusi na kanaani ni kaka yake na wamezaliwa na baba mmoja,basi ni wazi wote walikuwa ni weusi.

5. Rejea #3,pia kasome unbiased story ya ashkenazis

6.Sijakataa uwepo wa ufalme wa israel,kasome story ya uvamizi/destruction of the temple ya flavius josephus na philo na sio corrupted story ya kwenye biblia

7. Kwanini unafikiri mapiramidi/mahekalu sio uvumbuzi?sphinx na baadhi ya mapiramidi/mahekalu ya egypt ilibidi yafukuliwe ili kuyagundua,dating za egypt zipo kwenye kuta,wameandika majina ya mafarao na miaka waliyotawala...hakuna utata kwenye hilo
 
wakuu tatizo ni kuwa mnataka vitu sivyoonekana vithibitishwe kwa solid evidence.

Halafu kufananisha vitu vinavyoonekana na visivyoonekana

shida inaanzia hapo
 
Back
Top Bottom