Because ni kanda Maalum.....Why Mara?
Kumbe😳 mi Nilijua tigoAm sure, na hasa line za Vodacom na Airtel
NakaziaHiyo line unayomiliki kwa sasa itakua ilikua ya ndugu yao
Bila shaka wewe ni msukumaWiki haipiti sijapokea simu kwenye moja ya namba yangu, ukiuliza mtu anasema yuko mara, kingine wanakua ving'ang'anizi yani ukimwambia mtu humjui analazimisha mfahamiane, na unakuta mtu amepiga hata mara tatu, unadhani ni mtu anaekufahamu labda anadharura. Why Mara?