Rais Samia Suluhu alisema kuna asilimia 12 ya vijana hawana ajira na yeye yupo kazini ya kuhakikisha asilimia hii ya vijana wanapata ujuzi na wananjiajiri haya yalisema alipokua anazindua chuo cha VETA mkoani Kagera
“Utafiti uliofanywa na Idara ya Takwimu ya Serikali 2021 inaonesha asilimia 12 ya vijana wote Tanzania hawana ajira, Kazi yetu sasa ni kuhakikisha asilimia hii 12 tunaijengea uwezo, tunaipa ujuzi ili iweze kujiajiri na iweze kuajiriwa.”- Rais Samia.
Lakini pia Rais Samia Suluhu alisema kokote kule kukiwa na fursa itakayowanufaisha watanzania ataenda na kuifata fursa hiyo tumeona Rais Samia Suluhu ameenda katika nchi mbalimbali kutafuta fursa na jana alikua nchini China na amefanikisha kutuleta watanzania fursa nyingi za kibiashara .
Lengo ikiwa ni kuhakikisha hii asilimia 12 ya watanzania kuwafungulia milango ya kujiajiri na kuajiriwa pia kuendelea kukuza zaidi uchumi wa nchi.