Boss la DP World
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 2,318
- 8,464
Kwamujibu wa taarifa za sensa ya mwaka 2022, asilimia 51 ya Watanzania ni Wanawake na 49% ni wanaume.
Iko hivi utafiti wangu niliofanya Kwa kutumia sampuli 100, ulibaini kuwa kati ya wanawake 100 nilio watongoza, wanawake 98 waliniomba pesa siku 10 za kwanza.
Kwahiyo kwa wastani wanawake 98 kati ya 100 huwapiga mzinga watongozaji ndani ya muda mfupi.
Hiki si kitu cha kawaida, nimeishi nchi 1 ya Amerika kaskazini na nchi 2 za Nordic sijawahi ona tabia hii.
Sasa tuseme kati ya hao wanawake 51 waliopo Tanzania, 47% ni member wa kikosi cha mizinga halafu 4% hawana tabia hiyo, sasa ukichukua hiyo 47% ukijumlisha na asilimia 3% ya Ombaomba wengine hapo si tunapata 50%?
Nchi bado ngumu sana hii.