Safari_ni_Safari
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 23,265
- 17,120
Kusoma hizi zaidi..........right to left
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kweli hata watoto wa Mikoa mingine wanakwenda Madrasa,lakini Kumbuka mikoa hii asilimia kubwa ya watu wake ni Waislamu, Mikoa mingine ni mchanganyiko wa Waislamu na Wakristo!!ELIMU AKHERA sio sababu.... ata watoto wa mikoa mingine wanaenda madrasah kama kawaida... Tatizo ni kwamba iyo mikoa ya pwani ni wa vivuu.. mtoto anajua baikoko na mambo ya mwali kuliko ata shule..
Kusoma hizi zaidi..........right to left
![]()
Mikoa ulotaja ni pamoja na dar es salaam mbona katika shule zilizoongoza zipo za dar es salaam na pwani? Feza marian,kanosa zipo dar na pwani na zipo kwenye top 10 nalo unasemaje? Suala siyo shule ipo wapi. Shule inaweza kuwa mbeya wanafunzi wanatoka moro au mwanza.
......
Mmmm? Kanda hii ishughulikiwe haraka na M4C.