Asilimia 60 chali matokeo ya kidato cha nne

Ndugu wana JF heshima kwenu wakuu !!!

Dalili za haya matokeo zilianza onekana mapema; endapo waziri mwenye dhamana Muishiwa Mulugo anadhiriki kutamka na kurudia tena kwenye kongamano la kimataifa ya kuwa Tanzania ni muungano wa nchi ya Tanganyika na visiwa vya Unguja na ZIMBABWE, Je wewe ulitarajia basi lililobeba wanafunzi wa kidato cha nne-2012 lifike salama ilkhali Dereva wake ni kipofu?
 
ELIMU AKHERA sio sababu.... ata watoto wa mikoa mingine wanaenda madrasah kama kawaida... Tatizo ni kwamba iyo mikoa ya pwani ni wa vivuu.. mtoto anajua baikoko na mambo ya mwali kuliko ata shule..
 
''Watakuwa wanaonewa kwa sababu ni waislam na hawako kanda ya kaskazini''! Ustaadh ilunga
 
Nimesikitika sana na matokeao ya Form 4 ambayo yalitangazwa majuzi tu na Waziri wa Elimu, Dk. Kawamba. Nimesikitika kuona kwamba wanafunzi wengi wamefeli mitihani. Ila, Wizara ingetupa mchanganuo wa matokeo ya shule za kata ili tuone iwapo kuna maana yeyote ya kuendelea kuwa na shule hizi ama la. Ninaamini asilimia kubwa ya wanafunzi waliofeli wanatoka shule za kata ambazo hazina waalim wa kutosha, vitendea kazi, na waalimu hawapati mishahara yao kwa wakati.

Wizara ingetoa ufafanusi wakutosha, wangetusaidia sana katika kufanya maamuzi ili tupime iwapo watoto wetu waendelee kusoma shule za kata au tuwahamishe kabisa.
 
mila na tamaduni walizorithishwa pamoja na ulimbukeni wa mordenisation
 
Mikoa ulotaja ni pamoja na dar es salaam mbona katika shule zilizoongoza zipo za dar es salaam na pwani? Feza marian,kanosa zipo dar na pwani na zipo kwenye top 10 nalo unasemaje? Suala siyo shule ipo wapi. Shule inaweza kuwa mbeya wanafunzi wanatoka moro au mwanza.
 
ELIMU AKHERA sio sababu.... ata watoto wa mikoa mingine wanaenda madrasah kama kawaida... Tatizo ni kwamba iyo mikoa ya pwani ni wa vivuu.. mtoto anajua baikoko na mambo ya mwali kuliko ata shule..
Ni kweli hata watoto wa Mikoa mingine wanakwenda Madrasa,lakini Kumbuka mikoa hii asilimia kubwa ya watu wake ni Waislamu, Mikoa mingine ni mchanganyiko wa Waislamu na Wakristo!!
 
On a warm summer's evenin' on a train bound for nowhereI met up with the gambler, we were both too tired to sleepSo we took turns a starin' out the window at the darkness'Til boredom overtook us and he began to speak
He said, "Son, I've made a life, out of readin' people's facesAnd knowin' what their cards were by the way they held their eyesSo if you don't mind my sayin', I can see you're out of acesFor a taste of your whiskey I'll give you some advice"
So I handed him my bottle and he drank down my last swallowThen he bummed a cigarette and asked me for a lightAnd the night got deathly quiet and his face lost all expressionSaid, "If you're gonna play the game, boy, you gotta learn to play it right"
You got to know when to hold 'em, know when to fold 'emKnow when to walk away and know when to runYou never count your money when you're sittin' at the tableThere'll be time enough for countin' when the dealing's done
Every gambler knows that the secret to survivin'Is knowin' what to throw away and knowing what to keep'Cause every hand's a winner and every hand's a loserAnd the best that you can hope for is to die in your sleep
And when he finished speakin', he turned back towards the windowCrushed out his cigarette and faded off to sleepAnd somewhere in the darkness the gambler, he broke evenBut in his final words I found an ace that I could keep
You got to know when to hold 'em, know when to fold 'emKnow when to walk away and know when to runYou never count your money when you're sittin' at the tableThere'll be time enough for countin' when the dealing's done
You got to know when to hold 'em, know when to fold 'emKnow when to walk away and know when to runYou never count your money when you're sittin' at the tableThere'll be time enough for countin' when the dealing's done
You got to know when to hold 'em, know when to fold 'emKnow when to walk away and know when to runYou never count your money when you're sittin' at the tableThere'll be time enough for countin' when the dealing's done
 

Shule ya maendeleo unaijua ipo wapi upande wa Dar es Salaam... ivi unajua ata Kongowe, Mwakanga ni Dar au!!!
 
Kusema kweli mimi nilifanya kazi nyingi ktk wilaya za mkoa wa Pwani (sijui upande wa Zbar) kwa zaidi ya miaka 6 sasa. Na nilifanya kazi na walimu na wanafunzi wa shule za misingi na sekondary.

Sishangai na matokeo haya kwa upande wa mkoa wa Pwani kwa sababu wanafunzi wengi sana kuanzia kidato cha pili wanaanza kufikiri kuolewa kuliko kuendelea na shule. Hii pia inatokana na utamaduni wa kucheza watoto wa kike /kumtoa mwali (mkoleni) ambao kisaikolojia unamfanya afikirie masuala ya Ndoa kuliko Shule baada ya kutolewa mwali.

Niliwahi kufanya kazi na Diwani mmoja msomi kidogo mzaliwa na wa Pwani (mzaramo) akawa anapinga ngoma hizi za asili kwa hoja kwamba inaharibu watoto wa kike. Matokeo ya msimamo wa Diwani huyo kuangushwa ktk hatua za kura ya maoni ya chama chake 2010.

Japokuwa ukizungumzo na watu wazima wanapinga kwamba wanahamasisha tabia mbaya kwa watoto wao lakini ukweli utabaki pale pale kwamba Mkoleni au kutoa mwali ni utamaduni unaohitaji kubadilishwa ili kuboresha mfumo wa Elimu. Watoto wa kike baada ya kutolewa mwali matokeo yao yanabadilika darasani na hili hata waalimu wanashuhudia kabisa. Matokeo yake sasa naona hata waalimu wanaanza kukata tamaa.

Sikubaliani na madai ya hujuma ktk baraza la mitihani kama alivyodokeza mleta mada.
 
Tusi-divert hali mbaya ya ufaulu wa watoto wetu tanzania nzima! Ni mjinga na mpuuzi tu atakayesherekea 7% ya watoto wote kuwa na div 1-3!
 
Ukipanda mchicha huwezi kuvuna Njegere! Ukipanda siasa chafu utavuna siasa chafu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…