Asilimia 60 chali matokeo ya kidato cha nne

Asilimia 60 chali matokeo ya kidato cha nne

Mim Nadhan hizo shule zipo kwenye majimbo yao..hivyo wanazipa majina kama FAHARI...
 
Hao walioipa shule yao jina la Wilbroad Slaa sijui walikuwa wanafikiria nini?!!!
attachment.php
 
Hao walioipa shule yao jina la Wilbroad Slaa sijui walikuwa wanafikiria nini?!!!

.... wewe ni y AU NI ... X

cc zeMarcopolo senior Biologist ZE MAGAMABAS the lost representative !!

...zemakopolo.....kamanda nawewe uko chini ya NAPE???.....Kwa akili yako wewe NAPE anakuajili?????????? ....ACHA KUTUDHALILISHA...UNAKESHA KWENYE MITANDAO KUVIZIA BUKU KUMI PER SIKU???? ....Makopolo hii ni aibu wewe KUWA NA ELIMU YAKO KUWA MTUMWA WA LUMUMBA!!!

Unataka hizo shule za viongozi zanze kupendelewe sasa hasa za magamba.
 
GOLOKO,

Bado ya Yusuphu makamaba naomba uiongezee ktika list yako. Dr Slaa kama si mlezi wa hii shule naomba uikane
Maana hizi shule kwa mtaala uliopo zitakuchafulia bure,shule hazina walimu ,hakuna vitabu nyiingine hakuna hata hayo madarasa.Tafakari chukua hatua
 
Hao walioipa shule yao jina la Wilbroad Slaa sijui walikuwa wanafikiria nini?!!!

Jitaidi ueunalala wakat mwingine akili inakaa sawa... ukisikia Dr Slaa rais wako 2015 yan mkun_u wako unawasha kila wakati.
 
Jitaidi ueunalala wakat mwingine akili inakaa sawa... ukisikia Dr Slaa rais wako 2015 yan mkun_u wako unawasha kila wakati.

Hii tabia ya Shule kuziita majina ya Watu, sasa faida tunaanza kuzipata!!!

Shule enzi za Mwalimu zilikuwa zinapewa majina ya maeneo mf. Songea Boys Sec. School, Msalato Girls.... Sasa elimu imringiliwa na wanasiasa wenye njaaa kali!! Wanaojifanya wanajua huku wamelewa na sifa za kijinga kichwan. Hongera WALIMU Tanzania...
 
jamani hawa ni watoto wa watu wazazi wako kwenye msiba mzito kutokana na sera za FASTA FASTA ZA CCM.
Nimemsikia kawambwa akijitetea kuwa shule zilikuwa hazina waalim sasa kama shule ilikuwa haina mwalim na haina
vifaa kwanini ilifunguliwa je serikali inaweza kukuruhusu ufungue hospitali wakati huna madaktari wa kutibu watu??

Naungana na m-kiti wa chadema kumuomba kawamba jiuzulu.
 
"kwa kweli hiki kizazi kinanishangaza, na nyie clouds mwaka jana yule kijana aliandika bongo flava kwenye mtihani, mkampromote, mkamtoa mkoani na kumleta dar, sasa kipindi kile ilikuwa single naona mwaka huu imekuwa album, hamkupaswa kufanya vile kumpromote yule kijana" mwisho wa kunukuu.
Source: powerbreakfast ya clouds.
 
Shule ya Benjamin Mkapa matokeo yake yakoje? Au haina O - Level.
 
nimemsikia hando tayari amemjibu kwenye jicho la ng'ombe kwa ukali sana
 
Wanamwonea mama wa watu kwa vile mkristo, mitoto yenu haisomi kutwa ngono na miziki.
 
Hii tabia ya Shule kuziita majina ya Watu, sasa faida tunaanza kuzipata!!!

Shule enzi za Mwalimu zilikuwa zinapewa majina ya maeneo mf. Songea Boys Sec. School, Msalato Girls.... Sasa elimu imringiliwa na wanasiasa wenye njaaa kali!! Wanaojifanya wanajua huku wamelewa na sifa za kijinga kichwan. Hongera WALIMU Tanzania...

anza kujizoesha mapemaaaaaa, jina la old bagamoyo road litakuwa historia soon, wanapanga kuiita "mwai kibaki"
kichefuchefu.
 
Hivi kumbe karibu kila mwanasiasa (pamoja na wake zao) ana shule inayotumia jina lake? Hii nayo sijui imekaaje.
 
siyo kweri wameogopa waislamu kulalama kufelishwa kama zanzibar ilivyotokea last year

HIYO YA WAISLAM NAYO INAWEZEKANA, LAKINI KUBWA LILILOHUSIKA NI KUFICHA AIBU
 
Walitumia vigezo gani kutumia majina ya viongozi au vigogo? Au hao vigogo wanachangia chochote kama walezi wa shule?
 
Back
Top Bottom