Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 20,877
- 43,633
Leo nilimwahid wife nimechora mstari sinywi tena pombe.🤣🤣🤣
Ni kweli kabisa na TRA ana lawama zake hapa japo ndo mpunguze sa.😜 Teh
Hahahaaa. Poleni.
Sa best hapo sijui ndo mnafanyaje? Munaacha au mnafumba macho? 🤣🤣🤣
Unywaji wangu ni kwa ajir ya recreational purpose tena kwa kipimo jioni baada ya kazi nakunywa daily yaani Kila siku