Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 20,877
- 43,633
Leo nilimwahid wife nimechora mstari sinywi tena pombe.π€£π€£π€£
Ni kweli kabisa na TRA ana lawama zake hapa japo ndo mpunguze sa.π Teh
Hahahaaa. Poleni.
Sa best hapo sijui ndo mnafanyaje? Munaacha au mnafumba macho? π€£π€£π€£
Kuna jamaa ALIKUA ananambia akinywa kvant nyingi au pombe za plastic yaani ZINAMPOTEZEA KUMBUKUMBU.Wanakuchanganyia methanol na ethanol. Au hawaondoi makemikali ya kuleta hangover na wehu.
Duuh! Ni jambo jema kuacha japo kama umezowea kunywa daily ni dhahiri utapata tabu sana.Leo nilimwahid wife nimechora mstari sinywi tena pombe.
Unywaji wangu ni kwa ajir ya recreational purpose tena kwa kipimo jioni baada ya kazi nakunywa daily yaani Kila siku
Ntakua nakunywa KONYAGIIII ndogo moja then napunguza kidogo kidogoDuuh! Ni jambo jema kuacha japo kama umezowea kunywa daily ni dhahiri utapata tabu sana.
Vp lakini kuna ulichokiamua kiwe mbadala? Au ndo utakausha tu.
Visungura+double kickWatu wanatafuta pombe zenye rizimu ili walewe mapema
Oooh. Bila shaka hizo sio haramu.Ntakua nakunywa KONYAGIIII ndogo moja then napunguza kidogo kidogo
Haaahaa πOooh. Bila shaka hizo sio haramu.
Afu unakuta inauzwa buku mbiliVisungura+double kick
Ova
Hapo nakubaliana na wewe kabisaa.Ikishalipiwa kodi TRA uharamu unaondoka, zile pombe za vikopo vya plastic ni hatari kuliko hata gongo.
Me maraa ya mwisho kuacha pombe ni kisa hicho hicho π kwanza nilitapika siku tatu mfululizo af sikula siku tatu zote hizo mpk nkapelekwa hospitalKuna jamaa ALIKUA ananambia akinywa kvant nyingi au pombe za plastic yaani ZINAMPOTEZEA KUMBUKUMBU.
Jamaa akawa anasema MPAKA UNAJIULIZA NIMEKULA SIJAKULA MAWENGE SANA IZO POMBEEE NI NOMA SANAAAAAA
Mkuu kwaio kwa Sasa aunywi kabisaMe maraa ya mwisho kuacha pombe ni kisa hicho hicho π kwanza nilitapika siku tatu mfululizo af sikula siku tatu zote hizo mpk nkapelekwa hospital
Mwaka sasa mkuu zinaua hizo af siku hizi fake nyingiMkuu kwaio kwa Sasa aunywi kabisa
Kwanini umesemaMwaka sasa mkuu zinaua hizo af siku hizi fake nyingi
Kwa bongo hizii huwezi PATA TANDALE NA MBAGALAHapa ni mwendo wa Carlsberg au tuborg beer tu
Ova