Asilimia 65 ya wana JF wanakaa dar

Tuanze na Mimi , Mimi sio wa dar nipo GEITA kama na wewe upo mkoani jitokeze ili tuone kweli kama wapo wengi kuliko sisi, tafadhali usione aibu hata kama upo koromije we sema tu
Hamtatupata tulipo ng'oo!
 
Reactions: y-n
kwa kwel mikoan member ni wachache sana naunga mkono hoja pengine member wa nje ya nchi wana weza kuwa wengi kuliko wa mikoani.....

Kwani Dar sio mkoa...Hahahaa mbona mmekariri vibaya hivyo Acheni ubashiteism!
 
Wewe umetumwa na TISS au? kwanini unataka kujuwa wanajf wanakaa wapi, wewe umetumwa hiyo hoja ni ya kinafiki kwa sababu kujuwa tunakaa wapi haisaidii, sana si kwa maana nzuri, you want members to provoke whereabout their stay so you start zerodown to locate the living area, hatutaki hatutaki, kamwambie Magu hutupati ng'oooo
 
mabashite yamejaa kila kona
 
Tuanze na Mimi , Mimi sio wa dar nipo GEITA kama na wewe upo mkoani jitokeze ili tuone kweli kama wapo wengi kuliko sisi, tafadhali usione aibu hata kama upo koromije we sema tu
Hiyo avatar tuuu mmmhh
 
Tuanze na Mimi , Mimi sio wa dar nipo GEITA kama na wewe upo mkoani jitokeze ili tuone kweli kama wapo wengi kuliko sisi, tafadhali usione aibu hata kama upo koromije we sema tu
[emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…