Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji12] [emoji115] [emoji125]inamana koromije...nipo mimi tuuu...?
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]Wengi wana Mihemko....
Hongera ...mkuuNimefanya kautafiti kangu ka muda mrefu kidogo hatimaye nimegundua kuwa 65% ya wana jf wanakaa dar.
Sema chochote...mama au wote tunatoka koromije...mimi na wewe...?[emoji12] [emoji115] [emoji125]
We samawanii samawani sana tena nitake radhi kwanza ndiyo mengine yaendeleeSema chochote...mama au wote tunatoka koromije...mimi na wewe...?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Ulitaka nijiite cha usiku , unaangalia jina unaangalia madini nayotema , shwaini mkubwa wewe
Mimi nipo chugaTuanze na Mimi , Mimi sio wa dar nipo GEITA kama na wewe upo mkoani jitokeze ili tuone kweli kama wapo wengi kuliko sisi, tafadhali usione aibu hata kama upo koromije we sema tu
umetumia kigezo gani?Nimefanya kautafiti kangu ka muda mrefu kidogo hatimaye nimegundua kuwa 65% ya wana jf wanakaa dar.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Huku Dar walau kuna unafuu wa kutafuta pesa ya bando..Nimefanya kautafiti kangu ka muda mrefu kidogo hatimaye nimegundua kuwa 65% ya wana jf wanakaa dar.
JF ina miaka10
Mikoani ndo wapi mkuukwa kwel mikoan member ni wachache sana naunga mkono hoja pengine member wa nje ya nchi wana weza kuwa wengi kuliko wa mikoani.....
We jamaa una tafuta balaa,wabunge wanahofu na kutekwa wewe unajianika hadharani kabisa muulize RomaTuanze na Mimi , Mimi sio wa dar nipo GEITA kama na wewe upo mkoani jitokeze ili tuone kweli kama wapo wengi kuliko sisi, tafadhali usione aibu hata kama upo koromije we sema tu