Mimi niko KilimanjaroTuanze na Mimi , Mimi sio wa dar nipo GEITA kama na wewe upo mkoani jitokeze ili tuone kweli kama wapo wengi kuliko sisi, tafadhali usione aibu hata kama upo koromije we sema tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi niko KilimanjaroTuanze na Mimi , Mimi sio wa dar nipo GEITA kama na wewe upo mkoani jitokeze ili tuone kweli kama wapo wengi kuliko sisi, tafadhali usione aibu hata kama upo koromije we sema tu
Ilo ndilo mnajua, lakini wakija Panya Road mnakimbizana na wengine tukiwauliza mnakana, watekaji wanateka nyie hamjui kijitetea, kazi kushindia vibanzi vikavu na mishikaki, uchufu nyie, kipindupindu nyie, kunuka vikwapa nyieNimefanya kautafiti kangu ka muda mrefu kidogo hatimaye nimegundua kuwa 65% ya wana jf wanakaa dar.
Nchi yaDar es salaam bwana na wakazi wakehujuh mikoani ni wap pole sana mfano wa mikoani moro,iringa ,tabora,njombe,kigoma,rukwa,songea utaongezea mingine
Ndio hivyo tena ufanye fanye ukishauza yale mazao uhamie dar na wewe huko uwe unaenda kipindi cha mavunoKumbee
Mkuu dar nimesikia sio kama tunavyo simliwa ni totauti maana kuna mdau kapost picha za tandale kwa mtogole nimeishiwa pozi la kwenda darNdio hivyo tena ufanye fanye ukishauza yale mazao uhamie dar na wewe huko uwe unaenda kipindi cha mavuno
Mzima lakin mkuuNdio hivyo tena ufanye fanye ukishauza yale mazao uhamie dar na wewe huko uwe unaenda kipindi cha mavuno
Nenda tu nawe ukaoshe macho mana dar ni kubwa lazima vitakuwepo ambavyo vitakufanya uvutiweMkuu dar nimesikia sio kama tunavyo simliwa ni totauti maana kuna mdau kapost picha za tandale kwa mtogole nimeishiwa pozi la kwenda dar
Mimi mzima sanaMzima lakin mkuu
Mi niko mjini toka Jana
Sawa nashukuru kwa kunitia moyo mkuu je we ushawahi kufika huko dar?Nenda tu nawe ukaoshe macho mana dar ni kubwa lazima vitakuwepo ambavyo vitakufanya uvutiwe
Asante mkuu tumshukuru muumba wa vyoteMimi mzima sana
Wanaume Wa Dar hawajitambuiNimefanya kautafiti kangu ka muda mrefu kidogo hatimaye nimegundua kuwa 65% ya wana jf wanakaa dar.
Hapana sijawahi kufika huwa napasikia tu na kupaona kwenye TvSawa nashukuru kwa kunitia moyo mkuu je we ushawahi kufika huko dar?
Sawa mkuuHapana sijawahi kufika huwa napasikia tu na kupaona kwenye Tv
Songea msamalaSongea nyumbi bombi!!!!
Subiri wewe ,nipo kwenye hesabu hapa ,mbona itafahamikaHamtatupata tulipo ng'oo!
We jamaa una tafuta balaa,wabunge wanahofu na kutekwa wewe unajianika hadharani kabisa muulize Roma