Asilimia 65 ya wana JF wanakaa dar

Asilimia 65 ya wana JF wanakaa dar

Sasa naelekea Kolomije na Sumve baadae jioni nitakuwa Nyamanoro.
 
Mi nipo kwenye 35 % wengine wapo mikoani na wanaingia JF kwa kutumia free basic.com lakini hujifanya wapo Dar, ni kama vile Facebook mtu kaishia form four kama mm anasema anasoma UDSM
 
Mimi nipo huku kajunjumele
Kuna member mwingine anatokea huku?
 
Ndo Maana Basi Mi Nashangaa Wanaume Wanaolialia Kule MMU Ni Wa Wapi Napata Shida Chuga Hamna Haya Mambo Kumbe Dar.
 
Tuanze na Mimi , Mimi sio wa dar nipo GEITA kama na wewe upo mkoani jitokeze ili tuone kweli kama wapo wengi kuliko sisi, tafadhali usione aibu hata kama upo koromije we sema tu
Iringa
 
Back
Top Bottom