Asilimia 65 ya wana JF wanakaa dar

Asilimia 65 ya wana JF wanakaa dar

ubashite umefikaje sasa shit .... mbona simpo way tu kwamba dar ni jiji kwingine ni mikoani tu....

Sawa ni jiji ila sio jiji pekee Tanzania.. BTW Kwenye mikoa yote 30+ sijawahi kusikia mtu akisema Tanzania ina mikoa 30 na jiji la Dar..ninachojua mimi Tanzania ina mikoa bara na visiwani...Dar ikiwepo..
Over!
 
Wewe umetumwa na TISS au? kwanini unataka kujuwa wanajf wanakaa wapi, wewe umetumwa hiyo hoja ni ya kinafiki kwa sababu kujuwa tunakaa wapi haisaidii, sana si kwa maana nzuri, you want members to provoke whereabout their stay so you start zerodown to locate the living area, hatutaki hatutaki, kamwambie Magu hutupati ng'oooo
Watu wa Dar katika ubora wao
 
Sawa ni jiji ila sio jiji pekee Tanzania.. BTW Kwenye mikoa yote 30+ sijawahi kusikia mtu akisema Tanzania ina mikoa 30 na jiji la Dar..ninachojua mimi Tanzania ina mikoa bara na visiwani...Dar ikiwepo..
Over!
umeeleweka boy
 
Utafiti wako fake, watu daa wanakuja kwa msimu na kwa kazi maalum,
Mm. Ni member tokea singida
 
Back
Top Bottom