Asilimia 65 ya wana JF wanakaa dar

Asilimia 65 ya wana JF wanakaa dar

Usahihi haupo. Simu ziko mikoani bwana. Labda wangesma 65% tupo mijini siyo dar tu. Mi Niko Tunduma
 
Mimi niko Ngara Mujini, Kagera ambaki Land marker ni Ngara Oil.. Karibuni
 
Tuanze na Mimi , Mimi sio wa dar nipo GEITA kama na wewe upo mkoani jitokeze ili tuone kweli kama wapo wengi kuliko sisi, tafadhali usione aibu hata kama upo koromije we sema tu
We jamaa una tafuta balaa,wabunge wanahofu na kutekwa wewe unajianika hadharani kabisa muulize Roma
 
Back
Top Bottom