Asilimia 66% ya Bajeti ya Wizara ya Nishati na Umeme yaenda kwenye Mradi wa Stiglers. Je, imekaaje kiuchumi?

Siyo suala la Teknolojia ya kujenga bali ni "Ability to Pay". Hazina ni muflis kwa kuwa Jiwe hajui planning. Anatekeleza miradi mikubwa kama 5 kwa wakati mmoja;
1. Ubungo Bridge
2. Coco Beach -AgaKhan Road
3. Kimara -Kibamba six lane highway
4. Kigongo -Busisi
5. SGR
6. Stiglers Hydro

Hiyo miradi yote ni pasua kichwa, kuna ambayo ina foreign na local component na kuna ambayo ni 100% local component tu.

Kuna miradi naona kama itasimama kama Barabara ya Kimara- Kibamba na SGR

Mtaka yote kwa pupa kukosa yote
Orodha yako ya miradi kuna mingine inakuwa funded na WB, African Dev. Bank na Stanchart sasa kwa umbumbumbu wako unafikiri zinatoka Hazina zote! Kama hujui nyamaza tu wewe ass!
 
Ujenzi wa Dodoma isitishwe,bunge wapunguze idadi ya wabunge.
 
Kwa kweli kwa mtu mwenye uelewa lazima tuishukuru Serikali ya awamu ya Tano. Changamoto nyingi zimerekebishwa. Mfano kukatikatika kwa umeme sasa imekuwa ni historia, Uimara ya shillingi ya Tanzania, Vituo vya Afya nchi nzima, Ubungo flyover ni machache tu yaliyotekelezwa na yanayoonekana. Mnyonge mnyongeni lakini mpeni haki yake.

Ndio maana unaambiwa ni serikali inayojali vitu na wala sio watu.
 
Kuhusu umeme wa REA yawezekana ni 45% ya vijiji siyo 90% kama anavyosema Kalemani. Kumbuka Serikali ya awamu ya 5 ni Serikali ya kuchakachua au kupika takwimu.

Kuhusu hivyo vituo vya afya na zahanati vinavyojengwa havina wataalamu na hata dawa na vifaa tiba hakuna. Hospitali ni dawa na wataalamu wa afya siyo majengo.
Kwani Kati ya ofisi na mfanyakazi kipi kinatangulia kuwepo?
 
Siyo suala la Teknolojia ya kujenga bali ni "Ability to Pay". Hazina ni muflis kwa kuwa Jiwe hajui planning. Anatekeleza miradi mikubwa kama 5 kwa wakati mmoja;
1. Ubungo Bridge
2. Coco Beach -AgaKhan Road
3. Kimara -Kibamba six lane highway
4. Kigongo -Busisi
5. SGR
6. Stiglers Hydro

Hiyo miradi yote ni pasua kichwa, kuna ambayo ina foreign na local component na kuna ambayo ni 100% local component tu.

Kuna miradi naona kama itasimama kama Barabara ya Kimara- Kibamba na SGR

Mtaka yote kwa pupa kukosa yote
Serikali ya awamu ya tano inauwezo wa kulipa. Mpaka sasa mkandarasi wa JNHPP ameshalipwa cerificates 6 za tril 1.2 za kitanzania. Leo tu umesikia watu wamelipwa bil 19 ili kupisha mradi wa Sgr Dodoma mpakanTabora. Hii serikali ipo makini we subiri matokeo mazuri baada ya JNHPP kukamilika.
 
Ndio maana unaambiwa ni serikali inayojali vitu na wala sio watu.
Kujenga bwawa ambalo litazalisha umeme kwa ajili ya watu na matumizi.mengine muhimu unasema haijali watu? Mmefiliska kwa kila namna. Kujenga vituo vya afya ,madaraja na miradi mikubwa alafu unasema utumbo kama huu.
 
Orodha yako ya miradi kuna mingine inakuwa funded na WB, African Dev. Bank na Stanchart sasa kwa umbumbumbu wako unafikiri zinatoka Hazina zote! Kama hujui nyamaza tu wewe ass!
Rudi kasome tena post yangu wewe. Hiyo But 7 mnayolipwa na Hpolepole isiondoe ubinadamu wako
 
Ujenzi wa Dodoma isitishwe,bunge wapunguze idadi ya wabunge.
Dodoma pale Mji wa Serikali Mtimba ni wastage of resources tu. Mawaziri wote wakiwa Dodoma wanakuwa mjini kwenye ofisi za Wizara zao zilizopo mjini.

Wanakwenda Mtimba pale Rais akiwa Dodoma tu
 
Kwani Kati ya ofisi na mfanyakazi kipi kinatangulia kuwepo?
Mbona swali hata mwenyewe waweza kujibu!! Yaani kama.umejenga majengo wataalamu hawapo usitupigie kelele kuwa umejenga hospitali kila wilaya.

Kuna vituo vya afya vina Xray Machines na Thratres kwa ajili ya operation lakini Vijijini hakuna umeme hivyo hata ukipeleka wataalamu ni another wastage.

Subiri ukamilishe ndiye utuambue ni wananchi wangapi wametibiwa kwenye hizo hospitali.
 
Kujenga bwawa ambalo litazalisha umeme kwa ajili ya watu na matumizi.mengine muhimu unasema haijali watu? Mmefiliska kwa kila namna. Kujenga vituo vya afya ,madaraja na miradi mikubwa alafu unasema utumbo kama huu.
Siyo utumbo msome vizuri mtoa hoja na umuelewe halafu shirikisha ubongo wako
 
Kuhusu umeme wa REA yawezekana ni 45% ya vijiji siyo 90% kama anavyosema Kalemani. Kumbuka Serikali ya awamu ya 5 ni Serikali ya kuchakachua au kupika takwimu.

Kuhusu hivyo vituo vya afya na zahanati vinavyojengwa havina wataalamu na hata dawa na vifaa tiba hakuna. Hospitali ni dawa na wataalamu wa afya siyo majengo.
Ninachojua, kijiji ninachotoka huko Kiziba, Missenyi, Kagera kina umeme na nyumbani kwa baba kuna umeme.
 
Wakati mwingine tuwe na akili japo kidogo tu, hospitali isipokuwa na majengo hao wataalamu watafanyia kazi wapi?

Kuhusu umeme wa REA yawezekana ni 45% ya vijiji siyo 90% kama anavyosema Kalemani. Kumbuka Serikali ya awamu ya 5 ni Serikali ya kuchakachua au kupika takwimu.

Kuhusu hivyo vituo vya afya na zahanati vinavyojengwa havina wataalamu na hata dawa na vifaa tiba hakuna. Hospitali ni dawa na wataalamu wa afya siyo majengo.
 
Kujenga bwawa ambalo litazalisha umeme kwa ajili ya watu na matumizi.mengine muhimu unasema haijali watu? Mmefiliska kwa kila namna. Kujenga vituo vya afya ,madaraja na miradi mikubwa alafu unasema utumbo kama huu.

Ww kwakuwa ni bendera fuata upepo huna ujualo. Hakuna anayekataa umeme, bali kulikuwa na umeme wa gas na tukawa tunaimbishwa kama wendawazimu kuhusu uchumi wa gas, wakati huo tuliambiwa umeme wa maji tatizo ni mabadiliko ya tabia nchi. Wakati huo huyu anayejenga wa maji sasa, alikuwa kimya na hata kusifia umeme huo ili kulinda cheo, leo hii katurudisha kwenye umeme wa maji, ambao ni aliunga mkono maelezo ya umeme wa maji tatizo ni badiliko la tabia nchi. Tumekopa 1.2t kwa ajili ya bomba la gas. Kwanini hizi pesa za kujenga umeme wa maji zisiingizwe kwenye huo miradi wa gas?

Kujenga vituo vya afya nchi nzima vizuri, kuna siku nilikuambia weka list ya hivyo vituo tujiridhishe, hatuko tayari kupewa data za kupika. Miradi sio jambo geni hapa nchini, labda kama ndio umeyajua haya mambo hivi karibuni.
 
Back
Top Bottom