Wewe ulitakaje?Naomba wachumi mje mtujuze athari za Bajeti ya 2020/21 kwenye sector ya nishati elekezwa kwenye mradi mmoja wa Nyerere Hydro Electric Power huko Rufiji. Kama siyo mchumi soma na upite
Angalia kiambatisho hapo chini
View attachment 1444848
Sasa hutaki au? Basi toa takwimu zakoMnaposhiba bangi muwe mnajitahidi kutulia kwanza kabla ya kuanza kusumbua humu.
Hivi una uhakika 90% ya vijiji tanzania vina umeme ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Orodha yako ya miradi kuna mingine inakuwa funded na WB, African Dev. Bank na Stanchart sasa kwa umbumbumbu wako unafikiri zinatoka Hazina zote! Kama hujui nyamaza tu wewe ass!Siyo suala la Teknolojia ya kujenga bali ni "Ability to Pay". Hazina ni muflis kwa kuwa Jiwe hajui planning. Anatekeleza miradi mikubwa kama 5 kwa wakati mmoja;
1. Ubungo Bridge
2. Coco Beach -AgaKhan Road
3. Kimara -Kibamba six lane highway
4. Kigongo -Busisi
5. SGR
6. Stiglers Hydro
Hiyo miradi yote ni pasua kichwa, kuna ambayo ina foreign na local component na kuna ambayo ni 100% local component tu.
Kuna miradi naona kama itasimama kama Barabara ya Kimara- Kibamba na SGR
Mtaka yote kwa pupa kukosa yote
Ujenzi wa Dodoma isitishwe,bunge wapunguze idadi ya wabunge.Siyo suala la Teknolojia ya kujenga bali ni "Ability to Pay". Hazina ni muflis kwa kuwa Jiwe hajui planning. Anatekeleza miradi mikubwa kama 5 kwa wakati mmoja;
1. Ubungo Bridge
2. Coco Beach -AgaKhan Road
3. Kimara -Kibamba six lane highway
4. Kigongo -Busisi
5. SGR
6. Stiglers Hydro
Hiyo miradi yote ni pasua kichwa, kuna ambayo ina foreign na local component na kuna ambayo ni 100% local component tu.
Kuna miradi naona kama itasimama kama Barabara ya Kimara- Kibamba na SGR
Mtaka yote kwa pupa kukosa yote
Kwa kweli kwa mtu mwenye uelewa lazima tuishukuru Serikali ya awamu ya Tano. Changamoto nyingi zimerekebishwa. Mfano kukatikatika kwa umeme sasa imekuwa ni historia, Uimara ya shillingi ya Tanzania, Vituo vya Afya nchi nzima, Ubungo flyover ni machache tu yaliyotekelezwa na yanayoonekana. Mnyonge mnyongeni lakini mpeni haki yake.
Kwani Kati ya ofisi na mfanyakazi kipi kinatangulia kuwepo?Kuhusu umeme wa REA yawezekana ni 45% ya vijiji siyo 90% kama anavyosema Kalemani. Kumbuka Serikali ya awamu ya 5 ni Serikali ya kuchakachua au kupika takwimu.
Kuhusu hivyo vituo vya afya na zahanati vinavyojengwa havina wataalamu na hata dawa na vifaa tiba hakuna. Hospitali ni dawa na wataalamu wa afya siyo majengo.
Serikali ya awamu ya tano inauwezo wa kulipa. Mpaka sasa mkandarasi wa JNHPP ameshalipwa cerificates 6 za tril 1.2 za kitanzania. Leo tu umesikia watu wamelipwa bil 19 ili kupisha mradi wa Sgr Dodoma mpakanTabora. Hii serikali ipo makini we subiri matokeo mazuri baada ya JNHPP kukamilika.Siyo suala la Teknolojia ya kujenga bali ni "Ability to Pay". Hazina ni muflis kwa kuwa Jiwe hajui planning. Anatekeleza miradi mikubwa kama 5 kwa wakati mmoja;
1. Ubungo Bridge
2. Coco Beach -AgaKhan Road
3. Kimara -Kibamba six lane highway
4. Kigongo -Busisi
5. SGR
6. Stiglers Hydro
Hiyo miradi yote ni pasua kichwa, kuna ambayo ina foreign na local component na kuna ambayo ni 100% local component tu.
Kuna miradi naona kama itasimama kama Barabara ya Kimara- Kibamba na SGR
Mtaka yote kwa pupa kukosa yote
Kujenga bwawa ambalo litazalisha umeme kwa ajili ya watu na matumizi.mengine muhimu unasema haijali watu? Mmefiliska kwa kila namna. Kujenga vituo vya afya ,madaraja na miradi mikubwa alafu unasema utumbo kama huu.Ndio maana unaambiwa ni serikali inayojali vitu na wala sio watu.
Wait and see.Wewe ni bure kabisa unalinganisha teknolojia ya miaka ya sabini na sasa hivi.
Haya ndiyo tunayaita marobot ya Lumumba. Yana kurupuka kujibu kwa sababu ya Buk 7 tuMnaposhiba bangi muwe mnajitahidi kutulia kwanza kabla ya kuanza kusumbua humu.
Hivi una uhakika 90% ya vijiji tanzania vina umeme ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Rudi kasome tena post yangu wewe. Hiyo But 7 mnayolipwa na Hpolepole isiondoe ubinadamu wakoOrodha yako ya miradi kuna mingine inakuwa funded na WB, African Dev. Bank na Stanchart sasa kwa umbumbumbu wako unafikiri zinatoka Hazina zote! Kama hujui nyamaza tu wewe ass!
Dodoma pale Mji wa Serikali Mtimba ni wastage of resources tu. Mawaziri wote wakiwa Dodoma wanakuwa mjini kwenye ofisi za Wizara zao zilizopo mjini.Ujenzi wa Dodoma isitishwe,bunge wapunguze idadi ya wabunge.
Mbona swali hata mwenyewe waweza kujibu!! Yaani kama.umejenga majengo wataalamu hawapo usitupigie kelele kuwa umejenga hospitali kila wilaya.Kwani Kati ya ofisi na mfanyakazi kipi kinatangulia kuwepo?
Siyo utumbo msome vizuri mtoa hoja na umuelewe halafu shirikisha ubongo wakoKujenga bwawa ambalo litazalisha umeme kwa ajili ya watu na matumizi.mengine muhimu unasema haijali watu? Mmefiliska kwa kila namna. Kujenga vituo vya afya ,madaraja na miradi mikubwa alafu unasema utumbo kama huu.
Unaposema ubongo wangu siushirikishi ni kashifa. Acha kunikashifuSiyo utumbo msome vizuri mtoa hoja na umuelewe halafu shirikisha ubongo wako
Ninachojua, kijiji ninachotoka huko Kiziba, Missenyi, Kagera kina umeme na nyumbani kwa baba kuna umeme.Kuhusu umeme wa REA yawezekana ni 45% ya vijiji siyo 90% kama anavyosema Kalemani. Kumbuka Serikali ya awamu ya 5 ni Serikali ya kuchakachua au kupika takwimu.
Kuhusu hivyo vituo vya afya na zahanati vinavyojengwa havina wataalamu na hata dawa na vifaa tiba hakuna. Hospitali ni dawa na wataalamu wa afya siyo majengo.
Kuhusu umeme wa REA yawezekana ni 45% ya vijiji siyo 90% kama anavyosema Kalemani. Kumbuka Serikali ya awamu ya 5 ni Serikali ya kuchakachua au kupika takwimu.
Kuhusu hivyo vituo vya afya na zahanati vinavyojengwa havina wataalamu na hata dawa na vifaa tiba hakuna. Hospitali ni dawa na wataalamu wa afya siyo majengo.
Kujenga bwawa ambalo litazalisha umeme kwa ajili ya watu na matumizi.mengine muhimu unasema haijali watu? Mmefiliska kwa kila namna. Kujenga vituo vya afya ,madaraja na miradi mikubwa alafu unasema utumbo kama huu.