Mtoto wa Shule
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 15,133
- 11,914
Hizo ndio akili za wanaojiita GT wa JF. Ndio maana chama chao hakina hata ofisi lakini wanaahidi kuwaletea wananchi maendeleleo eti wakitawala nchi! Ahahahahahah!Wakati mwingine tuwe na akili japo kidogo tu, hospitali isipokuwa na majengo hao wataalamu watafanyia kazi wapi?
Kwa hiyo kwa hesabu zako hiyo ndiyo 90% ya vijiji vyote vya Tanzania. Kweli shule uliyokwenda imekusaisia kujua kuandika na kusoma tuNinachojua, kijiji ninachotoka huko Kiziba, Missenyi, Kagera kina umeme na nyumbani kwa baba kuna umeme.
Hoja yangu hujaielewa na sikulaumu. Ilibidi kila mtu aseme kama kijijini anakotoka kama wana umeme ama la. Hapo ndio tungejua vijiji vingapi vina umeme angalau kwa hesabu za JF. Najivunia sana kuishi kwenye kijiji chenye umeme, shule ya msingi, zahanati, kanisa, msikiti, maduka na sehemu za starehe kwa kiwango cha kijijini. Swali jingine?Kwa hiyo kwa hesabu zako hiyo ndiyo 90% ya vijiji vyote vya Tanzania. Kweli shule uliyokwenda imekusaisia kujua kuandika na kusoma tu
Siwezi kukubishia. Ila kumbuka kuna maeneo maendelo yake ni ya historia. Maeneo ambayo Kanisa lilifika mapema enzi za ukoloni. Kwa hiyo kukuta hospitali, shule barabara, umeme siyo kitu kigeni.Hoja yangu hujaielewa na sikulaumu. Ilibidi kila mtu aseme kama kijijini anakotoka kama wana umeme ama la. Hapo ndio tungejua vijiji vingapi vina umeme angalau kwa hesabu za JF. Najivunia sana kuishi kwenye kijiji chenye umeme, shule ya msingi, zahanati, kanisa, msikiti, maduka na sehemu za starehe kwa kiwango cha kijijini. Swali jingine?
Ni kuvuja mali ya umma,kama serikali ina upeo wasitishe ujenzi wa Dodoma.Dodoma pale Mji wa Serikali Mtimba ni wastage of resources tu. Mawaziri wote wakiwa Dodoma wanakuwa mjini kwenye ofisi za Wizara zao zilizopo mjini.
Wanakwenda Mtimba pale Rais akiwa Dodoma tu
Labda anamaanisha tochi.We jamaa una viroja si kidogo! Yaani unaamini kabisa 90% ya vijiji vya Tanzania vina umeme?!
Ujenzi wa Dodoma ni sunk cost. Yeye mwenyewe aliyejenga Ikulu huko anakaa kwa magumashi au kwa ku beep. Atakaye kuja baada ya Jiwe hata kama ni wa CCM atarudisha Ikulu Dar es Salaam na hizo nyumba zitabaki kama Kijiji cha Gbadolite cha Mobutu Seseseko huko DRCNi kuvuja mali ya umma,kama serikali ina upeo wasitishe ujenzi wa Dodoma.
Maamuzi ya mtu mmoja as if ni private property ni hatari sana.Ujenzi wa Dodoma ni sunk cost. Yeye mwenyewe aliyejenga Ikulu huko anakaa kwa magumashi au kwa ku beep. Atakaye kuja baada ya Jiwe hata kama ni wa CCM atarudisha Ikulu Dar es Salaam na hizo nyumba zitabaki kama Kijiji cha Gbadolite cha Mobutu Seseseko huko DRC
Labda no vijiji vya kwao lkn kwetu hata nguzo moja haionekani.Nilibahatika kwenda wilaya ya nyasa ruvuma karibu vijiji vyote vya mwambao mwa ziwa nyasa sikuona nguvu ya REAWe jamaa una viroja si kidogo! Yaani unaamini kabisa 90% ya vijiji vya Tanzania vina umeme?!
Hujaiona kwenye wino mxito wa The Citizen? Is Tshs. 2.197 Trillions which is 66% of the Total Budget.
Lakini kwa uzoefu ujue kuwa pesa itakayopatikana ni 40% tu kutoka Hazina takribani Tshs. 0.8 T!
Kumbuka Total cost ya Mradi Ni zaidi ya Tshs. 7+ Bilioni hivo kwa hesabu hizi mpaka mradi ukamilike utachukua miaka isiyopungus 10! Jiwe ataondoka bila ya ndoto yake kukamilika!
Hili neno % watu wengi wanapenda tu kulitaja lakini maana yake kiuhalisia hawalijui.
Ni kama kwenye zao la Korosho, kaharibu yeye halafu jumba bovu kamuangushia Charles TizebaMaamuzi ya mtu mmoja as if ni private property ni hatari sana.
Akisha fanya makosa ataendelea kutulisha propaganda kuwa maamuzi yake ni sahihi kwa gharama zo zote.
Na pale akigundua kuwa ni maamuzi mabaya,na muda wa kutawala unayoyoma...........mtamalizia.
Vipi demokrasia na haki za binadamu mbona huongelei hayo? au zenyewe sio mambo yanayoweza kumpa mtu sifa.Kwa kweli kwa mtu mwenye uelewa lazima tuishukuru Serikali ya awamu ya Tano. Changamoto nyingi zimerekebishwa. Mfano kukatikatika kwa umeme sasa imekuwa ni historia, Uimara ya shillingi ya Tanzania, Vituo vya Afya nchi nzima, Ubungo flyover ni machache tu yaliyotekelezwa na yanayoonekana. Mnyonge mnyongeni lakini mpeni haki yake.
Nimeuliza humu mara 100 kuwa ccm hii iliishajenga ofisi wapi katika nchi hii lkn sijajibiwa.Hizo ndio akili za wanaojiita GT wa JF. Ndio maana chama chao hakina hata ofisi lakini wanaahidi kuwaletea wananchi maendeleleo eti wakitawala nchi! Ahahahahahah!