Mwizukulu mgikuru
JF-Expert Member
- Oct 21, 2021
- 6,788
- 16,227
Kwahiyo watumishi wote wa serikali ni IT, hackers, Computer scientists, Computer Engineers???Ukitaka kuyagundua Haya kaa nao piga nao story yaani wengi wao ni weupe kichwani , yaani mtu hajui hata maana ya neno "hacking" wakuu sio Siri kitaa kinachangamsha kinamfanya mtu awe mbunifu na kufikiria kwa kiwango kikubwa...kwanini mtu akishaingia kwenye mfumo baada ya muda flani anakuwa fara?
Vitu vidogo sana hivi ..ila pia ukilaza ninaouzungumzia hapa ni kwenye vipengele vingi Tu .hapo juu nimetoa mfano Tu.Kwahiyo watumishi wote wa serikali ni IT, hackers, Computer sciemtists, Computer Engineers???
Mbona naona kama wewe ndio ZWAZWA zaidi
Rudia kuandika tena mtumishi..Nimefuta
PoleNajuta kusoma uzi huu
Bandiko la kibwege mno, kijana wewe ni mpuuzi.Ukitaka kuyagundua Haya kaa nao piga nao story yaani wengi wao ni weupe kichwani , yaani mtu hajui hata maana ya neno "hacking" wakuu sio Siri kitaa kinachangamsha kinamfanya mtu awe mbunifu na kufikiria kwa kiwango kikubwa...kwanini mtu akishaingia kwenye mfumo baada ya muda flani anakuwa fara?
Asante kwa kushiriki mkuuBandiko la kibwege mno, kijana wewe ni mpuuzi.
Labda kama ukoo wako yote imezaliwa kwenye maisha bora.Mimi kuna Laptop Fulani nilimkuta anayo Polisi tena jinsi anavyobonyeza hio Keyboard halafu naambiwa yupo kitengo cha Cyber nilichoka
Laptop Old model sana
Dah!Mbona kama una chuki tu na watumishi wa umma?Umekaa nao wangapi,wa rika lipi,na wa nch/mikoa gani hao?Ukitaka kuyagundua Haya kaa nao piga nao story yaani wengi wao ni weupe kichwani , yaani mtu hajui hata maana ya neno "hacking" wakuu sio Siri kitaa kinachangamsha kinamfanya mtu awe mbunifu na kufikiria kwa kiwango kikubwa. Kwanini mtu akishaingia kwenye mfumo baada ya muda fulani anakuwa fala?
Hapo mwisho kwenye thread umeonyesha utofauti wa thinking capacity kati ya mtu wa mtaani na mtumishi wa umma ni mazingira. Kwamba ukiwa kitaa unapata additional informations na kuwa tofauti na mtumishi aliye kwenye mfumo.Piteni mchunguze hawa watu Wana Iq ndogo sana