Asilimia 80 ya watumishi wa serikali ni weupe kichwani

Ukitaka kuyagundua Haya kaa nao piga nao story yaani wengi wao ni weupe kichwani , yaani mtu hajui hata maana ya neno "hacking" wakuu

Sio Siri kitaa kinachangamsha kinamfanya mtu awe mbunifu na kufikiria kwa kiwango kikubwa. Kwanini mtu akishaingia kwenye mfumo baada ya muda fulani anakuwa bongolala?
Wengi ni work as usual, the have no idea kwanini wako pale.
No body care kujiongeza kimaarifa
 
Ukitaka kuyagundua Haya kaa nao piga nao story yaani wengi wao ni weupe kichwani , yaani mtu hajui hata maana ya neno "hacking" wakuu sio Siri kitaa kinachangamsha kinamfanya mtu awe mbunifu na kufikiria kwa kiwango kikubwa. Kwanini mtu akishaingia kwenye mfumo baada ya muda fulani anakuwa fala?
Kwanza lazima ujue sio kila mtumishi wa umma yupo kwenye kada ya ICT. Pili, kwa hilo la kwanza, sio kila mtumishi wa umma atafahamu ABC za ICT maana halazimiki kujua kwa kuwa si sehemu ya mafunzo aliyopata shuleni na majukumu aliyopangiwa kazini. Tatu, hacking ni too technical issue for a normal user to understand and hence protect, na kwa kuwa wengi wa watu ni wasiotokana na ICT, kwangu kuona wengi hawajui what is hacking ni jambo la kawaida.

Ni jambo la kushangaza eti mtu anaupima ukilaza wa mtumishi wa umma kwa kutokujua hacking. Pengine anayepima hivyo naweza kumuita yeye ni kilaza maana hafahamu anatakiwa ampime nini mtu gani.

Sasa wewe eti umegundua sekretari, mtunza kumbukumbu, mwalimu wa history au geography, nk hawajui hacking, is it an issue ya kukufanya ushangae hadi uanzishe uzi? Sana sana mimi nakushangaa wewe!
 
Hapo mwisho kwenye thread umeonyesha utofauti wa thinking capacity kati ya mtu wa mtaani na mtumishi wa umma ni mazingira. Kwamba ukiwa kitaa unapata additional informations na kuwa tofauti na mtumishi aliye kwenye mfumo.
Na post #2 umeongelea suala la IQ.
Kwa akili zako za kitahira unadhani IQ inaweza kukuzwa katika utu uzima?
Yaani Saidi na Juma wamehitimu University of Dar es salaam mwaka mmoja na wote wana IQ sawa lakini IQ ya Saidi imepungua kutokana na utumishi wa umma na IQ ya Juma imekaa stable au kuongezeka kutokana na shughuli zake za kitaa.
Nina mashaka hujui hata maana ya IQ.
Ni wivu tu unakusumbua.
Asante kwa kushiriki mtumishi
Wengi ni work as usual, the have no idea kwanini wako pale.
No body care kujiongeza kimaarifa
Na huwa hawapendi kupata changamoto mpya
 
Kwanza lazima ujue sio kila mtumishi wa umma yupo kwenye kada ya ICT. Pili, kwa hilo la kwanza, sio kila mtumishi wa umma atafahamu ABC za ICT maana halazimiki kujua kwa kuwa si sehemu ya mafunzo aliyopata shuleni na majukumu aliyopangiwa kazini. Tatu, hacking ni too technical issue for a normal user to understand and hence protect, na kwa kuwa wengi wa watu ni wasiotokana na ICT, kwangu kuona wengi hawajui what is hacking ni jambo la kawaida.

Ni jambo la kushangaza eti mtu anaupima ukilaza wa mtumishi wa umma kwa kutokujua hacking. Pengine anayepima hivyo naweza kumuita yeye ni kilaza maana hafahamu anatakiwa ampime nini mtu gani.

Sasa wewe eti umegundua sekretari, mtunza kumbukumbu, mwalimu wa history au geography, nk hawajui hacking, is it an issue ya kukufanya ushangae hadi uanzishe uzi? Sana sana mimi nakushangaa wewe!
Mimi mwenyewe nakushangaa kama wewe unavyonishangaa mimi
 
Labda kama ukoo wako yote imezaliwa kwenye maisha bora.
Usiposhika laptop hata uisomee ukubwani, unajulikana tuu.
Keyboard kuiteka sio swala dogo. Wapo watu kibao wamesoma hadi coding ila bado.
Mimi mwenyewe naandika haraka kwenye keyboard ya simu. Ila keyboard yenyewe ni kudelete mara kwa mara.
Na sometimes mimi sina haja ya kompyuta yenye core au graphic card nzuri au ya mbele. Hivo wapo watu hadi leo wana madell latitude wakati mwenzetu unatuma apple core i 7 speed ya internet 11gb kama ile ya marekani, na hutumii za kibongo maana unasema kazi zako zinachelewa. Ila wenzako hizhizi tunaruka nazo.
Hivo jifunze, kutoweza tumia kitu flani si ujinga bali ni kutokielewa sana.
Wenzako wanafrna na wake zao wewe huwezi kwasababu hujazoea. Zoea uone. Utamtia hadi mdomoni.
Ndio mana Udukuzi hautaisha sana, Vyombo vya Ulinzi vinatakiwa vitumie latest tech au Viwe mbele ya Tech iliyopo mtaani
 
Mimi kuna Laptop Fulani nilimkuta anayo Polisi tena jinsi anavyobonyeza hio Keyboard halafu naambiwa yupo kitengo cha Cyber nilichoka

Laptop Old model sana
Yaani anabonyeza keyboard kama vile anabonyeza machenza😁😁😁
 
Ukitaka kuyagundua Haya kaa nao piga nao story yaani wengi wao ni weupe kichwani , yaani mtu hajui hata maana ya neno "hacking" wakuu

Sio Siri kitaa kinachangamsha kinamfanya mtu awe mbunifu na kufikiria kwa kiwango kikubwa. Kwanini mtu akishaingia kwenye mfumo baada ya muda fulani anakuwa bongolala?
Wewe ni mweusi au bluu?
 
Mimi mwenyewe nakushangaa kama wewe unavyonishangaa mimi
Eti unawahukumu kabisa mamesenja na masekretari kuwa ni vilaza kwa kuwa hawajui hacking, una akili wewe? Kama ICT Officers hawafiki hata 5% ya watumishi wote wa umma, unashangaaje 80% kutokukujua hacking? Nahisi una stress zako
Kwamba umewagundua kwa kukaa na kupiga nao stori!
😂😂😂
 
Ukitaka kuyagundua Haya kaa nao piga nao story yaani wengi wao ni weupe kichwani , yaani mtu hajui hata maana ya neno "hacking" wakuu

Sio Siri kitaa kinachangamsha kinamfanya mtu awe mbunifu na kufikiria kwa kiwango kikubwa. Kwanini mtu akishaingia kwenye mfumo baada ya muda fulani anakuwa bongolala?
Ndio watumishi hao na watapata mishahara na watastaafu na kupata vibunda vyao fresh tu kwa raha zao wewe kafanye pilika nyingine.
 
Ukitaka kuyagundua Haya kaa nao piga nao story yaani wengi wao ni weupe kichwani , yaani mtu hajui hata maana ya neno "hacking" wakuu

Sio Siri kitaa kinachangamsha kinamfanya mtu awe mbunifu na kufikiria kwa kiwango kikubwa. Kwanini mtu akishaingia kwenye mfumo baada ya muda fulani anakuwa bongolala?
Nilienda ofisi ya mkuu wa wilaya nilikuwa nahitaji kuonana nae. Kabla ya kuingia kuna ofisi ya kujitambulisha, nikatoa business card" nikampa. Akaiangaliaaaaa akaniuliza unaitwa nani?
Dah!
 
Labda kama ukoo wako yote imezaliwa kwenye maisha bora.
Usiposhika laptop hata uisomee ukubwani, unajulikana tuu.
Keyboard kuiteka sio swala dogo. Wapo watu kibao wamesoma hadi coding ila bado.
Mimi mwenyewe naandika haraka kwenye keyboard ya simu. Ila keyboard yenyewe ni kudelete mara kwa mara.
Na sometimes mimi sina haja ya kompyuta yenye core au graphic card nzuri au ya mbele. Hivo wapo watu hadi leo wana madell latitude wakati mwenzetu unatuma apple core i 7 speed ya internet 11gb kama ile ya marekani, na hutumii za kibongo maana unasema kazi zako zinachelewa. Ila wenzako hizhizi tunaruka nazo.
Hivo jifunze, kutoweza tumia kitu flani si ujinga bali ni kutokielewa sana.
Wenzako wanafrna na wake zao wewe huwezi kwasababu hujazoea. Zoea uone. Utamtia hadi mdomoni.
Mfano ulioweka kiongozi haundani kabisa
 
Msema kweli mpenzi wa Mungu , Ma-IT wa serikali wengi sana ni Vilaza kuna department chache sana ndio utakuta kuna watu kweli lakini kwengine doh
 
Back
Top Bottom