Asilimia 80 ya watumishi wa serikali ni weupe kichwani

Asilimia 80 ya watumishi wa serikali ni weupe kichwani

Ukitaka kuyagundua Haya kaa nao piga nao story yaani wengi wao ni weupe kichwani , yaani mtu hajui hata maana ya neno "hacking" wakuu

Sio Siri kitaa kinachangamsha kinamfanya mtu awe mbunifu na kufikiria kwa kiwango kikubwa. Kwanini mtu akishaingia kwenye mfumo baada ya muda fulani anakuwa bongolala?
Mazoea hujenga Tabia,Mimi nilikuwa sifanyi mazoezi nikajifunza, Sasa imekuwa Tabia yangu kila niamkapo Asubuhi!
 
Tatizo linaaza pale ambapo wenye uwezo wanaachwa kitaani alafu mazuzu ndio yenye connection Kwa kushikwa mikono na wajomba, hapo ndio maana Africa tunachelewa sana.
 
Tukisema asilimia 80 Wana matatizo basi katika picha kubwa ujue asilimia 80 ya jamii ya watanzania walio katika sekta binafsi nao Wana tatizo kama ilo.
Kwakua watanzania wanao Fanya sekta binafsi au serikalini wote wanesoma katika shule na vyuo vinavyo fanana.
Wote wanatoka katika jamii Moja na tabia moja
 
Kwanza lazima ujue sio kila mtumishi wa umma yupo kwenye kada ya ICT. Pili, kwa hilo la kwanza, sio kila mtumishi wa umma atafahamu ABC za ICT maana halazimiki kujua kwa kuwa si sehemu ya mafunzo aliyopata shuleni na majukumu aliyopangiwa kazini. Tatu, hacking ni too technical issue for a normal user to understand and hence protect, na kwa kuwa wengi wa watu ni wasiotokana na ICT, kwangu kuona wengi hawajui what is hacking ni jambo la kawaida.

Ni jambo la kushangaza eti mtu anaupima ukilaza wa mtumishi wa umma kwa kutokujua hacking. Pengine anayepima hivyo naweza kumuita yeye ni kilaza maana hafahamu anatakiwa ampime nini mtu gani.

Sasa wewe eti umegundua sekretari, mtunza kumbukumbu, mwalimu wa history au geography, nk hawajui hacking, is it an issue ya kukufanya ushangae hadi uanzishe uzi? Sana sana mimi nakushangaa wewe!
Messenger ajue hacking!
 
Ukitaka kuyagundua Haya kaa nao piga nao story yaani wengi wao ni weupe kichwani , yaani mtu hajui hata maana ya neno "hacking" wakuu

Sio Siri kitaa kinachangamsha kinamfanya mtu awe mbunifu na kufikiria kwa kiwango kikubwa. Kwanini mtu akishaingia kwenye mfumo baada ya muda fulani anakuwa bongolala?
Hiyo asilimia 80,umefanya research?,ulichukua sampling ipi?.Au ulikaa ukapiga story na wote ndo ukaipata asilimia hiyo.Kumbuka watumishi wa serikali kuna kada nyingi kuanzia wapishi,wafanya usafi,madereva na hadi maofisa wote hao umewapima kwa neno hacking na ukarealize asilimia 80 ni vilaza.
 
Na ukiona yupo smart jua nyuma kuna ghost leader ambao mara nyingi tunakuaga Sisi hapa an hatuonekani na wala hatujulikani ila kazi zetu zinaenda tuuu...

""Oya dogo sa skia fanya kazi ya hawa watu wenyewe wamependa ya kwetu...""

Hapo wewe unapewa 50k ya chap
Tumisema licha ya GPA kuna mambo mengine ni talented wakuu...

Kazi ya kufanya masaa 8 mtu anafanya kwa dakika 2 au 3 unazani unamuachaje huyo..

Na ndo hapo tunapokula pesa zao japo sio nyingi ila hizo hizo alhamdullilah 😂🙌 🙏

Soon ntakua kwa mfumo hapo ndo itajulikana ni mwendo wa kukomba tuu wenyewe si wanafanya for fame
 
INAWEZEKANA USEMALO LIKAWA KWELI.

Tukumbuke Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) umekuwa ni uzoefu mpya katika Utumishi wa umma. Hata zilipoingia Kompyuta zilianza baadhi ya vitengo kama Maafisa Waandishi waendesha Ofisi (Secretaries), Uhasibu na pengine kwa Boss. Lakini leo kila mtumishi wa umma, atake asitake anapaswa kujua walau ABC's za kompyuta. Utumishi umehama kwenye paper-work na kufanya vitu vingi kwa TEHAMA; iwe uhamisho, likizo, kupima utendaji kazi na hata mikopo. Kwa hiyo vitu hivi huwezi kufanyiwa na wahudumu; ni kila mmoja ana ukurasa wake kwenye mfumo.
Kwa kizazi cha Kompyuta bado watashangaa lakini ni suala la muda tu, kila kitu kitabadilika.
Lakini kusema asilimia 80 ya watumishi ni weupe kichwani si kweli. Ikumbukwe vyuo ulivyosoma ndivyo hivyo hivyo walivyosoma hao waliopo katika utumishi...
 
Piteni mchunguze hawa watu Wana Iq ndogo sana
Kujua hacking ni nini ndiyo uelewa mkubwa!?..nyi watu mna shida gani!?..yaani kujua kutumia facebook ni IQ kubwa!?..wakati najifunza computer 1997,niliambiwa kutumia computer ni sawa na kuendesha baiskeli,ukishajua umejua,sasa kujua kuendesha baiskeli ni IQ kubwa!?
 
Ukitaka kuyagundua Haya kaa nao piga nao story yaani wengi wao ni weupe kichwani , yaani mtu hajui hata maana ya neno "hacking" wakuu

Sio Siri kitaa kinachangamsha kinamfanya mtu awe mbunifu na kufikiria kwa kiwango kikubwa. Kwanini mtu akishaingia kwenye mfumo baada ya muda fulani anakuwa bongolala?
Naomba niwa tag wana lumumba pengine ujumbe wao huu Pascal Mayalla
 
Ukitaka kuyagundua Haya kaa nao piga nao story yaani wengi wao ni weupe kichwani , yaani mtu hajui hata maana ya neno "hacking" wakuu

Sio Siri kitaa kinachangamsha kinamfanya mtu awe mbunifu na kufikiria kwa kiwango kikubwa. Kwanini mtu akishaingia kwenye mfumo baada ya muda fulani anakuwa bongolala?
90% ya viongozi wa Ccm vilaza wa daraja la Kwanza.
 
Acha na hayo, pata shida ofisi ya Serikali uende. Utaona huruma, yaani uliyeenda ndiyo inabidi umuelekeze kuwa hiki ufanye hivi na vile ni aibu. Unajiuliza ilikuaje akawa hapa?

Kidogo kwenye Taasisi za Serikali, kuna afadhali, nimefanya huko unaona watu wanauelewa na anachokifanya, njoo Serikali kuu majanga na wengi wanalalamikia hilo.
 
Back
Top Bottom