Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 30,742
- 56,070
Wengi ni work as usual, the have no idea kwanini wako pale.Ukitaka kuyagundua Haya kaa nao piga nao story yaani wengi wao ni weupe kichwani , yaani mtu hajui hata maana ya neno "hacking" wakuu
Sio Siri kitaa kinachangamsha kinamfanya mtu awe mbunifu na kufikiria kwa kiwango kikubwa. Kwanini mtu akishaingia kwenye mfumo baada ya muda fulani anakuwa bongolala?
Kwanza lazima ujue sio kila mtumishi wa umma yupo kwenye kada ya ICT. Pili, kwa hilo la kwanza, sio kila mtumishi wa umma atafahamu ABC za ICT maana halazimiki kujua kwa kuwa si sehemu ya mafunzo aliyopata shuleni na majukumu aliyopangiwa kazini. Tatu, hacking ni too technical issue for a normal user to understand and hence protect, na kwa kuwa wengi wa watu ni wasiotokana na ICT, kwangu kuona wengi hawajui what is hacking ni jambo la kawaida.Ukitaka kuyagundua Haya kaa nao piga nao story yaani wengi wao ni weupe kichwani , yaani mtu hajui hata maana ya neno "hacking" wakuu sio Siri kitaa kinachangamsha kinamfanya mtu awe mbunifu na kufikiria kwa kiwango kikubwa. Kwanini mtu akishaingia kwenye mfumo baada ya muda fulani anakuwa fala?
Asante kwa kushiriki mtumishiHapo mwisho kwenye thread umeonyesha utofauti wa thinking capacity kati ya mtu wa mtaani na mtumishi wa umma ni mazingira. Kwamba ukiwa kitaa unapata additional informations na kuwa tofauti na mtumishi aliye kwenye mfumo.
Na post #2 umeongelea suala la IQ.
Kwa akili zako za kitahira unadhani IQ inaweza kukuzwa katika utu uzima?
Yaani Saidi na Juma wamehitimu University of Dar es salaam mwaka mmoja na wote wana IQ sawa lakini IQ ya Saidi imepungua kutokana na utumishi wa umma na IQ ya Juma imekaa stable au kuongezeka kutokana na shughuli zake za kitaa.
Nina mashaka hujui hata maana ya IQ.
Ni wivu tu unakusumbua.
Na huwa hawapendi kupata changamoto mpyaWengi ni work as usual, the have no idea kwanini wako pale.
No body care kujiongeza kimaarifa
Nawasubili hapa mpaka jioni...Ngoja wakushukie kama mwewe
Mimi mwenyewe nakushangaa kama wewe unavyonishangaa mimiKwanza lazima ujue sio kila mtumishi wa umma yupo kwenye kada ya ICT. Pili, kwa hilo la kwanza, sio kila mtumishi wa umma atafahamu ABC za ICT maana halazimiki kujua kwa kuwa si sehemu ya mafunzo aliyopata shuleni na majukumu aliyopangiwa kazini. Tatu, hacking ni too technical issue for a normal user to understand and hence protect, na kwa kuwa wengi wa watu ni wasiotokana na ICT, kwangu kuona wengi hawajui what is hacking ni jambo la kawaida.
Ni jambo la kushangaza eti mtu anaupima ukilaza wa mtumishi wa umma kwa kutokujua hacking. Pengine anayepima hivyo naweza kumuita yeye ni kilaza maana hafahamu anatakiwa ampime nini mtu gani.
Sasa wewe eti umegundua sekretari, mtunza kumbukumbu, mwalimu wa history au geography, nk hawajui hacking, is it an issue ya kukufanya ushangae hadi uanzishe uzi? Sana sana mimi nakushangaa wewe!
Ndio mana Udukuzi hautaisha sana, Vyombo vya Ulinzi vinatakiwa vitumie latest tech au Viwe mbele ya Tech iliyopo mtaaniLabda kama ukoo wako yote imezaliwa kwenye maisha bora.
Usiposhika laptop hata uisomee ukubwani, unajulikana tuu.
Keyboard kuiteka sio swala dogo. Wapo watu kibao wamesoma hadi coding ila bado.
Mimi mwenyewe naandika haraka kwenye keyboard ya simu. Ila keyboard yenyewe ni kudelete mara kwa mara.
Na sometimes mimi sina haja ya kompyuta yenye core au graphic card nzuri au ya mbele. Hivo wapo watu hadi leo wana madell latitude wakati mwenzetu unatuma apple core i 7 speed ya internet 11gb kama ile ya marekani, na hutumii za kibongo maana unasema kazi zako zinachelewa. Ila wenzako hizhizi tunaruka nazo.
Hivo jifunze, kutoweza tumia kitu flani si ujinga bali ni kutokielewa sana.
Wenzako wanafrna na wake zao wewe huwezi kwasababu hujazoea. Zoea uone. Utamtia hadi mdomoni.
Yaani anabonyeza keyboard kama vile anabonyeza machenza😁😁😁Mimi kuna Laptop Fulani nilimkuta anayo Polisi tena jinsi anavyobonyeza hio Keyboard halafu naambiwa yupo kitengo cha Cyber nilichoka
Laptop Old model sana
Mawazo yako yameishia hapa mkuuBaada kukutana na mtumishi wa uma aliye kwenye urefu wa kamba yake, amekutafuna vipesa vyako uneleta hasira hapa.
Wewe ni mweusi au bluu?Ukitaka kuyagundua Haya kaa nao piga nao story yaani wengi wao ni weupe kichwani , yaani mtu hajui hata maana ya neno "hacking" wakuu
Sio Siri kitaa kinachangamsha kinamfanya mtu awe mbunifu na kufikiria kwa kiwango kikubwa. Kwanini mtu akishaingia kwenye mfumo baada ya muda fulani anakuwa bongolala?
Eti unawahukumu kabisa mamesenja na masekretari kuwa ni vilaza kwa kuwa hawajui hacking, una akili wewe? Kama ICT Officers hawafiki hata 5% ya watumishi wote wa umma, unashangaaje 80% kutokukujua hacking? Nahisi una stress zakoMimi mwenyewe nakushangaa kama wewe unavyonishangaa mimi
Mpaka kuja hapa kuanzisha Uzi hapa jamii forum ujue nafahamu vitu vingi sanaUnajiona sana wewe jamaa kwahiyo kujua neno hacking ndiyo umeamua kutudharau hivyo .
Ukome
Ndio watumishi hao na watapata mishahara na watastaafu na kupata vibunda vyao fresh tu kwa raha zao wewe kafanye pilika nyingine.Ukitaka kuyagundua Haya kaa nao piga nao story yaani wengi wao ni weupe kichwani , yaani mtu hajui hata maana ya neno "hacking" wakuu
Sio Siri kitaa kinachangamsha kinamfanya mtu awe mbunifu na kufikiria kwa kiwango kikubwa. Kwanini mtu akishaingia kwenye mfumo baada ya muda fulani anakuwa bongolala?
Bluu na wewe mkuu!Wewe ni mweusi au bluu?
Nilienda ofisi ya mkuu wa wilaya nilikuwa nahitaji kuonana nae. Kabla ya kuingia kuna ofisi ya kujitambulisha, nikatoa business card" nikampa. Akaiangaliaaaaa akaniuliza unaitwa nani?Ukitaka kuyagundua Haya kaa nao piga nao story yaani wengi wao ni weupe kichwani , yaani mtu hajui hata maana ya neno "hacking" wakuu
Sio Siri kitaa kinachangamsha kinamfanya mtu awe mbunifu na kufikiria kwa kiwango kikubwa. Kwanini mtu akishaingia kwenye mfumo baada ya muda fulani anakuwa bongolala?
Mpaka hapo umejaza uji kichwaniBluu na wewe mkuu!
Mfano ulioweka kiongozi haundani kabisaLabda kama ukoo wako yote imezaliwa kwenye maisha bora.
Usiposhika laptop hata uisomee ukubwani, unajulikana tuu.
Keyboard kuiteka sio swala dogo. Wapo watu kibao wamesoma hadi coding ila bado.
Mimi mwenyewe naandika haraka kwenye keyboard ya simu. Ila keyboard yenyewe ni kudelete mara kwa mara.
Na sometimes mimi sina haja ya kompyuta yenye core au graphic card nzuri au ya mbele. Hivo wapo watu hadi leo wana madell latitude wakati mwenzetu unatuma apple core i 7 speed ya internet 11gb kama ile ya marekani, na hutumii za kibongo maana unasema kazi zako zinachelewa. Ila wenzako hizhizi tunaruka nazo.
Hivo jifunze, kutoweza tumia kitu flani si ujinga bali ni kutokielewa sana.
Wenzako wanafrna na wake zao wewe huwezi kwasababu hujazoea. Zoea uone. Utamtia hadi mdomoni.
Dereva wa lorry za mizigo na Mvuvi anayeshinda Baharini wapo sawa kwenye kufahamu mambo? au utatumia kigezo gani kusema huyu ni bora zaidi ya mwingine?.Mawazo yako yameishia hapa mkuu
Mimi na wewe ni marafiki wa muda mrefu hapa ,sasa chunga hii dharau au tamka mbele ya hili jamvi kuwa mimi nina akili timamu kuliko hao wengine ili tubaki sawa kaka ,imeniuma sanaMpaka kuja hapa kuanzisha Uzi hapa jamii forum ujue nafahamu vitu vingi sana
Nitakujibu baadaeDereva wa lorry za mizigo na Mvuvi anayeshinda Baharini wapo sawa kwenye kufahamu mambo? au utatumia kigezo gani kusema huyu ni bora zaidi ya mwingine?.