Valencia_UPV
JF-Expert Member
- Mar 31, 2016
- 6,974
- 8,750
Kweli kabisa mkuuuila next time kwenye case study ongezea mkoa wa DODOMA (WAGOGO & WARANGI) wale mashemeji ni furushi la misumari. SAMAHANI LAKINI.
Yes Mudi, umemsahau?mudi??
Okay. Msalimie Mudi
mudi??
[emoji23][emoji23][emoji23]Yes Mudi, umemsahau?
Dodoma ni shidaa
Soma tenaNi wapi uko au vijana wa dar
Weka picha yako tuone wezereI'm 36yo bado niko kwa bimkubwa&mzee,and i'm proud of it,wengi wenu mnaongea hivyo 7bu ugumu maisha,hamna pa kwenda,nimejenga kwetu,naendelea kuishi kwetu....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kweli kabisa... tena vijana wengi wa namna hii ni mashabiki wa Yanga. Kazi kushangilia Simba ikifungwa.
Fanyeni kazi vijana!!
Tafuta kijoraMbona mi naona hamna tatizo hapa nina 47 bado nipo nyumbani na wazazi wanafurahia
Vipi ameshaondoka?Kuna shemeji yangu kazaliwa 1985 anaishi kwa shemeji yake aliyemuoa dada yake na hana dalili za kuondoka hivi karibuni. Najua hayanihusu ila nashangaaaga saana
NomaMsalimie shemeji yako