Asilimia 88 ya vijana (umri 30 - 35) hutegemea wazazi na mashemeji

Tanga mauno utayapata ila mashemeji kibwena.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bila shaka hapa na ww ni mhusika
 
Hongera Mkuu. Mm 2016/17 nilianzisha mahusiano na Divorced woman flan baada ya kunieleza matatizo yake pia nilivutiwa na umbo lake (wezere kama lote japo alikua na smell ya ajabu sana ila nilivumilia) basi akaomba nimlipie kodi nikaona why nilipe kodi wakati nina kwangu akahamia kwangu mwanae wa kiume alikuwa SAUT-Mwanza final year basi alipomaliza mqsomo Julia 2016 nikamtafuta kazi ofisini akawa analipwa 35,000 per day. Na hapo ofisi inatoa chakula na usafiri na home anakaa bure halipii chochote. Kafanya week 2 tu kaacha. Aisee kumuambia Mama yake anadai namnyanyasa mwanae kwa sababu mm si baba yake nilicholifanya nilienda kukodi kirikuu wakabeba vilivyo vyao hasa nguo na mapazia mm nikabaki huru nikihitaji nanunua tu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]asee mbavu zangu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naunga mkono hoja ukitaka kuyajua hayo ...nenda social media utaona vijana wanavyoongea sentensi za vishazi tegemezi ,mara dada ,mara shemeji

Vijana wengi hawataki kujiongeza wanasubiria ngekewa eti kunasiku itatokea zali la mentali

Aokote hela ....hayo ni mawazo mgando ...wanawaza wanawake na kuomba hela ya kwenda kuhonga

Ukienda nchi za nje vijana umri wa miaka 30 tayar wana life lao

sent from toyota Allex
 
Hao hao vijana wanaoishi kwa mashemeji zako usishangae wanakugongea mkeo mpk anawahonga.

Maana wao mtaji wao ni kiuno.

Naunga mkono hoja ukitaka kuyajua hayo ...nenda social media utaona vijana wanavyoongea sentensi za vishazi tegemezi ,mara dada ,mara shemeji

Vijana wengi hawataki kujiongeza wanasubiria ngekewa eti kunasiku itatokea zali la mentali

Aokote hela ....hayo ni mawazo mgando ...wanawaza wanawake na kuomba hela ya kwenda kuhonga

Ukienda nchi za nje vijana umri wa miaka 30 tayar wana life lao

sent from toyota Allex

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alininitoa kafara kwa mganga,ndio akapata hizo fedha,nikiondoka nyumbani anasilisika,kwahiyo mimi ndondocha ndio mana siondoki home na umri huu wa miaka 47

Aisee, haya kaka kama unaamini hivyo. Kila mtu na imani yake.
 
Alininitoa kafara kwa mganga,ndio akapata hizo fedha,nikiondoka nyumbani anasilisika,kwahiyo mimi ndondocha ndio mana siondoki home na umri huu wa miaka 47
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Tuache kujeli na dharau angalau nilitegeme watu wenye fikra pevu waje na suruhu au ushauri kusaidia hili janga
 
Sio mbaya maana nao watakuja kuwafuga shemeji zao na hivyo ndivyo walivyoandaliwa.

Labda nikufungue akili kidogo

Kila kita huenda kwa mipango na wala sio kukutupuka.

Unamwambiaje kijana aloyesomea uhasibu kuwa leo hii atafute kazi nyingine ya kufanya!!!
Yaani mnataka watu wafanye kazi bila taaluma. Huko ni kubahatisha. Sisi kama taifa inabidi tuwe na mkakati. Sio kufuata mkumbo kama mlivyo msio weza kujitegemea kifikra
Mkakati unatakiwa uwe nao wewe Kwanza, lazima ujue unasoma nini Kwa ajili ya nini ili uje uwe nani. Siyo unajisomea somea sababu umeona utapata mkopo, unataka mpaka unamaliza form 6 upangiwe usomee nini na Kwa faida gani?? Wewe ni kilaza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hongera Mkuu. Mm 2016/17 nilianzisha mahusiano na Divorced woman flan baada ya kunieleza matatizo yake pia nilivutiwa na umbo lake (wezere kama lote japo alikua na smell ya ajabu sana ila nilivumilia) basi akaomba nimlipie kodi nikaona why nilipe kodi wakati nina kwangu akahamia kwangu mwanae wa kiume alikuwa SAUT-Mwanza final year basi alipomaliza mqsomo Julia 2016 nikamtafuta kazi ofisini akawa analipwa 35,000 per day. Na hapo ofisi inatoa chakula na usafiri na home anakaa bure halipii chochote. Kafanya week 2 tu kaacha. Aisee kumuambia Mama yake anadai namnyanyasa mwanae kwa sababu mm si baba yake nilicholifanya nilienda kukodi kirikuu wakabeba vilivyo vyao hasa nguo na mapazia mm nikabaki huru nikihitaji nanunua tu
Unanunua nini mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom