Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kijana unakosa Kujibidisha hata na biashara ndogo ndogo unabaki kumtegemea shemeji?Jombaa mambo ni ngumu kwa kitaa tofauti na unavyofikiria, ndio kuna mabwenyenye wameuweka kwa Home tu na kwa mashemeji ila kuna wengine wapo huko kwa sababu mambo haziendi
Siamini. That my age ninawatoto sita, first brone std 6 aged 11. Haha huyo atakuwa mtu wa pwani. HahaKwa lugha rahisi ni kwamba anaishi kwa kaka yako
umbea huoKuna shemeji yangu kazaliwa 1985 anaishi kwa shemeji yake aliyemuoa dada yake na hana dalili za kuondoka hivi karibuni. Najua hayanihusu ila nashangaaaga saana
Mchezo hatari sana huu kwa ustawi wa familiamimi nimeamua kumfanya shemeji (kwa siri) NYUMBA NDOGO. Yaani kuliko nikatafute kicheche mtaani bora nile humo humo ndani kwa gharama nafuu na pia katika kutimiza ile dhana ya EMPOWERMENT.
** nahusudu utaratibu wa dini fulani (jina kapuni) wa kuruhusu kuoa zaid ya mke mmoja hata kama ni ndugu.
Aisee mkuu bila shaka kuna watoto umezaa kabla ya ndoaSiamini. That my age ninawatoto sita, first brone std 6 aged 11. Haha huyo atakuwa mtu wa pwani. Haha
Katika kutathimini namna ambavyo kama taifa linapaswa kuwekeza kwenye elimu ya biashara (ujasiriamali) na ubunifu badala ya vijana kutegemea ajira za serikali, uchunguzi uliofanywa katika miji ya Dar es Salaam, Morogoro, Tanga, Mwanza & Kagera umegundua 88% ya vijana kati ya umri wa miaka 30 na 35 bado hutegemea kwa matumizi yao yote toka kwa wazazi ama Mashemeji zao.
Hii si dalili nzuri tunapoelekea kwenye nchi ya viwanda na kutimiza dira ya Taifa ya maendeleo ya 2025 (Tanzania Vision 2025). Vijana amkeni fanyeni kazi, biashara, kilimo, acheni kubweteka na ku-bet kutwa nzima, kushangilia mipira ya ulaya na siasa za Marekani huku hamna namna ya kuingiza kipato binafsi zaid ya kutegemea mashemeji na wazazi kuwapa pesa ya matumizi.
========
Maoni ya WanaJF yamesomwa kwenye kipindi hiki cha JAMII LEO
*vijana acheni uvivuuuu
Nani mbeya?umbea huo
Nani mbeya?
Sasa kumbe anaendesha boda, tatizo liko wapiJibu ni hamnazo maana ni teacher. Na nafikiri wa daraja B .mshahara sio mbaya kivile. Jamaa anaishia kuendesha boda boda za shemeji yake. Daah job true true
Mimi kyna shemeji yangu kazaliwa 1978 lkn mpaka leo anakaa kwa shemeji yake aliyemuoa dada yake, kazi yake anashinda kuosha magari ya shemeji kutwa nzima wakimtafutia kazi anafanya mwezi tu anaacha
Kumbuka na hao mashemeji ni vijana pia, Halafu watu hudanganya Sana magufuli alishasema kuwa Karine hii huwezi danganya maaana Kwa uhalisia zaid ya vijana asilimia 90 hujitegemea tofauti na miaka ya 90Katika kutathimini namna ambavyo kama taifa linapaswa kuwekeza kwenye elimu ya biashara (ujasiriamali) na ubunifu badala ya vijana kutegemea ajira za serikali, uchunguzi uliofanywa katika miji ya Dar es Salaam, Morogoro, Tanga, Mwanza & Kagera umegundua 88% ya vijana kati ya umri wa miaka 30 na 35 bado hutegemea kwa matumizi yao yote toka kwa wazazi ama Mashemeji zao.
Hii si dalili nzuri tunapoelekea kwenye nchi ya viwanda na kutimiza dira ya Taifa ya maendeleo ya 2025 (Tanzania Vision 2025). Vijana amkeni fanyeni kazi, biashara, kilimo, acheni kubweteka na ku-bet kutwa nzima, kushangilia mipira ya ulaya na siasa za Marekani huku hamna namna ya kuingiza kipato binafsi zaid ya kutegemea mashemeji na wazazi kuwapa pesa ya matumizi.
========
Maoni ya WanaJF yamesomwa kwenye kipindi hiki cha JAMII LEO
*vijana acheni uvivuuuu