M24 Headquarters-Kigali
JF-Expert Member
- Jul 9, 2012
- 8,199
- 8,186
- Thread starter
- #201
Mashemeji mnatubebesha mizigo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Warangi wamezidi aiseeila next time kwenye case study ongezea mkoa wa DODOMA (WAGOGO & WARANGI) wale mashemeji ni furushi la misumari. SAMAHANI LAKINI.
Umewakamia kweli kama hawajasikia basiiMashemeji mnatubebesha mizigo
Mudi au unamzungumzia nani?Hahaaaa!!!! Yule mkuu wap wadini ambae hua wananwabudu sana alikua ana wake 9, na baadhi walikua ni mabinamu zake,pia aliwahi kuoahadi bint wa miaka tisa
Yesu kristo mnazaleti.Mudi au unamzungumzia nani?
Shemeji yangu nilimtafutia kibarua akafanya kidogo akasema ni shida akaacha.Akawa yupo tu home anakandamiza ugali.Nilimpa discipline nadhani mpaka Leo amekuwa mpambanajiMi ninao wawili wadogo wa mke wangu wameridhika kila siku kutumwa gengeni na kuangalia series hawashtuki kuwa umri unaenda
Ulifanyaje mkuuShemeji yangu nilimtafutia kibarua akafanya kidogo akasema ni shida akaacha.Akawa yupo tu home anakandamiza ugali.Nilimpa discipline nadhani mpaka Leo amekuwa mpambanaji