UNEMPLOYYED
Senior Member
- Jan 29, 2017
- 116
- 47
Dah,[HASHTAG]#wanawasababishia[/HASHTAG] gonjwa LA moyo[emoji12] [emoji12] [emoji12]HAO BETTING wanalipa KODI hivyo hawaguswi, ASILANI.
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah,[HASHTAG]#wanawasababishia[/HASHTAG] gonjwa LA moyo[emoji12] [emoji12] [emoji12]HAO BETTING wanalipa KODI hivyo hawaguswi, ASILANI.
Kama kashindwa kuwaajiri ni heri awaache wabet tu. Anachoweza labda ni kuwaita vilazaIvi magufuli anaruhusuje michezo ya bahati nasibu yani kutwa VIJANA NA KUBETT monies up to evening
M
Magu saidia vijana wachape kaz
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Kipochi manyoya App ndo kipoje hicho?Walipaji kodi hawaguswi. Mbilinge inakuja kwa wapiga dili.
Sent using Kipochi Manyoya App
Anaumwa huyoKuna jitu zee zima hapa jiran yangu,lina miaka takriban 36 lakn bado linakaa kwa mama yake,halifanyi kazi yoyote zaidi ya kuzurura na kutafuna mirungi+kula ugoro
Watu wa pwani sijui wamelelewaje
Mjini pasua kichwa. Tembelea instagram ndo utajua mabinti ni shiida. Full usaniiiSitooa mwanamke nisiye mfahamu kwao! Na hili walijue kabisa kwamba ukiona Nina mahusiano na msichana na kwao sipafahamu, sina nia ya kupafahamu na wala sijui historia yake! Ajue kabisa kuwa hapo namtembezea moto lakini kwenye mahesabu hayupo.
Itabidi tuanze na kampeni ya no Kamari. Maana kamari imekuwa kama ndio ajira, hii Inaleta shida nyingi ktk kaziVijana betting hizi mnatajirisha watu bila kujijua.
Wazee wanazeeka na kustaafu wanachaguliwa ktk system na kupewa uongozi. Hao madokta na maprofesa waliopewa uongozi ni kuanzia 50yrs and above. Unategemea atakuja kukumbuka kuna vijana wanatakiwa kuingia ktk system huuu ndio mfumo wa ubepari ulivyo mpaka mabadiriko ni lazima kuna MTU afe Kwanzaa. Sisi vijana tumekuwa chambo na ndio tujifunze ukizaaa, unaleta watoto wenye malengo apa duniani na wachacheTatzo ni chanel .wape chanel wapige kaz