Asilimia 88 ya vijana (umri 30 - 35) hutegemea wazazi na mashemeji

Kuna shemeji yangu kazaliwa 1985 anaishi kwa shemeji yake aliyemuoa dada yake na hana dalili za kuondoka hivi karibuni. Najua hayanihusu ila nashangaaaga saana
Mimi kyna shemeji yangu kazaliwa 1978 lkn mpaka leo anakaa kwa shemeji yake aliyemuoa dada yake, kazi yake anashinda kuosha magari ya shemeji kutwa nzima wakimtafutia kazi anafanya mwezi tu anaacha
 
Mimi kyna shemeji yangu kazaliwa 1978 lkn mpaka leo anakaa kwa shemeji yake aliyemuoa dada yake, kazi yake anashinda kuosha magari ya shemeji kutwa nzima wakimtafutia kazi anafanya mwezi tu anaacha
Duuh....vijana tunajilemaza mkuu
 
Hahaaaa!!!! Yule mkuu wap wadini ambae hua wananwabudu sana alikua ana wake 9, na baadhi walikua ni mabinamu zake,pia aliwahi kuoahadi bint wa miaka tisa
 
....atafanyia wapi kazi kama hata za kubeba zege mtaani hakuna????

biashara atafanyaje kama hata 10,000 mfukoni hana? (na hivi biashara imenuna kitaa, hata aiskrimu hazitoki siku hizi)

atalima lami? au akakatue msitu ategemee kudra za mvua (hapo anaweza ingia msituni akaambiwa eneo la mtu au hifadhi)

acha tu waendelee kuvizia ugali wa shemeji....

(kubet ndio kufanyaje mkuu???)

ila seriously, tunahitaji sera na mikakati mizuri ya kuwawezesha hawa vijana wajitegemee...la sivyo ni bomu..... i wish vijana wengi wangepata nafasi kwenda kwenye vyuo vya ufundi

Wengi tu humu mmetokea kwa shemeji,mjomba,shangazi leo hii mnawasema wenzenu wavivu.

kaka kutokea pahala fulani ni tofauti na kuwa tegemezi wakati umri wako haukuruhusu, naweza kusema kuwa Tanzania ina asilimia kubwa ya utegemezi lakini kwa asilimia na umri uliooneshwa na mleta mada : havirandani kabisaaa
 
Mada imejikita zaidi mtu alipotoka kuliko umri. Labda hata kichwa cha habari kingekuwa asilimia 88 ya vijana 30-35 yrs ni tegemezi. Lakini hata michango kwenye hii mada ni dharau kwa wanaoishi kwa shemeji zao.
 
hapo nimekuelewa lakini mimi kwa binafsi yangu sioni kama ni hatia kwa mtu kukaa kwa shemeji yake kama umri unaruhusu yaani ule wa kutengeneza msingi wa maisha kama elimu lakini kwa mtu wa miaka 30 kuwa tegemezi kupitiliza sio nzuri kabisa na kuna jamii za kitanzania huuona utegemezi kama kitu cha kawaida ilhali zinginezo chache zikiona kama ni jambo lisilovumilika na hapo ndipo mkanganyiko hutokea
 
Kwanini usijali shida zako au za ndugu zako?una uhakika maisha yako ni mazuri?
 
Tatizo wanakimbilia mjini. Vujijini eka moja ni elfu 50 mpaka laki 2. Wanunulie hata eka 5, jenga kibanda, wape mtaji wa kuanzia kilimo, miaka miwili utakuwa unawaomba hela ya mafuta.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…