Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi kyna shemeji yangu kazaliwa 1978 lkn mpaka leo anakaa kwa shemeji yake aliyemuoa dada yake, kazi yake anashinda kuosha magari ya shemeji kutwa nzima wakimtafutia kazi anafanya mwezi tu anaachaKuna shemeji yangu kazaliwa 1985 anaishi kwa shemeji yake aliyemuoa dada yake na hana dalili za kuondoka hivi karibuni. Najua hayanihusu ila nashangaaaga saana
Duuh....vijana tunajilemaza mkuuMimi kyna shemeji yangu kazaliwa 1978 lkn mpaka leo anakaa kwa shemeji yake aliyemuoa dada yake, kazi yake anashinda kuosha magari ya shemeji kutwa nzima wakimtafutia kazi anafanya mwezi tu anaacha
Nani asiyejua kuwa ugonjwa wenu umerudi.Kweli kabisa... tena vijana wengi wa namna hii ni mashabiki wa Yanga. Kazi kushangilia Simba ikifungwa.
Fanyeni kazi vijana!!
Wamechanganyikiwa hadi gongo wanaiona lulu leo....Nchi ya viwanda vya gongo
hahahaaaaKweli kabisa... tena vijana wengi wa namna hii ni mashabiki wa Yanga. Kazi kushangilia Simba ikifungwa.
Fanyeni kazi vijana!!
Hahaaaa!!!! Yule mkuu wap wadini ambae hua wananwabudu sana alikua ana wake 9, na baadhi walikua ni mabinamu zake,pia aliwahi kuoahadi bint wa miaka tisamimi nimeamua kumfanya shemeji (kwa siri) NYUMBA NDOGO. Yaani kuliko nikatafute kicheche mtaani bora nile humo humo ndani kwa gharama nafuu na pia katika kutimiza ile dhana ya EMPOWERMENT.
** nahusudu utaratibu wa dini fulani (jina kapuni) wa kuruhusu kuoa zaid ya mke mmoja hata kama ni ndugu.
Katika kutathimini namna ambavyo kama taifa linapaswa kuwekeza kwenye elimu ya biashara (ujasiriamali) na ubunifu badala ya vijana kutegemea ajira za serikali, uchunguzi uliofanywa katika miji ya Dar es Salaam, Morogoro, Tanga, Mwanza & Kagera umegundua 88% ya vijana kati ya umri wa miaka 30 na 35 bado hutegemea kwa matumizi yao yote toka kwa wazazi ama Mashemeji zao.
Hii si dalili nzuri tunapoelekea kwenye nchi ya viwanda na kutimiza dira ya Taifa ya maendeleo ya 2025 (Tanzania Vision 2025). Vijana amkeni fanyeni kazi, biashara, kilimo, acheni kubweteka na ku-bet kutwa nzima, kushangilia mipira ya ulaya na siasa za Marekani huku hamna namna ya kuingiza kipato binafsi zaid ya kutegemea mashemeji na wazazi kuwapa pesa ya matumizi.
Wengi tu humu mmetokea kwa shemeji,mjomba,shangazi leo hii mnawasema wenzenu wavivu.
Mada imejikita zaidi mtu alipotoka kuliko umri. Labda hata kichwa cha habari kingekuwa asilimia 88 ya vijana 30-35 yrs ni tegemezi. Lakini hata michango kwenye hii mada ni dharau kwa wanaoishi kwa shemeji zao.kaka kutokea pahala fulani ni tofauti na kuwa tegemezi wakati umri wako haukuruhusu, naweza kusema kuwa Tanzania ina asilimia kubwa ya utegemezi lakini kwa asilimia na umri uliooneshwa na mleta mada : havirandani kabisaaa
Mada imejikita zaidi mtu alipotoka kuliko umri. Labda hata kichwa cha habari kingekuwa asilimia 88 ya vijana 30-35 yrs ni tegemezi. Lakini hata michango kwenye hii mada ni dharau kwa wanaoishi kwa shemeji zao.
Nitake radhi tafadhali...Wengi tu humu mmetokea kwa shemeji,mjomba,shangazi leo hii mnawasema wenzenu wavivu.