Asilimia 88 ya vijana (umri 30 - 35) hutegemea wazazi na mashemeji

Vizuri kushikiliziana, mama mtu akisafiri anamuacha mdogo wake anashika nafasi, kuliko kumwacha ahangaike na ma barmade mwishowe mleteane ukimwi ndani ya nyumba.
 
Tatizo mnawachekea hao ...

Waambiwe ukweli akili zitawakaa sawa.

Kuna familia nyingi sana zina watu wa namna hiyo...tena wengine wanazaa kabisa mnawalea wao na watoto wao
ukwer upi kuna familia naijua kijana ana miaka 34 ana watoto wa 3 ila toka dingi yao avute miaka ya 2005 hana jipya anaishi na maza yake mpaka leo kwel kazi sana kufanikiwa maana umri huo anaona aibu ata kwenda kufanya kazi ya kumuingizia bk 2000
 
Sio mbaya maana nao watakuja kuwafuga shemeji zao na hivyo ndivyo walivyoandaliwa.

Labda nikufungue akili kidogo

Kila kita huenda kwa mipango na wala sio kukutupuka.

Unamwambiaje kijana aloyesomea uhasibu kuwa leo hii atafute kazi nyingine ya kufanya!!!
Yaani mnataka watu wafanye kazi bila taaluma. Huko ni kubahatisha. Sisi kama taifa inabidi tuwe na mkakati. Sio kufuata mkumbo kama mlivyo msio weza kujitegemea kifikra
 
taifa baada ya miaka 10 mpaka 20 ijayo litakuwa na VIJANA WAVAA DIAPERS (pampaz)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…