Asilimia 88 ya vijana (umri 30 - 35) hutegemea wazazi na mashemeji

Huo uchunguzi ni wa kihisia tu (dhana), uchunguzi makini ni ule ambao tungeona majibu ya hao vijana juu ya wao kuendelea kuish na wazaz au kwa mashemej. Tusione vijana wanaish kwa wazaz o kwa mashemeji zao kuna wengne wazembe wamejsahau na kuna wengne ni hal ngumu tu ya maisha.
 
Kama we unategemea kwa shemeji yako unafikiri ni vijana wote!? Wengine tumeanza kuhaso tukiwa 12yrs
 
Mtoa ada angalia vizuri watu waliokuzunguka ubadiki cycle yako. Inaonekana umezungukwa na watu wa aina hiyo. Pengine wapo kweli ila kwa asilimia ulizotaja unahitajia kunadili watu wako haraka sana maana hawatakupa changamoto yeyote sana sana wewe ndio utaonekana una afadhali. Jiweke karibu na watu wenye harakati za makusudi watakaokupa wivu na changamoto za kimafanikio.
 
Tatzo mazngira yakujiajili nimagumu serikali inatakiwa kuweka sheria zitazo punguza mashart yautoaji wamikopo iliwatanzania wawezekujiajili kilimopesa asaivi naukilinganisha nahiihali ya mabadiliko yahaliya hewa pia serikali iwawekee wakulima mazngira mzr kama kuwapa ruzuku kutokana na mazao yao pia kuwanzishia mifukoyamafao ya uzeeni nakuwatafutia masoko
 
ila next time kwenye case study ongezea mkoa wa DODOMA (WAGOGO & WARANGI) wale mashemeji ni furushi la misumari. SAMAHANI LAKINI.
Kaka umepotea mkuu... Huku watu wanalima wanafuga hata kama kuna ukamee... Watu wanakomaaaa...
Huo utafit ni wa dar tuu na mikoa yake ya karibu karibu sio pande hiz mkuuuuu
 
Naamini hili haliihitaji msaada wa USAID. Vijana wenzetu wakijiongeza kwa ubunifu wataanzisha vitu vya kuongeza kipato
 
Tatizo wanaume wengi siku hiz wanachagua kaz na wengine hawataki kaz lakin wanapenda vya bure
 
Vijana wengi nyorotiiii wanataka kuletewa mambo yote mezani. Sijui kama taifa tunaelekea wapi.
Cc. Wanaoishi kwa mashemeji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…