elimikamtanzania
Senior Member
- Feb 7, 2017
- 141
- 46
Hahahaha wanasema maisha yana anza 40Mimi kyna shemeji yangu kazaliwa 1978 lkn mpaka leo anakaa kwa shemeji yake aliyemuoa dada yake, kazi yake anashinda kuosha magari ya shemeji kutwa nzima wakimtafutia kazi anafanya mwezi tu anaacha
Hahaha endelea kukaa kwa shemeji uku ukiisema serikali haifanyi kitu.Wengi tu humu mmetokea kwa shemeji,mjomba,shangazi leo hii mnawasema wenzenu wavivu.
Ukweli unauma wewe ulie enda shule na c c unanicha tofauti. Akili ya maisha nitofauti kabisa ubaweza enda shule na ukarudi ukakaa kwa mashemeji kisa wana maisha mazuri .Alama za kuendea vyuo vikuu zinapaswa ziwe walau c+c ili tuepuke tafiti za aina hii kwenye nchi yetu!
Nina miaka 28 sasa hivi tangu nimalize chuo naishi mwenyewe wakati nilivyoona ajira ngumu nimekaa chini nikaandika mawazo yangu ya biashara nikaenda kwa wazazi na ndugu wengine waniazime pesa za mtaji now naingiza laki 8 na 40 kwa mwezi sawa na yule aliye kaziniSio mbaya maana nao watakuja kuwafuga shemeji zao na hivyo ndivyo walivyoandaliwa.
Labda nikufungue akili kidogo
Kila kita huenda kwa mipango na wala sio kukutupuka.
Unamwambiaje kijana aloyesomea uhasibu kuwa leo hii atafute kazi nyingine ya kufanya!!!
Yaani mnataka watu wafanye kazi bila taaluma. Huko ni kubahatisha. Sisi kama taifa inabidi tuwe na mkakati. Sio kufuata mkumbo kama mlivyo msio weza kujitegemea kifikra
Sijawahi kukaa kwa ndugu tangu nizaliwe achilia mbali shemeji.Hahaha endelea kukaa kwa shemeji uku ukiisema serikali haifanyi kitu.
Sasa kama anaendesha boda boda za shemeji yake,ina maana ameshindwa hata kupanga chumba cha elfu 25 uko uswahilini kweli ili aondoke hapo kwa dada ake?...Yaani huyo jamaa inaonyesha kabisa kichwani ni 'bashite',hata kama dada ake akiamua kumpa kamtaji hatofika popote.Hapo ni dada ake kujitoa akili awe jeuri,Siku moja amnunulie godoro la ft 3.5 afu akamlipie na chumba cha elf 30 kwa miezi sita,then ampe na hela kidgo ya kuanzia maisha kwa muda mfupi,afu amtimue kwake.Nakuhakikishia ukija kumwangalia huyo jamaa baada ya mwaka atakuwa amefanya kitu.Hii misosi ya dezo inawapumbaza sana watu.Jibu ni hamnazo maana ni teacher. Na nafikiri wa daraja B .mshahara sio mbaya kivile. Jamaa anaishia kuendesha boda boda za shemeji yake. Daah job true true
Kweli..... hajui kuwa maisha ni full of mountains and valleys....Inaelekea kuwa una mkataba na Mungu wa kuishi miaka mingapi baada ya kuoa na kuzaa watoto. Tema mate chini.... Hujui ya kesho.
Na ukifukuzwa kazi je ? Sometime tisiishi kwa kuwazia mabaya .Kweli..... hajui kuwa maisha ni full of mountains and valleys....
Leo upo juu una biashara zako kubwa mwezi ujao kila kitu kinavurugika hadi unakuwa maskini wa kutupwa
we jamaa unanishawishi haloo,kashemeji kangu ni kazuri,roho inaniuma nikiona vijana mtaani wanakanyatia.zero grazing nadhani inahusika sana.mimi nimeamua kumfanya shemeji (kwa siri) NYUMBA NDOGO. Yaani kuliko nikatafute kicheche mtaani bora nile humo humo ndani kwa gharama nafuu na pia katika kutimiza ile dhana ya EMPOWERMENT.
** nahusudu utaratibu wa dini fulani (jina kapuni) wa kuruhusu kuoa zaid ya mke mmoja hata kama ni ndugu.
Tafuna huyo mtoto, hakunaga kesi hata ukitia mimba. Wakwe watashangilia mali imerudi hom.we jamaa unanishawishi haloo,kashemeji kangu ni kazuri,roho inaniuma nikiona vijana mtaani wanakanyatia.zero grazing nadhani inahusika sana.
Dah mkuu umetisha kweli kabisaila next time kwenye case study ongezea mkoa wa DODOMA (WAGOGO & WARANGI) wale mashemeji ni furushi la misumari. SAMAHANI LAKINI.