Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si ukalime upunguze nakisi,unataka wakalime uvccm... hiyo ni ngao; imeripotiwa pia kwamba mahitaji ya mafuta ya kula kwa mwaka ni tani 700,000 ambapo uzalishaji wa ndani ni tani 30,000 wakati tani 670,000 zikiagizwa toka nje! Bado sukari kila mara ni uhaba! Aibu kwa CCM waliolifikisha taifa hapa! Wao muda wote wanawaza uchaguzi na wizi wa kura; mengine yote hadaa.
Kila mtu anataka kukata maunoTaifa la watu legelege wanaopenda mteremko kuanzia wanaume mpaka wanawake, kila utapeli ukizuka lazima waibiwe, kila kamari ikija maelfu wanaingia huko, kila umbeya ukizuka Taifa zima wanaujadili.......Leo chief unataka tuzalishe ngano? tuendelee kucheza baikoko tu na Singeli ndio fani yetu hiyo tukomae itatutoa..
Tunaliwa tuHahhah kwahiyo kwa ujumla toka uhuru hadi Sasa hatujafanya kitu cha maana Sana siyo?...
hayo mashamba ni mara wapewe wananchi hayana faida yamebaki sehem ya malisho ya mifugoEnzi ya Mwalimu aliwaleta wazungu kutoka Canada wakatuanzishia mashamba ya NGANO kule Hanang tukawa tunajitosheleza kwa ngano na kupika mikate ya SIHA!!! Ilikuwaje mpaka yale mashamba ya BASUTO yakafa?
Inakuwaje nchi inapiga hatua kwenda mbele ,halafu anakuja mtawala mwingine nchi inarudi nyuma? Lazima kuna kitu tunafanya kama nchi ambacho hakiko sahihi; ni kitu gani hicho?