Gobole Lenye Risasi
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 11,519
- 23,693
Angalia sehemu ulipokaa hapo. Popote ulipo. Hesabu vitu ambavyo vinakuzunguka. Asilimia zaidi ya 90 vimegunduliwa na wazungu (usijali kwa sasa vinatengenezwa wapi)
Halafu katika hao hao wazungu. Zaidi ya asilimia 80 ya gunduzi zao. Lipo Yahudi humo. Ndo utagundua hii Miyahudi ina akili sana.
Ni ngumu sana kumkwepa mzungu katika maisha yetu. Ni kama maji usipoyaoga utayanywa, utapikia n.k tuendelee kuwaombea hawa watu bila wao hii dunia yetu ingekuwa ngumu sana kuishi.