Najua mnaelewa ila mnajizima akili tu! Nani atachanganyikiwa na buku? Elewa concept..Kuweni specific sasa kwamba pesa nyingi ndo love language zenu.
Wewe ndo hujaelewa concept. Buku means hela ndogo, of which majority wapo hapo.Najua mnaelewa ila mnajizima akili tu! Nani atachanganyikiwa na buku? Elewa concept..View attachment 3591448
Kuna mZee kajinyonga kwa emoji yako.Usilete mada kuhusu wanawakeTatizo vijana wasasa mmeshindwa kukaa kwenye nafasi zenu, na hii ndio sababu wanawake mnao kutana nao wanataka wachukue majukumu yenu (nyie mnaita kuwapanda kichwani..teh🤣)
Mwanamke ni lazima aobey oder kutoka kwa mwanaume wake...🫤, na ikiwa kinyume chake basi angalieni tatizo lipo wapo.
Nimekuelewa ila wengi wanaoongelea pesa wanamaanisha nyingi and not otherwise!Wewe ndo hujaelewa concept. Buku means hela ndogo, of which majority wapo hapo.
Kuna kitu pia kinaitwa kufanya linalowezekana. Kama unataka pesa, nitakupa iliyopo. Nafanya kilicho ndani ya uwezo wangu.
Ukawapa pesa na maisha mazuri na wakakuendesha kama bwege😂😂😂Ingebakia basi wao kupenda pesa na maisha mazuri iishie hapo lakini hawa viumbe ni chupa za chai ambazo hazijai,
Yani mtu anapata hivyo vyote na bado anataka akupelekeshe kama bwege kisa tu labda uzuri au wewe kumuonesha unyenyekevu.
Aaaahyaani aise humu duniani kwakweli kuna watu na viatu,
ukiwa mnyenyekevu na mwenye heshima sana kwao wanakuona mnyonge wao au muoga,
ukikaa kimya na bize na mambo yako, wanakuona unaringa una majivuno,
hakuna jema kwao kutoka kwako hata uwafanyie uwafanyie na kutimiza kila wanachotaka, hawana shukrani.
hata hivyo,
NI MUHIMU SANA KUISHI NAO KWA AKILI NA WEMA WAKO KWAO USIZIDI UWEZO WAKO KIJAMII AU KIUCHUMI.
acha kabisa gentleman,Aaaah