Asilimia 90 ya wadada nilioachana nao kwa sababu walitaka kunipanda kichwani na kuni-control vile watakvyo. Wadada wa kisasa wamekuwa "control freaks"

Ingebakia basi wao kupenda pesa na maisha mazuri iishie hapo lakini hawa viumbe ni chupa za chai ambazo hazijai,

Yani mtu anapata hivyo vyote na bado anataka akupelekeshe kama bwege kisa tu labda uzuri au wewe kumuonesha unyenyekevu.
yaani aise humu duniani kwakweli kuna watu na viatu,

ukiwa mnyenyekevu na mwenye heshima sana kwao wanakuona mnyonge wao au muoga,
ukikaa kimya na bize na mambo yako, wanakuona unaringa una majivuno,

hakuna jema kwao kutoka kwako hata uwafanyie uwafanyie na kutimiza kila wanachotaka, hawana shukrani.

hata hivyo,
NI MUHIMU SANA KUISHI NAO KWA AKILI NA WEMA WAKO KWAO USIZIDI UWEZO WAKO KIJAMII AU KIUCHUMI.
 
Tatizo vijana wasasa mmeshindwa kukaa kwenye nafasi zenu, na hii ndio sababu wanawake mnao kutana nao wanataka wachukue majukumu yenu (nyie mnaita kuwapanda kichwani..teh🤣)
Mwanamke ni lazima aobey oder kutoka kwa mwanaume wake...🫤, na ikiwa kinyume chake basi angalieni tatizo lipo wapo.
 
😊☺️ Naunga mkono hoja in bwege voice i.e R.I.P MBUNGE BWEGE (BUNGALA)

NB. Kwenye social issue unakuaga very good commenter...ikija kule kazini na kwenye ile business ya kijanii unakuaga bureeeee kabisa Lecturer wangu 😂😆😁
 
Muda wa kuset hizo order hatuna baba labda kama hutojali unaweza kuzilist hapa jukwaani ili tuone tunafeli wapi
 
😊☺️ Naunga mkono hoja in bwege voice i.e R.I.P MBUNGE BWEGE (BUNGALA)

NB. Kwenye social issue unakuaga very good commenter...ikija kule kazini na kwenye ile business ya kijanii unakuaga bureeeee kabisa Lecturer wangu 😂😆😁
Ni kwa sababu ana hurka ya kitapeli.

Tapeli huwa ana blend katika kila rangi
 
Back
Top Bottom